Kwanini ukioa mwarabu/ mhindi inakuwa ngumu kwa wanafamilia wa upande wa waarabu/ wahindi kujenga undugu upande wa mme wa binti yao?

Kuna sababu practical na za kueleweka kabisa za kueleza utajiri wa asians na sio izo za kutunza familia. Kasome historia upya
Sasa km hizo sababu zinaeleweka kwanini usitufunze sisi waafrika na sisi tukawa km wao!
Mzee leo umepiga chibuku au ile namba 1
 
Ntajikita zaid kwa wale waarabu na wahindi orijino tukiachana na hawa waliochanganywa changanywa.

hasa kwa waarabu, yaani hata uwe wa dini yao, uvae full set baraghashia + kanzu + kobazi na kujifunza hata lugha zao ili uendane nao huwa ni kazi sana upande wa familia ya kiarabu au wahindi kukuona ni mwanafamilia wao ulieoa binti yao ....

Mfano Msukuma anaweza kumuoa Mbena na hapo kunakuwa na ndugu mpya kati ya wanafamilia wa pande zote mbili katika kutembeleana, kujuliana hali, kusaidiana, n.k

lakini hili linakuwa kazi sana mtanzania mweusi (n wenye weupe wa kibongo) wakioa waarabu au wahindi
Mi nina demu wa kiarabu nataka nimwoe awe mke wa 3.
 
Hapa anaongelea wale waarabu safi. Sio hao wa ulyankulu au buseresere
Hao wengi tu..
Hata Hawa safi huwa uchumi ukiimarika hutoka Buseresere na kuishi Dar utasema sio wa Buseresere, we si unaona kina Rostam wazee wa Igunga ila vizazi vyao vimejikuta kuwa waarabu safi ila wazee wamepiga misele Igunga
 
Rostam sio mwarabu 🤣
Ni Mbulushi wa Igunga.
Hao asili yao Irani sio Uarabuni.
Hao ndio hawafai kabisa.
Akiwa na hela kidogo anakuwa bei juu kuliko almas.
Bora ukomae na hao hao wa Muheza na Igunga
 
Ntajikita zaid kwa wale waarabu na wahindi orijino tukiachana na hawa waliochanganywa changanywa.

hasa kwa waarabu, yaani hata uwe wa dini yao, uvae full set baraghashia + kanzu + kobazi na kujifunza hata lugha zao ili uendane nao huwa ni kazi sana upande wa familia ya kiarabu au wahindi kukuona ni mwanafamilia wao ulieoa binti yao ....

Mfano Msukuma anaweza kumuoa Mbena na hapo kunakuwa na ndugu mpya kati ya wanafamilia wa pande zote mbili katika kutembeleana, kujuliana hali, kusaidiana, n.k

lakini hili linakuwa kazi sana mtanzania mweusi (n wenye weupe wa kibongo) wakioa waarabu au wahindi
Wewe umeowa au umeolewa kwa Waarabu?

Au ndiyo ya pilipili iko shamba inakuwasha wewe?
 
Ntajikita zaid kwa wale waarabu na wahindi orijino tukiachana na hawa waliochanganywa changanywa.

hasa kwa waarabu, yaani hata uwe wa dini yao, uvae full set baraghashia + kanzu + kobazi na kujifunza hata lugha zao ili uendane nao huwa ni kazi sana upande wa familia ya kiarabu au wahindi kukuona ni mwanafamilia wao ulieoa binti yao ....

Mfano Msukuma anaweza kumuoa Mbena na hapo kunakuwa na ndugu mpya kati ya wanafamilia wa pande zote mbili katika kutembeleana, kujuliana hali, kusaidiana, n.k

lakini hili linakuwa kazi sana mtanzania mweusi (n wenye weupe wa kibongo) wakioa waarabu au wahindi
utamaduni tofauti
 
Sisi upendo wetu hauaminiki kabisa utampenda leo, unamchepuko mwingine , mara ndugu zako wamekushauri hivi, mara ndugu zako wamefungulia kizazi watoto wote karo kwa mjomba , na mjomba kwasababu ni jeuri anakazi mke hana sauti maamuzi niyake kwasababu ni mwanaume mke anabaki kutizama tu , sasa huo ujinga wao hawautaki bebaneni wenyewe kwa wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rostam sio mwarabu 🤣
Ni Mbulushi wa Igunga.
Hao asili yao Irani sio Uarabuni.
Hao ndio hawafai kabisa.
Akiwa na hela kidogo anakuwa bei juu kuliko almas.
Bora ukomae na hao hao wa Muheza na Igunga
Hivi hawa wabulushi ni tofauti na Warabu.
 
Nilishawai kusoma autobiography ya prof mmoja wa pale UDSM mwenye asili ya kihindi, nikaona wahindi wana ubaguzi sana hata wao kwa wao.

Anasema alikua na mjomba wake alikua anaumwa kifafa alikosa mke wa kihindi kila familia wanakataa, hadi ikabidi aoe mwanamke mweusi wa kimakonde [emoji23] [emoji23] [emoji23].

Inawezekana ikawa sio ubaguzi labda ni desturi kama alivosema mdau mmoja hapo juu
Sasa mtu mwenye kifafa si ugonjwa huo, zamani walikuwa wanachuza mgonjwa mengi kweli , hata familia zile zisizo lima pale kijijini hupati mke unaambia unaolewa kwa wasio shiba chakula walamba vidole wavivu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hawa wabulushi ni tofauti na Warabu.
Ni kama wahindi na wachina.
Tofauti kubwa kabisa.
Wabulushi asili yao IRAN kutoka ktk jimbo la Baluchstan.
Hawaongei kiarabu wala hawali chakula cha kiarabu wala mavazi ya kiarabu.

Muha na mtusi wako karibu kuliko mwarabu na mbulushi.
 
Okay, kule Mbarali wapo pia nikawa nahisi ni jina tu ila ni Warabu kumbe nilikuwa nyuma ya Dunia kidogo.
 
Ni kama wahindi na wachina.
Tofauti kubwa kabisa.
Wabulushi asili yao IRAN kutoka ktk jimbo la Baluchstan.
Hawaongei kiarabu wala hawali chakula cha kiarabu wala mavazi ya kiarabu.

Muha na mtusi wako karibu kuliko mwarabu na mbulushi.
Mbona waarab wa iraq wapo karibu mno na wa iran.
 
Back
Top Bottom