Pep
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,338
- 5,488
DahHujanielewa nilichokimaanisha hapo na bahati nzuri Mlengwa kanielewa na kanijibu vyema tu, hivyo nikuombe tu endelea kubakia na Ujuha wako.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DahHujanielewa nilichokimaanisha hapo na bahati nzuri Mlengwa kanielewa na kanijibu vyema tu, hivyo nikuombe tu endelea kubakia na Ujuha wako.
Mkuu kumbuka wewe ni kada kindakindaki wa chama kile aliko bashite, anyway mimi sijawahi pata wasaha wa kukaa karibu na pisi nzuri mpaka nirushe ndoano so sina experience yoyote juu ya hili.Sema uzuri tu ni kwamba ID yake huwa haina Michango mingi ya Kumsema Mkemia wa Geita au hata Kukisoa popote Chama chake Cha Mapigano.
aisee😂😂Usimikumbushe.
Wiki kadhaa nyuma nikiwa natoka Mbeya (Songwe Airport) kuja Dar kwa ile Bombardier ya saa 10 kasorobo. Nilikaa seat namba 11A. Nikiwa nimeshajiweka sawa, ikaingia pisi moja iliyoshiba ikawa inatafuta seat namba 11B. Ikakaribia na kukaa pembeni yangu, akatoa salamu fupi.
Tukiwa angani, stori mbili tatu akatoa na namba.
Kwa sasa ndio ameshakuwa mpenzi wangu.
wanafoka alafu kwa nguvu 😫Msitufokee.
Msitufokee.
HahaaThamani ya wapandao kule huwa juu na haina msaada wa nauli kwa asilimia kubwa.
Kwenye basi yawezekana umechangiwa na rafiki zako ili ukawahi msiba wa baba yako au mtu wako wa karibu ili uwahi mazishi nk.
Thread closed.Wadada wanaopanda pipa hua ni waelewa sanawao kama wadada wa kizungu vile.
UMALAYA HUOUsimikumbushe.
Wiki kadhaa nyuma nikiwa natoka Mbeya (Songwe Airport) kuja Dar kwa ile Bombardier ya saa 10 kasorobo. Nilikaa seat namba 11A. Nikiwa nimeshajiweka sawa, ikaingia pisi moja iliyoshiba ikawa inatafuta seat namba 11B. Ikakaribia na kukaa pembeni yangu, akatoa salamu fupi.
Tukiwa angani, stori mbili tatu akatoa na namba.
Kwa sasa ndio ameshakuwa mpenzi wangu.
Nyakyusa? JipangeUsimikumbushe.

Hatari sanaKila nilipopanda ndege zile wanauza duty free products, nilikuwa nateremka na kifurushi niichonunuliwa na stranger as a crush love.
Mnapitishiwa gazeti unaangalia bidhaa weeh kisha kabla ya mwisho wa safari cabin crews wanapita kuuliza kama kuna product umeipenda na unataka kununua.
Thanks to EK flights, let corona go to hell so I can fly my miles...
Sure BroSasa we Mwanamke wa Songwe ni wa kujisifia kwamba umemla kimasihara? Hebu tafta watu wanaojitambua ndio ulete story hizo.