Kwanini Ukiota unafanya mapenzi na mwanamke matokeo yake huwa tofauti sana na mwanamke katika uhalisia?

Kwanini Ukiota unafanya mapenzi na mwanamke matokeo yake huwa tofauti sana na mwanamke katika uhalisia?

Pendaelli

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2014
Posts
11,050
Reaction score
31,412
habari za muda huu wakuu?
naomba kuleweshwa kidogo, tukiacha habari za majini mahaba na wenziwe.
ni kwa nini mtu ukiota unafanya mapenzi na mwanamke kwenye ndoto raha yake huwa ni kubwa mara mbili mpaka tatu kuliko ya mwanamke wa halisia?
 
nalala mwenywe kitanda changu yeye analala na wanawe

Sawa, kumbe tayari mnalala tofauti..ndio mlivyokubaliana hivyo kwamba yeye alale na watoto room nyingine na wewe ulale mwenyewe?

Ila naamini hicho kitanda ulichopigia bao na hilo godoro na mashuka ndio sehemu unayokutana kimwili na mkeo au sivyo boss?
 
no nikitanda cha muda kwani ni mzazi so sikupenda usumbufu kwao nikajitenga

Good. Kwa imani yako omba sana upate tafsiri ya hiyo ndoto mkuu. Hizo ndoto nyevu hazina dalili nzuri kabisa. Jitahidi sana kuwa karibu na muumba kwa kufanya ibada. Ombea sana familia yako na ndoa yako.
 
habari za muda huu wakuu?
naomba kuleweshwa kidogo, tukiacha habari za majini mahaba na wenziwe.
ni kwa nini mtu ukiota unafanya mapenzi na mwanamke kwenye ndoto raha yake huwa ni kubwa mara mbili mpaka tatu kuliko ya mwanamke wa halisia?
kilicho nitokea mimi jana usiku wa kuamkia leo sijwahi kukihisi kwa kipindi chote toka kuanza kwa mambo haya ya ngono, sijui yule mwanamke aliokea wapi lakini kwakweli ile shoo sijawai iishi kamwe , mtu unaunganishia aisee!

niweke sawa pia sio kwamba niko na ukame sana laa! lakini niko na mke pia.

ila pamoja na hisia lakini kwa nini mwanamke wa kwenye ndoto ni mtamu hivyo? ninikiko nyuma yake labda?
Hapo kuna mambo mawili
Moja huenda akawa jini(sheitwan) na si dalili njema kwani inaonesha kiasi gani upo mbali sana na Mola wako Mlezi
Pili yaweza kuwa tu ya kawaida hasa kama una tabia ya kulala kifudifudi na uume ukapata joyo ila sasa kwenye hili haitakiwi itokee unayefanya naye awe na umbile complete la mwanadamu
 
Sjaelewa hi kdogo kwa upande wa pil, kwmba asiwe Na umbo completely la mwanadam, kiaje boss
Hapo kuna mambo mawili
Moja huenda akawa jini(sheitwan) na si dalili njema kwani inaonesha kiasi gani upo mbali sana na Mola wako Mlezi
Pili yaweza kuwa tu ya kawaida hasa kama una tabia ya kulala kifudifudi na uume ukapata joyo ila sasa kwenye hili haitakiwi itokee unayefanya naye awe na umbile complete la mwanadamu
 
Ngoja nisiseme sana na mimi ni muhanga wa ili japo sijawah kupiga nyeto wala nini, inatokea bao ilo c kitoto muda mwingine demu wangu anashuhudia anakuta napiga bao afu sina habar badae ananiambia yoote....nadhan ni mwili wa mtu na mtu cuz inatokea mara chache sana.
 
Kwakua hua tunagewa kila kitu kila style kila sehemu. Hamna mambo ya hiyo siwezi.
 
habarini, kuna ndoto naiota hii ni mara ya pili. naota nimepita sehemu nimefika sehemu chini nikaona hela noti ya elfu 5 afu zimekunjwa. kila nikiokota naona nyingine mpaka najaza mifuko yangu ya suruali. cha ajabu hizo noti hazionekani vizuri mpaka uwe na kipaji hasa.

mara ya kwanza kuota hii ndoto niliota niko na rafiki yangu, ila wakati naziokota hizi noti yeye alikuwa anapata tabu sana kuziona ila mimi nikawa nafanya kazi ya kumuonyesha

mara ya pili nikiwa napita tena, nikakutana nazo tena, nikaanza kuziokota kama kawaida yangu. hii inamaanisha nini hii ndoto ya kuota unaokota hela?
 
Back
Top Bottom