Mbarali wamejaa wabulushi toka kabla ya uhuru wa Tanzania.Okay, kule Mbarali wapo pia nikawa nahisi ni jina tu ila ni Warabu kumbe nilikuwa nyuma ya Dunia kidogo.
Endelea tu utakipata!ushacharazwa na mlandege jana hasira zako kwa Mama Samia?
Kwaio unaamini kwamba wenye kifafa hawastahili kupata wenza?Sasa mtu mwenye kifafa si ugonjwa huo, zamani walikuwa wanachuza mgonjwa mengi kweli , hata familia zile zisizo lima pale kijijini hupati mke unaambia unaolewa kwa wasio shiba chakula walamba vidole wavivu
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi kuhusu mabinti wa kiyahudi?Ntajikita zaid kwa wale waarabu na wahindi orijino tukiachana na hawa waliochanganywa changanywa.
hasa kwa waarabu, yaani hata uwe wa dini yao, uvae full set baraghashia + kanzu + kobazi na kujifunza hata lugha zao ili uendane nao huwa ni kazi sana upande wa familia ya kiarabu au wahindi kukuona ni mwanafamilia wao ulieoa binti yao ....
Mfano Msukuma anaweza kumuoa Mbena na hapo kunakuwa na ndugu mpya kati ya wanafamilia wa pande zote mbili katika kutembeleana, kujuliana hali, kusaidiana, n.k
lakini hili linakuwa kazi sana mtanzania mweusi (n wenye weupe wa kibongo) wakioa waarabu au wahindi
Siongei ukarb wa hivo wana ukarb kabsaa yaan wanaingiliana katk mambo mbal mbal kam ndug na nimeona kw macho yangAfghanistan ni jirani ya China na Urusi.
Utasema wana undugu ?
Kuwa karibu sio hoja.
Siongei ukarb wa hivo wana ukarb kabsaa yaan wanaingiliana katk mambo mbal mbal kam ndug na nimeona kw macho yang, yaan wa iraq hata wakitak kujenga mara nying wanafuat ma engeneer kutok Iran, kwa kifup nindug hawa jamaa tena sana I have experience.
Hao huwa hawanyoi huko chini.Vipi kuhusu mabinti wa kiyahudi?
Wabulushi wapo Songea kibao lol.Ni kama wahindi na wachina.
Tofauti kubwa kabisa.
Wabulushi asili yao IRAN kutoka ktk jimbo la Baluchstan.
Hawaongei kiarabu wala hawali chakula cha kiarabu wala mavazi ya kiarabu.
Muha na mtusi wako karibu kuliko mwarabu na mbulushi.
Hilo ni kweli manake dangote saa ngapi atakula mtaji arudi nyumbani kajiharia kwa kunywa pombe za kudandia?Ukiwa na pesa kama dangote, wote watajileta tu
Mwenyezi Mungu amrehem, amghufirie na atughufirie tulio njiani.Bi kidude ujamboo?
Ndugu sawaa ila imezd mipaka ukisema ni superior race sio kweli , kama ni muislam turud kwenye Qur an Allah anasemaje?Hivi unapotamka neno waarabu, ulihakikisha umeswaki? Umesukutua mara tatu? Au umetoka kula zako dagaa na michembe halafu unachafua matamshi ya neno tukufu "waarabu"?
Kwa taarifa Yako hapa Duniani hakuna jamii ya watu Bora kuliko waarabu. Fanya ufanyavyo Ile ni superior race.
Na wana haki ya kukufanyieni vyovyote watakavyo.
We unaleta ushuzi tu duniani na kupunguza hewa, wenzako Wameleta dini wale Ala!
Hapa umekosea kabisa tena sana.Hivi unapotamka neno waarabu, ulihakikisha umeswaki? Umesukutua mara tatu? Au umetoka kula zako dagaa na michembe halafu unachafua matamshi ya neno tukufu "waarabu"?
Kwa taarifa Yako hapa Duniani hakuna jamii ya watu Bora kuliko waarabu. Fanya ufanyavyo Ile ni superior race.
Na wana haki ya kukufanyieni vyovyote watakavyo.
We unaleta ushuzi tu duniani na kupunguza hewa, wenzako Wameleta dini wale Ala!
Ni rahisi kuoa mzungu kuliko hao takataka wahind au waarabu...Ntajikita zaid kwa wale waarabu na wahindi orijino tukiachana na hawa waliochanganywa changanywa.
hasa kwa waarabu, yaani hata uwe wa dini yao, uvae full set baraghashia + kanzu + kobazi na kujifunza hata lugha zao ili uendane nao huwa ni kazi sana upande wa familia ya kiarabu au wahindi kukuona ni mwanafamilia wao ulieoa binti yao ....
Mfano Msukuma anaweza kumuoa Mbena na hapo kunakuwa na ndugu mpya kati ya wanafamilia wa pande zote mbili katika kutembeleana, kujuliana hali, kusaidiana, n.k
lakini hili linakuwa kazi sana mtanzania mweusi (n wenye weupe wa kibongo) wakioa waarabu au wahindi
Mzungu ni cheap kuliko mswahili.Ni rahisi kuoa mzungu kuliko hao takataka wahind au waarabu...
Kwahyo waarab na wahindi sio cheap mf*Mzungu ni cheap kuliko mswahili.
Mzungu alimpenda Remmy Ongala. Jamaa Ana sura ka kapondwa na nyumba We unadhani kuna mtu atamkataa?
We hapo una sura ka nyani kaonja ukwaju lkn mzungu akikuona anaweza kupenda hio pua yako kubwa ka nyumba ya nyuki akakutongoza bure ukajiona na wewe mzuri kumbe ovyo kabisa