Kwanini ukitoka unavaa vizuri lakini ukiwepo nyumbani unavaa matambara?

Tafsiri ya neno usafi ndio changamoto kwa mtoa mada. Tunavaa kulingana na mazingira.
Kwanza ukiwa nyumbani unakuwa na shughuli nyingi na nyingine hazina mpangilio hivyo lazima ujuweke katika mazingira ya kukabiliana na chochote.
Sema inawezekana mtoa mada bado anaishi geto hivyo muda wote anawaza kuzurura.
 
Kweli mimi naishi geto lakini naona namna watu wanavyokuwa rafu pindi wakiwa makwao, kama kuna kazi unafanya ukimaliza jisafishe na ukae ukiwa nadhifu. Sio nguo za kazi ndyo unaingia nazo chumbani au sebuleni
 
Na hii ni wote wanaume na wanawake,kila mmoja anatakiwa apendeze kwa ajili ya mwenzake,yeah inafahamika kuna wakati wa kazi,lkn mkishamaliza uwe nadhifu piga unyunyu mwenzio afurahi

Tena kwa mwanamke ndo ujipambe kabisa kwa ajili ya mumeo
 
Sahihi kabisa mkuu, wanawake wengine nao wakiwa nyumbani hata kuoga hawaogi, wanavaa nguo moja kutwa nzima, ukipishana nao ni kama umepishana na kibudu
 
Kweli mimi naishi geto lakini naona namna watu wanavyokuwa rafu pindi wakiwa makwao, kama kuna kazi unafanya ukimaliza jisafishe na ukae ukiwa nadhifu. Sio nguo za kazi ndyo unaingia nazo chumbani au sebuleni
Kama unaishi geto basi endelea kupambana, ukikua utaelewa. Wanasema kua uyaone.
Kimsingi ukiwa nyumbani kwako kuna shughuli nyingi sana ambazo haziishi wala hazina mpangilio.
Sasa wewe ukiwa geto kwako kila mara unawaza nikaruke kiwanja kipi ndio maana unawaona wanaoishi nyumbani kwao ni wachafu.
 
Kuishi geto sio sababu ya hayo, ila ni ukweli kwamba wengi wakiwa nyumbani hawawi nadhifu, hatakama kuna kazi nyingi wanafaya lakini sio muda wote watakuwa na kazi, wakimaliza wajisafishe na kubaki nadhifu
 
Back
Top Bottom