Kwanini ukiwa nchi za wazungu husikii njaa hovyo kama ukiwa bongo?

tang'ana

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Posts
11,931
Reaction score
15,849
Hello jf..
Nimebahatika kutembea nje ya bara la africa sehemu kama Sydney,London,Denver,New york,Istanbul,Melbourne na Madrid.
Nimegundua ukiwa huko hata husikii njaa hovyo tofauti na bongo ukiamka tu asubuhi unaamka na ubao wa kufa mtu.
Kwa nin iko hivyo?
 
Sema hujui kizungu....na vile vyakula vyetu vina majina ya ajabu mara kiepe,nguna,biriani sipat picha
 
Ni kwa sababu ya woga -- akili ina, as it were, turn off, a sort of internal physiological defense mechanism. Hii inachangiwa sana na kitu kinaitwa naivity -- ushamba.
 
Hello jf..
Nimebahatika kutembea nje ya bara la africa sehemu kama Sydney,London,Denver,New york,Istanbul,Melbourne na Madrid.
Nimegundua ukiwa huko hata husikii njaa hovyo tofauti na bongo ukiamka tu asubuhi unaamka na ubao wa kufa mtu.
Kwa nin iko hivyo?
😆😆😆😆
 
Yaani hapa njaa ishaanza. Wakati nimekula sio muda.
Kapime minyoo --- unakumbuka staili ya minyoo ya saluni ilhali unasahau kuna minyoo kibao kumtumbo. Njoo tukupatie dawa na ushauri nasihi.
 
Hello jf..
Nimebahatika kutembea nje ya bara la africa sehemu kama Sydney,London,Denver,New york,Istanbul,Melbourne na Madrid.
Nimegundua ukiwa huko hata husikii njaa hovyo tofauti na bongo ukiamka tu asubuhi unaamka na ubao wa kufa mtu.
Kwa nin iko hivyo?
Sydney,London,Denver...
Kwa uandishi huu, inaelekea hata Nairobi haujakanyaga wewe binadamu!
 
Stress za maisha .hata ukienda holiday hata hapa Tanzania mahali unatumia tu pesa n relax hakuna mawazo mengi hautasikia njaa ovyo...
 
Bongo Chuma ulete wanapiga kazi 24/7 (hakuna kulala)

Back
Top Bottom