Kwanini ukipanda ama Basi au Gari linaloendeshwa na Mzee unakuwa na Amani na Safari yako kuliko ukipanda ambalo anaendesha Kijana?

Kwanini ukipanda ama Basi au Gari linaloendeshwa na Mzee unakuwa na Amani na Safari yako kuliko ukipanda ambalo anaendesha Kijana?

Kwanini ukienda kukatia bima gari yako premium rate ya bima kama ni kijana itakuwa kubwa tofauti na mtu mzima au mzee au mwanamke wakati aina ya gari ni ile ile? Ukisha pata jibu utakuwa umejibu swali lako.
 
Bima gani hyo mzeee?
Mbona unatupiga kamba
 
Ujana maji ya moto.
Uzee vuguvugu.
Ukioga yapi unakuwa na amani?
 
Mimi nimeshasema nitapanda basi linaloendeshwa na mzee ikiwa ilo basi litasafiri mchana ila usiku nitamwomba apumzike ampishe kijana ambae ubongo wake bado unachemka na anauwezo wa kuhimili changamoto zote za usiki ukiwepo usingizi.
Mfano: Mwezi wa 2 mwaka huu nilipanda basi la Newforce dreva ni mzee kutokana na uchovu na usingizi nusura atuue pale rungemba mafinga sababu ya uzee wake.
Shekilango kuna abiria wawili wenzangu wakawa wananiuliza dreva mbona mzee kweli ataweza kuendesha basi usiku ? Mie nikawajibu tuombe tu Mungu atufikishe salama .
Lakini dreva alizidiwa na usingizi akaligonga roli kwa nyuma na basi likachochora polini kilichotuokoa lisipinduke ni miti mikubwa ililiziuia lisisonge mbele kwenye msitu.
Polisi walinisema sana kisa nilifunga mdomo wakisisitiza next time ukiona dreva haelewekwi fumbua mdomo wako usicheke nao hatari kwa maisha yenu abiria.
 
Halafu niwaombe mno Wazee mnaoendesha Magari / Mabasi hebu pangeni Siku muwe mnatoa Elimu kwa Vijana Ok?
Vijana wana wenge,wanakunywa visungura dabo kik,ugoro mixer mirungi
Hapo bado hawaja beti barabarani
Njiaaa nzima ndani wanafungukia singeli na amapiano kwa nguvu
Vijana vichwa vibovu kabisa

Ova
 
Halafu niwaombe mno Wazee mnaoendesha Magari / Mabasi hebu pangeni Siku muwe mnatoa Elimu kwa Vijana Ok?
Wanasema ujana maji ya moto,

kijana anatoka kuendesha Subaru halafu anapewa YUTONG ya mkoa lazima kuna siku atawamwaga tu,
 
Back
Top Bottom