Kwanini ukitoka unavaa vizuri lakini ukiwepo nyumbani unavaa matambara?

ku
na wanaovua nguo nzuri na kuvaa matambala wanapoingi kazini,na kuna wanaovaa vaa suti na kuvua matambala wapoingia kazini!!
 
ku

na wanaovua nguo nzuri na kuvaa matambala wanapoingi kazini,na kuna wanaovaa vaa suti na kuvua matambala wapoingia kazini!!
Hizo zote ni kutokana na uhalisia au mazingira ya kazini, ila point ni kwamba ukiwa nyumbani ni vizuri kuwa nadhifu
 
Sasa sisi wafugaji tutaingia mabandani na suti na tai kweli!? 😛 😛
 
Hakika! Ukiwa nyumbani vikazi ni vingi mno, vingine huja hata bila kupanga. Kama ni nguo utachafua zote.
 
Mkimaliza kulisha mifugo ogeni na vaeni nguo safi mkiwa ndani na wake zenu.
Tunabadili lakini bado hatuwezi kuvaa kama twakwenda maofisini maana lolote laweza tokea ghafla ukarukia bandani fasta, na huo ndio wakati wakukagua vitu vyako kwa kina ili uone unapigwa au mambo yako sawa
 
Tunabadili lakini bado hatuwezi kuvaa kama twakwenda maofisini maana lolote laweza tokea ghafla ukarukia bandani fasta, na huo ndio wakati wakukagua vitu vyako kwa kina ili uone unapigwa au mambo yako sawa
Inamaana kwamba kutwa nzima unakuwa na mifugo tu? Hakuna muda ambao unautumia kukaa na mwenza wako?
 
Kuishi geto sio sababu ya hayo, ila ni ukweli kwamba wengi wakiwa nyumbani hawawi nadhifu, hatakama kuna kazi nyingi wanafaya lakini sio muda wote watakuwa na kazi, wakimaliza wajisafishe na kubaki nadhifu
Ndugu! Wewe unafikiri huwa tunaenda kulala tukiwa na splashes za maji ya mabanda ya kuku na nguruwe tuliyoouwa tukisafisha? It's obvious kuwa shughuli za siku zikiisha tunajiweka sawa. Lakini huku kujiweka sawa sio kwa mitoko aisee. Ni kutupia home suitable attire tu zinazokupa comfort mazingira ya nyumbani.
 
Nguo za nyumbani ni vizuri zikiwa simple ili kukufanya uwe flexible, lakini ziwe nadhifu sio zile ambazo zina hali mbaya.

Kama ni nguo za kazi basi ukimaliza kazi ziweke pembeni kabisa
 
kwani vest na pensi ni matambara
sasa nivae moka na suti nikakate fensi
Yaani anavyosema utafikiri kila mtu anaishi kwenye apartment ghorofani kila kitu remote

Hajui kuna wengine tumezungukwa na vichaka na mapori, muda wanaotumia kupumzika wengine tunautumia kuweka mazingira sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…