Kwanini ukiombewa na Baba yako mambo yanafanikiwa au Baba ndo Mungu mwenyewe ?

Kwanini ukiombewa na Baba yako mambo yanafanikiwa au Baba ndo Mungu mwenyewe ?

Mungu alimuumba Mwanaume kwanza, mwanaume akatawala kila kitu kabla ya ujio wa Hawa.

Utawala wa maisha upo chini ya Uume, mwanaume/baba akiwa vizuri kiroho, anapokutamkia kitu mwanae au hata kwake yeye mwenyewe ni rahisi zaidi mambo kufunguka zaidi utawala wa kuamua chochote kile duniani kipo chini yake.
 
Watoto wa baba tunakuelewa vizuri sana,.
Japo hapo kwenye Uungu naona kama hauko sawa
Mleta mada yuko sahihi! Baba mzazi sio Mungu! Lakini ndiye mwenye baraka za kukufanya ufanikiwe! Kaa vizuri na baba! Patana naye! Hata usipompa kitu lakini kaa naye vizuri. Kuna vijana wanaleta madharau na baba zao na kuona mama zao ndo kila kitu! Mwisho wa siku ndo wanakuja kujua ya kwamba hawajui!
 
Unaweza kutengeneza justifications za kila aina! Lakini nyuma ya pazia ni baba! Alafu sio kila baraka ina mwisho mwema! Hata wabaya wana utajiri wa fedha!

Kwahiyo wasio na baba are doomed?
 
Mleta mada yuko sahihi! Baba mzazi sio Mungu! Lakini ndiye mwenye baraka za kukufanya ufanikiwe! Kaa vizuri na baba! Patana naye! Hata usipompa kitu lakini kaa naye vizuri. Kuna vijana wanaleta madharau na baba zao na kuona mama zao ndo kila kitu! Mwisho wa siku ndo wanakuja kujua ya kwamba hawajui!
Nimekupata
 
Kama ndo mungu anajiomba mwenyewe?

Wote waliochapwa na maisha hawana baba au hawajui kuomba?

Elona Musk hataki hata kumsikia baba yake.

Jeff Bezos hana mawasiliano yeyote na baba yake mzazi.

The list is endless.
Umewasahau Diamond na Ommy Dimpoz

Obviously utakua SINGLE MOTHER

Mnapenda saana kujifariji
 
Wakuu huu ni ushuhuda.

Mwaka 2020 nilianza kuishi na Baba mzazi baada ya kuumia kupata Ajali .

Niliamua kubeba hilo jukumu 100% japo ndugu zangu walikuwa wanaruka ruka.

Ila asikuambie mtu tangia nianze kukaa na mzee wangu haya ndo niliyoyapata.

Kila nikitaka kufanya jambo nilikuwa nikimshirikisha analiombea basi hilo jambo lazima litiki 100%.

Baada ya kutafakari nimegundua Baba ndo Mungu mwenyewe hivyo nimekuwa nikimpelekea mahitaji yangu ayaingize katika maombi na kweli kila kitu kimekuwa kinaenda swadakta.

Hii imenifanya kugundua umuhimu wa kuheshimu ancestors Kwa wale ambao baba zao wamefariki na kuheshimu baba zao.

Kwa sasa my Father is everything
hili nimelipenda.
 
Umewasahau Diamond na Ommy Dimpoz

Obviously utakua SINGLE MOTHER

Mnapenda saana kujifariji

Nimewataja chini, shangazi.

Kuwa single mother sio dhambi inamaanisha kuna baba wa hovyo kakimbia majukumu yake. Baba huyo huyo wa hovyo anataka aje asaidiwe bdae na mtoto aliyemtelekeza. Smh

Diamond na Ommy defeats your notion maana wametoboa bila uwepo wa baba zao. Hoja yenu inakua hoja mfu.
 
Baba sio Mungu Bali Baba ni mreji Mkubwa sana unaoweza kupitisha Baraka kutoka Mungu kuja kwa Mtoto!

Hakuna Mtu anayeweza kukuombea kwa dhati ya moyo, kwa Imani na kwa upendo kama mzazi, including Baba au mama.

Kwenye Biblia Baba ndio watu waliokuwa walitumiwa na Mungu kuachilia Baraka kwa watoto.

Kumbuka Baraka ya Mungu inatajirisha.

Isaka alibarikiwa na Baba! Ambaye ni Ibrahimu na akafanikiwa

Yakobo akabarikiwa na Isaka! Ambaye ni Baba na akafanikiwa!

Yusufu alibarikiwa Yakobo ambaye ni Baba na akawabarikia wengine na kuwalaani pia baadhi ya watoto wake na ikawa ivo.

Siri ni kumpenda na kumuheshimu Baba na kumtunza.

I tap your grace and blessings from your father by Faith

Ningekuwa namjua alipo ningemubukia na Mimi aniombee!

Baba yangu alifariki 2009!
 
I love this mkuu
 
Diamond msanii namba moja EA last time I checked hana ishu na baba yake.
Sasa Diamond kwa akili zako unaona kabarikiwa? Kwichikwichi kila akiona tobo, kila aina ya uovu ni wa kwake! God forbid lakinI watu kama Diamond hata maisha yao ni hatari tupu
 
Sasa Diamond kwa akili zako unaona kabarikiwa? Kwichikwichi kila akiona tobo, kila aina ya uovu ni wa kwake! God forbid lakinI watu kama Diamond hata maisha yao ni hatari tupu

Hata maskini wanapulizana kila siku nenda Makete kaone ngoma ilivyosambaa wakati watu hawana hata cent moja mfukoni.

Umaskini sio hatari?
 
Back
Top Bottom