Kwanini ukioa mwarabu/ mhindi inakuwa ngumu kwa wanafamilia wa upande wa waarabu/ wahindi kujenga undugu upande wa mme wa binti yao?

Sasa mtu mwenye kifafa si ugonjwa huo, zamani walikuwa wanachuza mgonjwa mengi kweli , hata familia zile zisizo lima pale kijijini hupati mke unaambia unaolewa kwa wasio shiba chakula walamba vidole wavivu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwaio unaamini kwamba wenye kifafa hawastahili kupata wenza?
 
Ntajikita zaid kwa wale waarabu na wahindi orijino tukiachana na hawa waliochanganywa changanywa.

hasa kwa waarabu, yaani hata uwe wa dini yao, uvae full set baraghashia + kanzu + kobazi na kujifunza hata lugha zao ili uendane nao huwa ni kazi sana upande wa familia ya kiarabu au wahindi kukuona ni mwanafamilia wao ulieoa binti yao ....

Mfano Msukuma anaweza kumuoa Mbena na hapo kunakuwa na ndugu mpya kati ya wanafamilia wa pande zote mbili katika kutembeleana, kujuliana hali, kusaidiana, n.k

lakini hili linakuwa kazi sana mtanzania mweusi (n wenye weupe wa kibongo) wakioa waarabu au wahindi
Vipi kuhusu mabinti wa kiyahudi?
 
Afghanistan ni jirani ya China na Urusi.
Utasema wana undugu ?
Kuwa karibu sio hoja.
Siongei ukarb wa hivo wana ukarb kabsaa yaan wanaingiliana katk mambo mbal mbal kam ndug na nimeona kw macho yang
 
Siongei ukarb wa hivo wana ukarb kabsaa yaan wanaingiliana katk mambo mbal mbal kam ndug na nimeona kw macho yang, yaan wa iraq hata wakitak kujenga mara nying wanafuat ma engeneer kutok Iran, kwa kifup nindug hawa jamaa tena sana I have experience.
 
Ni kama wahindi na wachina.
Tofauti kubwa kabisa.
Wabulushi asili yao IRAN kutoka ktk jimbo la Baluchstan.
Hawaongei kiarabu wala hawali chakula cha kiarabu wala mavazi ya kiarabu.

Muha na mtusi wako karibu kuliko mwarabu na mbulushi.
Wabulushi wapo Songea kibao lol.
Wana shell zao nyingii tyuuh.
 
Ukiwa na pesa kama dangote, wote watajileta tu
Hilo ni kweli manake dangote saa ngapi atakula mtaji arudi nyumbani kajiharia kwa kunywa pombe za kudandia?
Na lini atampikia mtoto wa watu matembele na kambare wa mitaroni?
Sisi wabondei hao waarabu hatuwawezi.
Zile nywele kuzitunza peke yake mtaji.
Yanini shida
 
Hivi unapotamka neno waarabu, ulihakikisha umeswaki? Umesukutua mara tatu? Au umetoka kula zako dagaa na michembe halafu unachafua matamshi ya neno tukufu "waarabu"?
Kwa taarifa Yako hapa Duniani hakuna jamii ya watu Bora kuliko waarabu. Fanya ufanyavyo Ile ni superior race.
Na wana haki ya kukufanyieni vyovyote watakavyo.
We unaleta ushuzi tu duniani na kupunguza hewa, wenzako Wameleta dini wale Ala!
 
Ndugu sawaa ila imezd mipaka ukisema ni superior race sio kweli , kama ni muislam turud kwenye Qur an Allah anasemaje?
إن الله يقول : ( يا أيها الناس إنا خلقناكم من ذكر وأنثى وجعلناكم شعوبا وقبائل لتعارفوا إن أكرمكم عند الله أتقاكم إن الله عليم خبير)

Mwenyezi Mungu anasema: (Enyi watu, tumekuumbeni kutokana na mwanamume na mwanamke, na tukakufanyeni watu na makabila ili mjuane. Hakika aliye mtukufu zaidi katika nyinyi mbele ya Mwenyezi Mungu ni yule aliye mchamungu zaidi katika nyinyi. , Mwenyezi Mungu ni Mjuzi, Mwenye khabari.)
 
Hivi unapotamka neno waarabu, ulihakikisha umeswaki? Umesukutua mara tatu? Au umetoka kula zako dagaa na michembe halafu unachafua matamshi ya neno tukufu "waarabu"?
Kwa taarifa Yako hapa Duniani hakuna jamii ya watu Bora kuliko waarabu. Fanya ufanyavyo Ile ni superior race.
Na wana haki ya kukufanyieni vyovyote watakavyo.
We unaleta ushuzi tu duniani na kupunguza hewa, wenzako Wameleta dini wale Ala!
Hapa umekosea kabisa tena sana.
Hakuna kitu kiitwacho taifa au kabila tukufu duniani.
Wako waarabu waabudu sanamu in milions duniani.
Wako waarabu wabaya kuliko unavyofikiri wewe.
Dini ameleta Mungu kupitia kwa mitume wake aliowachagua .

Hio ni imani potofu kabisa kudai waarabu ni watukufu.
Mbora mbele ya Mungu ni yule mwenye kumuabudu namna anavyostahiki kuabudiwa.

Hakuna mtu atafikia utukufu kwa kabila lake.
Wapinzani wakubwa wa Uislamu enzi zile walikuwa waarabu na mpk leo wako waarabu wengi tu wapinga Dini ya Haki.
 
Ntajikita zaid kwa wale waarabu na wahindi orijino tukiachana na hawa waliochanganywa changanywa.

hasa kwa waarabu, yaani hata uwe wa dini yao, uvae full set baraghashia + kanzu + kobazi na kujifunza hata lugha zao ili uendane nao huwa ni kazi sana upande wa familia ya kiarabu au wahindi kukuona ni mwanafamilia wao ulieoa binti yao ....

Mfano Msukuma anaweza kumuoa Mbena na hapo kunakuwa na ndugu mpya kati ya wanafamilia wa pande zote mbili katika kutembeleana, kujuliana hali, kusaidiana, n.k

lakini hili linakuwa kazi sana mtanzania mweusi (n wenye weupe wa kibongo) wakioa waarabu au wahindi
Ni rahisi kuoa mzungu kuliko hao takataka wahind au waarabu...
 
Mzungu ni cheap kuliko mswahili.
Mzungu alimpenda Remmy Ongala. Jamaa Ana sura ka kapondwa na nyumba We unadhani kuna mtu atamkataa?
We hapo una sura ka nyani kaonja ukwaju lkn mzungu akikuona anaweza kupenda hio pua yako kubwa ka nyumba ya nyuki akakutongoza bure ukajiona na wewe mzuri kumbe ovyo kabisa
 
Kwahyo waarab na wahindi sio cheap mf*
...takataka
 
Back
Top Bottom