tagMe ilinitokea niliswekwa Sello kwa muda dk 10 nikatolewa basi nikachukulia poa zile nguo sikuchoma moto nikawa naendelea kuzivaa!!!! Baba yaliyokuja kunikuta sitasahau inshort niliswekwa Sello kwa msala mwingine kimasihara
Na ukute pamba ni kali kinoma inaumaje🤣🤣🤣🤣Mzee acha mchezo sio Masihara maana nilitaka kugoma lakini biti nililopigwa mbona nilienda mwenyewe chooni
tag
Wanajua ulibakwa nayo. Unataka uingie Na uchafu wako ndani?! 😡😡😡.Habari wana Jf tupeane pole juu ya Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha Nchini.
Juzi kati nilipata msala mdogo amabao ulinipelekea kuwekwa Selo pale kituo cha polisi msimbazi.
Baada ya kusolve na kutolewa tulielekea moja kwa moja mpka home lakini ajabu baada ya kufika home.
Mzee na B mkubwa walinizuia kuingia ndani na zile nguo wakidai inatakiwa niende nikazitolee chooni kisha baada ya hapo zikachomwe moto Wazee nilistaajabu sana anyway wanaojua zaidi waje watujuze.
Uko sahihi. Angewauliza hao wazazi wake sababu ya kufanya hivyo, angepewa jibu sahihi zaidi kuliko kuuliza humu jukwaani.Sasa si uwaulize mzee na bi mkubwa waliokuambia ivyo.
hata ukitoka msibani unatakiwa ukoge na nguo utoe zifuliwe,au kama mama anayonyesha akitoka msibani aoge kwanza na kubadili nguo husika ndo mtoto anyonyeHabari wana Jf tupeane pole juu ya Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha Nchini.