Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,063
YeahHupaswi kuwa mchafu kwa kisingizio cha kuwa mwanaume, ukiwa nyumbani ni muhimu ukavaa vizuri sio lazima kunukia
Kweli mimi naishi geto lakini naona namna watu wanavyokuwa rafu pindi wakiwa makwao, kama kuna kazi unafanya ukimaliza jisafishe na ukae ukiwa nadhifu. Sio nguo za kazi ndyo unaingia nazo chumbani au sebuleniTafsiri ya neno usafi ndio changamoto kwa mtoa mada. Tunavaa kulingana na mazingira.
Kwanza ukiwa nyumbani unakuwa na shughuli nyingi na nyingine hazina mpangilio hivyo lazima ujuweke katika mazingira ya kukabiliana na chochote.
Sema inawezekana mtoa mada bado anaishi geto hivyo muda wote anawaza kuzurura.
Imekaa vizuri hiyo Mkuu, usafi ni muhimuAhahaha mi hata hapa nyumbani wanaulizaga kwani una safari....
Mana mda wote mi nakiwasha tu ni sheria...
Ni ratiba..
Pesa sina kwanini nikae kinyonge alaaaah
Sahihi kabisa mkuu, wanawake wengine nao wakiwa nyumbani hata kuoga hawaogi, wanavaa nguo moja kutwa nzima, ukipishana nao ni kama umepishana na kibuduNa hii ni wote wanaume na wanawake,kila mmoja anatakiwa apendeze kwa ajili ya mwenzake,yeah inafahamika kuna wakati wa kazi,lkn mkishamaliza uwe nadhifu piga unyunyu mwenzio afurahi
Tena kwa mwanamke ndo ujipambe kabisa kwa ajili ya mumeo
Kama unaishi geto basi endelea kupambana, ukikua utaelewa. Wanasema kua uyaone.Kweli mimi naishi geto lakini naona namna watu wanavyokuwa rafu pindi wakiwa makwao, kama kuna kazi unafanya ukimaliza jisafishe na ukae ukiwa nadhifu. Sio nguo za kazi ndyo unaingia nazo chumbani au sebuleni
Ni muhimu sana....Imekaa vizuri hiyo Mkuu, usafi ni muhimu
Mwanaume unatakiwa unuke KWAPA na UNUKE KINYEO.Mwanaume unukie ili iweje?
Mwanaume unatakiwa unuke nguvu
Ukiwa kwako kwenye himaya yako/ya kwenu unafanya chochote unataka, hakuna wa kukupangia.
Kuishi geto sio sababu ya hayo, ila ni ukweli kwamba wengi wakiwa nyumbani hawawi nadhifu, hatakama kuna kazi nyingi wanafaya lakini sio muda wote watakuwa na kazi, wakimaliza wajisafishe na kubaki nadhifuSasa wewe ukiwa geto kwako kila mara unawaza nikaruke kiwanja kipi ndio maana unawaona wanaoishi nyumbani kwao ni wachafu.
Kusafisha mabanda ni muda wote asubuhi mpaka usiku?Ukivaa wewe inatosha, kuna kusafisha mabanda na mazingira
Hao ulio watag wananuka nini mkuu kati ya kwapa na kinyeo..?Mwanaume unatakiwa unuke KWAPA na UNUKE KINYEO.
Raha sana kunusa kinyeo kinachonuka chembechembe za mavi, usiombe ajambe ni UTAMUU.
Cha msingi mdomo usinuke, ila kinyeo raha.
Cc: Poor Brain Yohimbe bark dronedrake Mzee wa kupambania The Icebreaker
Sijawahi kuona au kusikia kitu kama hichi maisha yangu yote....Mwanaume unatakiwa unuke KWAPA na UNUKE KINYEO.
Raha sana kunusa kinyeo kinachonuka chembechembe za mavi, usiombe ajambe ni UTAMUU.
Cha msingi mdomo usinuke, ila kinyeo raha.
Cc: Poor Brain Yohimbe bark dronedrake Mzee wa kupambania The Icebreaker
Kwanini unasema ni kipaji mkuuNi muhimu sana....
Tena sana japo ni kipaji...
na umizimuHuu ni uibilisi plus ushetani
bichwa leo umefeli.Mwanaume unatakiwa unuke KWAPA na UNUKE KINYEO.
Raha sana kunusa kinyeo kinachonuka chembechembe za mavi, usiombe ajambe ni UTAMUU.
Cha msingi mdomo usinuke, ila kinyeo raha.
Cc: Poor Brain Yohimbe bark dronedrake Mzee wa kupambania The Icebreaker
🙌Utajiju.
Fantasy ya kinyeo kunuka inatia nyege sana my wangu... nachoka 🌝bichwa leo umefeli.