Kwanini ukimsifia Rais Magufuli CHADEMA wananuna na kutoa dhihaka - Wanahitaji Elimu?

CCM ndiyo Sumu ya maendeleo Tanzania kwani pesa nyingi ya walipa kodi hutumia kudhoofisha upinzani badala ya maendeleo, mfano sasa wanatumia TRA kufunga Account biashara kuwabambikia kodi kubwa wafanyabiashara kienyeji kishamba kwa njia haramu za kishetani, CCM inadumaza maendeleo kwa watanzania wengi wamehamishia pesa zao kwenye mabenk ya kenya Uganda Zambia na kwingineko Duniani
 
Mawazo ya kijinga haya na uzi wa kijinga huu
Ukiwa mnufaika wa uonevu wa CCM kila kitu unaona ni cha maana ndiyo maana watetezi wa CCM mitandaoni mda wote huwa busy kumsifia mtukufu ili wapate uteuzi
 
CCM ndiyo Sumu ya maendeleo Tanzania bila CCM mda huu Tanzania ingekuwa ni Nchi tajiri kuliko mataifa mengi Duniani lakini chini ya CCM Taifa linazidi kurudi nyuma
 

sasa shida iko wap apo, kufunga account za wafanya biashara ipo mikononi mwa nguvu ya serikali hata kutaifisha mali zako iko mikononi mwao! back to the point, nan anafanya biashara legite biashara yake ikafungwa? lipa kodi yako fanya biashara kwa kanuni za nchi hakuna anaekusumbua
 
Kodi wanalipa wana kila kitu lakini CCM wakitaka kumkomoa mfanyabiashara huwatuma TRA kuwabambikia kodi kubwa hewa wapate kisingizio cha kufunga Account kisha kuziathiri Benk kwa kukosa imani na wateja wengi, kwani sasa Benk siyo mahala salama pa kuweka pesa kwani CCM mda wote wanazinyemelea kwa njia haramu za kishetani
 
CCM wamewanunua covid 19 ambao ni mashahidi kwenye kesi hizo, kesi inakuwa ngumu kutokana na CCM kutumia pesa nyingi kupoteza ushahidi ndiyo maana Tanzania hakuna maendeleo kwa sababu pesa za maendeleo yote inatumika kwa mambo ya hovyo yasiyo na tija kwa Taifa
 
Nchi ina zaidi ya miaka 59 hakuna maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, mda huu Tanzania ilipaswa kuwa kama marekani China German UK India Canada france Japan na wengineo Nchi tajiri Duniani kutokana na kujaliwa kuwa na kila kitu, lakini chini ya CCM pesa zote zinapotelea matumboni mwa wachache huku maendeleo yakizidi kudumaa zaidi na zaidi, CCM ni Sumu ya maendeleo Tanzania kwa kugeuza pesa za walipa kodi kutumika kwa mambo ya hovyo yasiyo na tija kwa taifa
 

naomba nitajie mfanya biashara mmoja ambae amefanya biashara kwa kufuata sheria zote na akalipa kodi vizuri wakachukua pesa zake??
 
Ndiyo maana umejiita minyoo πŸ˜…πŸ˜…
 
Kwa kupeleka miradi chato
 
CCM ndiyo Sumu ya maendeleo Tanzania bila CCM mda huu Tanzania ingekuwa ni Nchi tajiri kuliko mataifa mengi Duniani lakini chini ya CCM Taifa linazidi kurudi nyuma
Sasa tusemeje kuhusu vyama vya upinzani hususan CDM ambayo pamoja na kupata ruzuku kubwa kwa miaka 15 iliyopita wakiwa na wabunge wengi lkn wameshindwa hata kujenga Ofisi ya chama?

Mngetumia miujiza gani?
 
Sasa tusemeje kuhusu vyama vya upinzani hususan CDM ambayo pamoja na kupata ruzuku kubwa kwa miaka 15 iliyopita wakiwa na wabunge wengi lkn wameshindwa hata kujenga Ofisi ya chama?

Mngetumia miujiza gani?
Mkuu, acha hiyo ya kujenga, hata kiwanja tu cha kujenga hiyo ofisi yenyewe hawana !😒😒
 
Wacha uongo,wewe umesikia wapi? Mumebaki wenyewe sasa fanyeni kazi,mumezoea kuisingizia Chadema Kwa kila jambo. Tunataka Tanzania iwe kama uraya na Arusha yetu kuwa kama karufonyia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…