BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
Muacheni mshamba_mwingine wangu, yeye hanukagi ila napendaga kaharufu cha pumbUh lakeHao ulio watag wananuka nini mkuu kati ya kwapa na kinyeo..?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muacheni mshamba_mwingine wangu, yeye hanukagi ila napendaga kaharufu cha pumbUh lakeHao ulio watag wananuka nini mkuu kati ya kwapa na kinyeo..?
na wanaovua nguo nzuri na kuvaa matambala wanapoingi kazini,na kuna wanaovaa vaa suti na kuvua matambala wapoingia kazini!!Kwa uzoefu wangu wa maisha ya mtaani, nimegundua wababa au wanaume wengi wakiwa nyumbani siku za mapumziko au siku yoyote, hawajiweki smart kama ambavyo wanafanya wakiwa wanatoka.
Nyumbani ni sehemu muhimu kuwa smart kwani ndyo kipindi ambacho upo na mwenza wako na anafurahi akikuona umevaa na kuwa na muonekano mzuri.
Kwanini ukitoka unavaa smart na nguo nzuri na kunukia vizuri lakini ukiwa nyumbani unavaa matambara na nguo ambazo zimechoka na hazina mvuto?
Unaenda nje kuwaonyesha wengine umaridadi wako lakini mke wako unamvalia mapensi na mavest yaliyo gimbaa....
Naamini wanawake wengi wanapenda wanaume wasafi hasa wakati ambao wapo wote nyumbani...
Tubadilike......
Pia soma: Kuwa mtanashati au handsome ni mzigo mkubwa
Hizo zote ni kutokana na uhalisia au mazingira ya kazini, ila point ni kwamba ukiwa nyumbani ni vizuri kuwa nadhifuku
na wanaovua nguo nzuri na kuvaa matambala wanapoingi kazini,na kuna wanaovaa vaa suti na kuvua matambala wapoingia kazini!!
Unaamini nini mwanaume akinukia/akiwa msafi??Mwanaume unukie ili iweje?
Mwanaume unatakiwa unuke nguvu
Ukiwa kwako kwenye himaya yako/ya kwenu unafanya chochote unataka, hakuna wa kukupangia.
Sasa sisi wafugaji tutaingia mabandani na suti na tai kweli!? 😛 😛Kwa uzoefu wangu wa maisha ya mtaani, nimegundua wababa au wanaume wengi wakiwa nyumbani siku za mapumziko au siku yoyote, hawajiweki smart kama ambavyo wanafanya wakiwa wanatoka.
Nyumbani ni sehemu muhimu kuwa smart kwani ndyo kipindi ambacho upo na mwenza wako na anafurahi akikuona umevaa na kuwa na muonekano mzuri.
Kwanini ukitoka unavaa smart na nguo nzuri na kunukia vizuri lakini ukiwa nyumbani unavaa matambara na nguo ambazo zimechoka na hazina mvuto?
Unaenda nje kuwaonyesha wengine umaridadi wako lakini mke wako unamvalia mapensi na mavest yaliyo gimbaa....
Naamini wanawake wengi wanapenda wanaume wasafi hasa wakati ambao wapo wote nyumbani...
Tubadilike......
Pia soma: Kuwa mtanashati au handsome ni mzigo mkubwa
Mkimaliza kulisha mifugo ogeni na vaeni nguo safi mkiwa ndani na wake zenu.Sasa sisi wafugaji tutaingia mabandani na suti na tai kweli!? 😛 😛
Hakika! Ukiwa nyumbani vikazi ni vingi mno, vingine huja hata bila kupanga. Kama ni nguo utachafua zote.Tafsiri ya neno usafi ndio changamoto kwa mtoa mada. Tunavaa kulingana na mazingira.
Kwanza ukiwa nyumbani unakuwa na shughuli nyingi na nyingine hazina mpangilio hivyo lazima ujuweke katika mazingira ya kukabiliana na chochote.
Sema inawezekana mtoa mada bado anaishi geto hivyo muda wote anawaza kuzurura.
Tunabadili lakini bado hatuwezi kuvaa kama twakwenda maofisini maana lolote laweza tokea ghafla ukarukia bandani fasta, na huo ndio wakati wakukagua vitu vyako kwa kina ili uone unapigwa au mambo yako sawaMkimaliza kulisha mifugo ogeni na vaeni nguo safi mkiwa ndani na wake zenu.
Inamaana kwamba kutwa nzima unakuwa na mifugo tu? Hakuna muda ambao unautumia kukaa na mwenza wako?Tunabadili lakini bado hatuwezi kuvaa kama twakwenda maofisini maana lolote laweza tokea ghafla ukarukia bandani fasta, na huo ndio wakati wakukagua vitu vyako kwa kina ili uone unapigwa au mambo yako sawa
Sina tatizo na hilo.Unaamini nini mwanaume akinukia/akiwa msafi??
Hapana sio muda wote ila muda mwingi kwakweli tunautumia kwa ukaguzi wa vijimiradi vyetu baada ya hapo ndio tunakaa pamoja.Inamaana kwamba kutwa nzima unakuwa na mifugo tu? Hakuna muda ambao unautumia kukaa na mwenza wako?
Sawa Mkuu, basi mkikaa pamoja au mkilala kabisa usiku ni vizuri kuhakikisha unakuwa nadhifuHapana sio muda wote ila muda mwingi kwakweli tunautumia kwa ukaguzi wa vijimiradi vyetu baada ya hapo ndio tunakaa pamoja.
Kwa saa ya kulala ni muhimu san kwakweliSawa Mkuu, basi mkikaa pamoja au mkilala kabisa usiku ni vizuri kuhakikisha unakuwa nadhifu
Ndugu! Wewe unafikiri huwa tunaenda kulala tukiwa na splashes za maji ya mabanda ya kuku na nguruwe tuliyoouwa tukisafisha? It's obvious kuwa shughuli za siku zikiisha tunajiweka sawa. Lakini huku kujiweka sawa sio kwa mitoko aisee. Ni kutupia home suitable attire tu zinazokupa comfort mazingira ya nyumbani.Kuishi geto sio sababu ya hayo, ila ni ukweli kwamba wengi wakiwa nyumbani hawawi nadhifu, hatakama kuna kazi nyingi wanafaya lakini sio muda wote watakuwa na kazi, wakimaliza wajisafishe na kubaki nadhifu
Nguo za nyumbani ni vizuri zikiwa simple ili kukufanya uwe flexible, lakini ziwe nadhifu sio zile ambazo zina hali mbaya.Ndugu! Wewe unafikiri huwa tunaenda kulala tukiwa na splashes za maji ya mabanda ya kuku na nguruwe tuliyoouwa tukisafisha? It's obvious kuwa shughuli za siku zikiisha tunajiweka sawa. Lakini huku kujiweka sawa sio kwa mitoko aisee. Ni kutupia home suitable attire tu zinazokupa comfort mazingira ya nyumbani.
Yaani anavyosema utafikiri kila mtu anaishi kwenye apartment ghorofani kila kitu remotekwani vest na pensi ni matambara
sasa nivae moka na suti nikakate fensi
Huo muda unaoshinda nyumbani kutwa nzima unautoa wapiKusafisha mabanda ni muda wote asubuhi mpaka usiku?
Kwamba hautengi muda kwaajili ya kukaa na familia yako? Siku zote unakuwa unatoka tu?Huo muda unaoshinda nyumbani kutwa nzima unautoa wapi