Sasa km hizo sababu zinaeleweka kwanini usitufunze sisi waafrika na sisi tukawa km wao!Kuna sababu practical na za kueleweka kabisa za kueleza utajiri wa asians na sio izo za kutunza familia. Kasome historia upya
Mi nina demu wa kiarabu nataka nimwoe awe mke wa 3.Ntajikita zaid kwa wale waarabu na wahindi orijino tukiachana na hawa waliochanganywa changanywa.
hasa kwa waarabu, yaani hata uwe wa dini yao, uvae full set baraghashia + kanzu + kobazi na kujifunza hata lugha zao ili uendane nao huwa ni kazi sana upande wa familia ya kiarabu au wahindi kukuona ni mwanafamilia wao ulieoa binti yao ....
Mfano Msukuma anaweza kumuoa Mbena na hapo kunakuwa na ndugu mpya kati ya wanafamilia wa pande zote mbili katika kutembeleana, kujuliana hali, kusaidiana, n.k
lakini hili linakuwa kazi sana mtanzania mweusi (n wenye weupe wa kibongo) wakioa waarabu au wahindi
Hapa anaongelea wale waarabu safi. Sio hao wa ulyankulu au buseresereMi nina demu wa kiarabu nataka nimwoe awe mke wa 3.
Ooooooh ...... Ok. Huyu wangu ni mwarabu chafu. Ni wa hapa hapa bongo. Sema ni mwarabu lakini. So msinichukulie poa.Hapa anaongelea wale waarabu safi. Sio hao wa ulyankulu au buseresere
Hao wengi tu..
Km kawaza kula ugali na sukumawiki huyo mnyamwezi ka mimi.Ooooooh ...... Ok. Huyu wangu ni mwarabu chafu. Ni wa hapa hapa bongo. Sema ni mwarabu lakini. So msinichukulie poa.
Hata Hawa safi huwa uchumi ukiimarika hutoka Buseresere na kuishi Dar utasema sio wa Buseresere, we si unaona kina Rostam wazee wa Igunga ila vizazi vyao vimejikuta kuwa waarabu safi ila wazee wamepiga misele IgungaHapa anaongelea wale waarabu safi. Sio hao wa ulyankulu au buseresere
Hao wengi tu..
Rostam sio mwarabu 🤣Hata Hawa safi huwa uchumi ukiimarika hutoka Buseresere na kuishi Dar utasema sio wa Buseresere, we si unaona kina Rostam wazee wa Igunga ila vizazi vyao vimejikuta kuwa waarabu safi ila wazee wamepiga misele Igunga
Wewe umeowa au umeolewa kwa Waarabu?Ntajikita zaid kwa wale waarabu na wahindi orijino tukiachana na hawa waliochanganywa changanywa.
hasa kwa waarabu, yaani hata uwe wa dini yao, uvae full set baraghashia + kanzu + kobazi na kujifunza hata lugha zao ili uendane nao huwa ni kazi sana upande wa familia ya kiarabu au wahindi kukuona ni mwanafamilia wao ulieoa binti yao ....
Mfano Msukuma anaweza kumuoa Mbena na hapo kunakuwa na ndugu mpya kati ya wanafamilia wa pande zote mbili katika kutembeleana, kujuliana hali, kusaidiana, n.k
lakini hili linakuwa kazi sana mtanzania mweusi (n wenye weupe wa kibongo) wakioa waarabu au wahindi
utamaduni tofautiNtajikita zaid kwa wale waarabu na wahindi orijino tukiachana na hawa waliochanganywa changanywa.
hasa kwa waarabu, yaani hata uwe wa dini yao, uvae full set baraghashia + kanzu + kobazi na kujifunza hata lugha zao ili uendane nao huwa ni kazi sana upande wa familia ya kiarabu au wahindi kukuona ni mwanafamilia wao ulieoa binti yao ....
Mfano Msukuma anaweza kumuoa Mbena na hapo kunakuwa na ndugu mpya kati ya wanafamilia wa pande zote mbili katika kutembeleana, kujuliana hali, kusaidiana, n.k
lakini hili linakuwa kazi sana mtanzania mweusi (n wenye weupe wa kibongo) wakioa waarabu au wahindi
Samia acha ukorofi kabla sijakucharaza.Wewe umeowa au umeolewa kwa Waarabu?
Au ndiyo ya pilipili iko shamba inakuwasha wewe?
ushacharazwa na mlandege jana hasira zako kwa Mama Samia?Samia acha ukorofi kabla sijakucharaza.
Bi kidude ujamboo?ushacharazwa na mlandege jana hasira zako kwa Mama Samia?
Hivi hawa wabulushi ni tofauti na Warabu.Rostam sio mwarabu 🤣
Ni Mbulushi wa Igunga.
Hao asili yao Irani sio Uarabuni.
Hao ndio hawafai kabisa.
Akiwa na hela kidogo anakuwa bei juu kuliko almas.
Bora ukomae na hao hao wa Muheza na Igunga
Sasa mtu mwenye kifafa si ugonjwa huo, zamani walikuwa wanachuza mgonjwa mengi kweli , hata familia zile zisizo lima pale kijijini hupati mke unaambia unaolewa kwa wasio shiba chakula walamba vidole wavivuNilishawai kusoma autobiography ya prof mmoja wa pale UDSM mwenye asili ya kihindi, nikaona wahindi wana ubaguzi sana hata wao kwa wao.
Anasema alikua na mjomba wake alikua anaumwa kifafa alikosa mke wa kihindi kila familia wanakataa, hadi ikabidi aoe mwanamke mweusi wa kimakonde [emoji23] [emoji23] [emoji23].
Inawezekana ikawa sio ubaguzi labda ni desturi kama alivosema mdau mmoja hapo juu
Ni kama wahindi na wachina.Hivi hawa wabulushi ni tofauti na Warabu.
Okay, kule Mbarali wapo pia nikawa nahisi ni jina tu ila ni Warabu kumbe nilikuwa nyuma ya Dunia kidogo.Ni kama wahindi na wachina.
Tofauti kubwa kabisa.
Wabulushi asili yao IRAN kutoka ktk jimbo la Baluchstan.
Hawaongei kiarabu wala hawali chakula cha kiarabu wala mavazi ya kiarabu.
Muha na mtusi wako karibu kuliko mwarabu na mbulushi.
Mbona waarab wa iraq wapo karibu mno na wa iran.Ni kama wahindi na wachina.
Tofauti kubwa kabisa.
Wabulushi asili yao IRAN kutoka ktk jimbo la Baluchstan.
Hawaongei kiarabu wala hawali chakula cha kiarabu wala mavazi ya kiarabu.
Muha na mtusi wako karibu kuliko mwarabu na mbulushi.
Afghanistan ni jirani ya China na Urusi.Mbona waarab wa iraq wapo karibu mno na wa iran.