Kwanini ukioa mwarabu/ mhindi inakuwa ngumu kwa wanafamilia wa upande wa waarabu/ wahindi kujenga undugu upande wa mme wa binti yao?

Kwanini ukioa mwarabu/ mhindi inakuwa ngumu kwa wanafamilia wa upande wa waarabu/ wahindi kujenga undugu upande wa mme wa binti yao?

Hivi unapotamka neno waarabu, ulihakikisha umeswaki? Umesukutua mara tatu? Au umetoka kula zako dagaa na michembe halafu unachafua matamshi ya neno tukufu "waarabu"?
Kwa taarifa Yako hapa Duniani hakuna jamii ya watu Bora kuliko waarabu. Fanya ufanyavyo Ile ni superior race.
Na wana haki ya kukufanyieni vyovyote watakavyo.
We unaleta ushuzi tu duniani na kupunguza hewa, wenzako Wameleta dini wale Ala!
Brainwashed
 
Ooooooh ...... Ok. Huyu wangu ni mwarabu chafu. Ni wa hapa hapa bongo. Sema ni mwarabu lakini. So msinichukulie poa.
Sema umeoa mrangi au muirak wa Hanang Arusha.
Na wao ni weupe na wana pua ndefu.

Ukitaka kujua km ni mwarabu kweli mpe ugali na sukumawiki au ugali na nsansa akiweza kula huyo umeingia cha kike.
Mwarabu wa asili hapa Bongo hawafiki hata elf 1
Hawa waliobaki ni wanyamwezi na wasukuma tu kasoro kuchunga ng'ombe
 
Hata Hawa safi huwa uchumi ukiimarika hutoka Buseresere na kuishi Dar utasema sio wa Buseresere, we si unaona kina Rostam wazee wa Igunga ila vizazi vyao vimejikuta kuwa waarabu safi ila wazee wamepiga misele Igunga
ROSTAM na ukoo wake wote SIO WAARABU wala hawana ASILI YA KIARABU HATA 1%.

HAO NI WABULUSHI.
Na wabulushi asili yao Iran.
Kwao wanakula ugali flani wa unga wa ngano kitoweo mafuta ya alizeti.
Mbulushi akiwa na hela hafai kabisa. Kila mtu anamuona nyani.
 
Umenikumbusha mzee ruksa..hadi akauza loliondo.

#MaendeleoHayanaChama
We lzm utakuwa mgalatia.
Manake hata mjifiche kwa majina ya kibantu kwenye comment mnajulikana tu.
Chuki zenu zinawaua sana kwa magonjwa ya moyo.
Pole sana paroko
 
yaani weaker societies zinapojikombeleza kuoa kwenye stronger societies ndio haya hutokea

hakuna chochote hapo,utakua viewed na perceived kama social climber uliejipendekeza kwenye jamii yao

wewe kwenu unakosa wa kuoa ndugu?

stronger societies never respect weak societies

umefanya conscious decision ya kuoa kwao,na hizi ndio results zake,deal with it....eti unashangaa...unashangaa nini na this ni logical results?

Weaker societies bwana...zina malalamiko sana....blah blah...

Sijui nilimpenda sana,sijui upendo,sijui love and other nonsense...thats true to you....

In the eyes of their society you are useless and paramia their society using backdoor of marriage...their view is truer than yours no matter how true you are!
Kijana wa mfalme ameoa yule binti black American aliyechanganya damu. Waingereza walichukia kuwa damu yao inachafuliwa.
Mpaka wakamvalisha nyani nguo kuwa anaingia kwenye kasri.

Shida ya watu weusi ama waafrika hawajui Ni jinsi gani wanadharaulika na race zote duniani.
Yaani black ndiye Yuko kwenye bottom pyramid ya kila kitu labda kut00mba tu na maumbile makubwa tu huwa unapewa heshima.

Hata wazungu ama weupe wadada wanawatumia like sex machine Ila anaolewa na wa kwao wengi.

Wanaolewa na blacks wazungu unakuta Ni madunga yembe yaani Ni rejected materials za huko kwao.anayebisha aje hapa yaani Ni wale wadada Kama wanaofanya kazi kwenye makasino,bars ,etc ndio hao black anajizolea akija Africa anavimba anajiona kuwa Yuko juu ,kumbe kule kwao akawasaidia kuzoa mzigo ama kununua embe na parachichi ambazo zingeoza hata kwa juisi zimeanza kuisha ubora wake. Sasa unafika kwako unavimba eti nimewaletea matunda na wakati ilitakiwa na ulipwe na hela ya kuzoa taka sema ndio ivyo umekamatishwa ukatoa hela badala ya wewe kupewa uchafu ukazoea na hukulipwa.

Ndio uchungu huo anayetaka aje for debate
 
Binafsi nawaita washirazi.
Hapana
Washirazi asli yao ni North Irani. Walikuja visiwa vya Archpelago na Lamu karne ya 10 na 11.
Hawa wabulushi wanatokea jambo moja liitwalo "BALUCHISTAN".

Washirazi wamebadilika na kuwa kama sisi wabantu.
Kuanzia tabia mpk kuoana na sisi

Wabulusho Kila nchi duniani inawachukia kwa Tabia zao za ubinafsi. Hakuna Ruksa kuoa kwao bali wao wanaoa waswahili kila mara.

Mungu awaongoze pamoja na sisi wote
 
Maneno yako sio sahihi.
Hakuna jamii nzima ikawa MBAYA YOTE .
Kila jamii ina wabaya na wazuri.
Wako wazungu weupe walipoteza maisha yao ktk kupigania haki ya mtu mweusi USA.

Na Mpk leo wako wazungu weupe wanapigania haki za African American maisha yao yote.

Wako watu weusi wabaya sana sana tena kupita maelezo. Wenye ubaguzi mpk wa kuua mtu.
Mfano umeuona RWANDA NA BURUNDI.
Tazama South Africa walivyoua waafrika wenzao sababu tu ni kuwa wao sio watu wa South Africa.

MBaguzi mweusi ni mbaya kuliko hata wa huyo mweupe.

Mtu mweupe kaweka sheria za kuwabana Raia wao pale wanapobagua wengine kwa rangi au imani zao.

Hapa nchini mara ngapi askari wanatukana mtu sababu tu kavaa kanzu au msalaba?

Hayo angefanya ulaya siku hio hio hana kazi.

Kwahio TUSEME UKWELI japo Ukweli mwingine unauma.

Sisi waafrika pia ni wabaguzi mno. Tena sana
 
Hapana
Washirazi asli yao ni North Irani. Walikuja visiwa vya Archpelago na Lamu karne ya 10 na 11.
Hawa wabulushi wanatokea jambo moja liitwalo "BALUCHISTAN".

Washirazi wamebadilika na kuwa kama sisi wabantu.
Kuanzia tabia mpk kuoana na sisi

Wabulusho Kila nchi duniani inawachukia kwa Tabia zao za ubinafsi. Hakuna Ruksa kuoa kwao bali wao wanaoa waswahili kila mara.

Mungu awaongoze pamoja na sisi wote
Uko vizuri kaka, asante kwa haya madini
 
ROSTAM na ukoo wake wote SIO WAARABU wala hawana ASILI YA KIARABU HATA 1%.

HAO NI WABULUSHI.
Na wabulushi asili yao Iran.
Kwao wanakula ugali flani wa unga wa ngano kitoweo mafuta ya alizeti.
Mbulushi akiwa na hela hafai kabisa. Kila mtu anamuona nyani.
Shukrani Kwa ufafanuzi
 
Back
Top Bottom