kiredio Jr
JF-Expert Member
- Jul 8, 2024
- 989
- 1,843
Kwa uzoefu wangu wa maisha ya mtaani, nimegundua wababa au wanaume wengi wakiwa nyumbani siku za mapumziko au siku yoyote, hawajiweki smart kama ambavyo wanafanya wakiwa wanatoka.
Nyumbani ni sehemu muhimu kuwa smart kwani ndyo kipindi ambacho upo na mwenza wako na anafurahi akikuona umevaa na kuwa na muonekano mzuri.
Kwanini ukitoka unavaa smart na nguo nzuri na kunukia vizuri lakini ukiwa nyumbani unavaa matambara na nguo ambazo zimechoka na hazina mvuto?
Unaenda nje kuwaonyesha wengine umaridadi wako lakini mke wako unamvalia mapensi na mavest yaliyo gimbaa....
Naamini wanawake wengi wanapenda wanaume wasafi hasa wakati ambao wapo wote nyumbani...
Tubadilike......
Pia soma: Kuwa mtanashati au handsome ni mzigo mkubwa