Mtu kama mtu hizo ndevu za niniHahahahaha
kwetu ni katoto Oddo why lakinAnaniona katoto ka afu 2 kumbe kazee😅
Naomba kukuuliza swali lililo nje ya mada, cactus (dungusikakati) / Pricky pea ( opuntia) ni dawa ya nini? inachanganywa na nini ili itumike?Nadhani mambo ya Imani zaidi .
Kwetu Bukoba huwa wanaoga dawa ukitoka nyuma ya nondo hauwezi kuingia ndani bila kuoga dawa.
Kuhusu kuchoma nguo hwazichomi Ila hauwezi kuingia ndani bila kuoga dawa.
Kuna dawa za kihaya unaoga ili uondoe mikosi.
Labda asiingize nuksi na kunguni za selo huko🤠!