Kwanini ukitoka unavaa vizuri lakini ukiwepo nyumbani unavaa matambara?

Kazia hasa wanawake walioolewa. Yaani wanavaa kama hayawani.
 
We taratibu buana yani nile moka yangu safi inang'aa kama kipara cha january kadeti zito zito na shati langu kama mobutu alafu nikae sebuleni niangalie chanel za wanyama ,
Nikimaliza hapo naenda kwenye mabanda ya kuku kusafisha khaaaaah
 
Kwa sis tulio kwenye ndoa tuna vaaa kulingana na mazingira kwa sababu mara mtoto akuchezee kidogo nyumban pia kuna shughuli nying
Ni kweli lakini sio sababu ya kuvaa nguo mbaya au ambazo zimechakaa
 
We taratibu buana yani nile moka yangu safi inang'aa kama kipara cha january kadeti zito zito na shati langu kama mobutu alafu nikae sebuleni niangalie chanel za wanyama ,
Nikimaliza hapo naenda kwenye mabanda ya kuku kusafisha khaaaaah
Sio kuvaa shati na tai, ila hata ukivaa simple ni muhimu kuzingatia usafi na unadhifu
 
Ni ujinga tu kwakweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…