Mleta mada yuko sahihi! Baba mzazi sio Mungu! Lakini ndiye mwenye baraka za kukufanya ufanikiwe! Kaa vizuri na baba! Patana naye! Hata usipompa kitu lakini kaa naye vizuri. Kuna vijana wanaleta madharau na baba zao na kuona mama zao ndo kila kitu! Mwisho wa siku ndo wanakuja kujua ya kwamba hawajui!Watoto wa baba tunakuelewa vizuri sana,.
Japo hapo kwenye Uungu naona kama hauko sawa
Unaweza kutengeneza justifications za kila aina! Lakini nyuma ya pazia ni baba! Alafu sio kila baraka ina mwisho mwema! Hata wabaya wana utajiri wa fedha!
We jamaa mbishi sana
NimekupataMleta mada yuko sahihi! Baba mzazi sio Mungu! Lakini ndiye mwenye baraka za kukufanya ufanikiwe! Kaa vizuri na baba! Patana naye! Hata usipompa kitu lakini kaa naye vizuri. Kuna vijana wanaleta madharau na baba zao na kuona mama zao ndo kila kitu! Mwisho wa siku ndo wanakuja kujua ya kwamba hawajui!
Umewasahau Diamond na Ommy DimpozKama ndo mungu anajiomba mwenyewe?
Wote waliochapwa na maisha hawana baba au hawajui kuomba?
Elona Musk hataki hata kumsikia baba yake.
Jeff Bezos hana mawasiliano yeyote na baba yake mzazi.
The list is endless.
hili nimelipenda.Wakuu huu ni ushuhuda.
Mwaka 2020 nilianza kuishi na Baba mzazi baada ya kuumia kupata Ajali .
Niliamua kubeba hilo jukumu 100% japo ndugu zangu walikuwa wanaruka ruka.
Ila asikuambie mtu tangia nianze kukaa na mzee wangu haya ndo niliyoyapata.
Kila nikitaka kufanya jambo nilikuwa nikimshirikisha analiombea basi hilo jambo lazima litiki 100%.
Baada ya kutafakari nimegundua Baba ndo Mungu mwenyewe hivyo nimekuwa nikimpelekea mahitaji yangu ayaingize katika maombi na kweli kila kitu kimekuwa kinaenda swadakta.
Hii imenifanya kugundua umuhimu wa kuheshimu ancestors Kwa wale ambao baba zao wamefariki na kuheshimu baba zao.
Kwa sasa my Father is everything
Umewasahau Diamond na Ommy Dimpoz
Obviously utakua SINGLE MOTHER
Mnapenda saana kujifariji
Haujui maana ya baraka
I love this mkuuBaba sio Mungu Bali Baba ni mreji Mkubwa sana unaoweza kupitisha Baraka kutoka Mungu kuja kwa Mtoto!
Hakuna Mtu anayeweza kukuombea kwa dhati ya moyo, kwa Imani na kwa upendo kama mzazi, including Baba au mama.
Kwenye Biblia Baba ndio watu waliokuwa walitumiwa na Mungu kuachilia Baraka kwa watoto.
Kumbuka Baraka ya Mungu inatajirisha.
Isaka alibarikiwa na Baba! Ambaye ni Ibrahimu na akafanikiwa
Yakobo akabarikiwa na Isaka! Ambaye ni Baba na akafanikiwa!
Yusufu alibarikiwa Yakobo ambaye ni Baba na akawabarikia wengine na kuwalaani pia baadhi ya watoto wake na ikawa ivo.
Siri ni kumpenda na kumuheshimu Baba na kumtunza.
I tap your grace and blessings from your father by Faith
Ningekuwa namjua alipo ningemubukia na Mimi aniombee!
Baba yangu alifariki 2009!
Sasa Diamond kwa akili zako unaona kabarikiwa? Kwichikwichi kila akiona tobo, kila aina ya uovu ni wa kwake! God forbid lakinI watu kama Diamond hata maisha yao ni hatari tupuDiamond msanii namba moja EA last time I checked hana ishu na baba yake.
Sasa Diamond kwa akili zako unaona kabarikiwa? Kwichikwichi kila akiona tobo, kila aina ya uovu ni wa kwake! God forbid lakinI watu kama Diamond hata maisha yao ni hatari tupu
Pamoja sana Mkuu! Kama Baba yupo hai tumia sana hiyo nafasi kuchota baraka kwakeI love this mkuu