Ingependeza kuwaajili watu wazima yaani wamama ili kipato chao wakalipie ada za watoto wao,na sio lazima walale hapo waje na kuondoka,wadada hamuwaonei huruma?? They too need to have their future, kuwafungia ndani na malipo ya lakimoja au alfu 50 mhhhh vinginevo kama mtakuwa mnawasomesha.
Nadhani wengi tuna experience kwenye hili. Yaani ukimtendea vizuri dada wa kazi na kumfanya kama mwanafamilia au kama mtoto wako lazima uishie kujuta! Utapigwa matukio hadi mwenyewe unyooshe mikono, atakaa miezi kadhaa tu utasikia mimi nataka kuondoka, sijui nimemiss kwetu, mara nyingine unashtukia hayupo, huyoo katoroka zake.
Sasa, pigisha kazi kama chuma ya Mjerumani, aloo anaweza kukaa hata miaka kumi na kila kitu kinaenda shwari kabisa! Kuna sayansi gani hapa? Ndo wote wameshazoea mikiki mikiki ama?
Tulikuwa na huyo ndugu yetu, yeye binti wa kazi akiondoka kwake anakuwa amekaa si chini ya miaka mitano. Lakini kwa namna anavyowatendea utaona huruma, kwanza familia kubwa (watu 7) na kuna watoto wa kuhudumia, kuamka mapemaaa kulala usiku mwingi, dada analia jikoni huko peke yake, marufuku kufika sebuleni labda awe analeta chakula au anasafisha, muda wote ye yuko na shughuli, mpaka aje kulala yuko hoi.
Sasa njoo kwa mwenzangu na mimi jifanye unamuona kama mdogo wako, ataamka muda anaotaka, muda mwingi yupo kwenye simu mara TV, unakuta vitu rafu mpaka wewe ndio unakuwa kama umeajiriwa sasa na yeye ndio Boss wako.
Kwanini iko hivi eti?🤔🤔
Sure ndo ukae wiki mbiliKazi za ndani hazipaswi kuwa ajira ya mtu ya kudumu, inapaswa kuwa kwa ajili ya kupita tu kuelekea maisha mengine mazuri zaidi.
The basis, is huo mshahara unaomlipa, badala uwalipe watu baki huko vijijini kuna Ndugu ambao na wao ungewafaa na kuwasaidia.Mi sihitaji stress za kukaa na ndugu.
Wangu nimeishi nae miaka 18 nahitaji kumfukuza sioni jinsi ya kuanza kumfukuza
mmh dada kumpga tena?Mfanyakazi mpe stahiki usimtese, mpe uhuru mpe siku moja ya mapumziko nae aende akafanye yake!.
akikosea kama una weza piga huwezi mseme asiyajue sana yako hapo mtaishi
Hizo ndio tunaitaga SURVIVAL JOBSKazi za ndani hazipaswi kuwa ajira ya mtu ya kudumu, inapaswa kuwa kwa ajili ya kupita tu kuelekea maisha mengine mazuri zaidi.
Huyu dada zamani nilikuwa namtandika tena nilishamtandika sana baada ya kutoroka na kuwekwa geto na kuambulia mimba.mmh dada kumpga tena?
Huoni hapo kumpga atalipiza kwa wanao, ukiwa haupo?
Kumpiga dada wa kazi?Mfanyakazi mpe stahiki usimtese, mpe uhuru mpe siku moja ya mapumziko nae aende akafanye yake!.
akikosea kama una weza piga huwezi mseme asiyajue sana yako hapo mtaishi
Yupo kwako na mtoto wake?Huyu dada zamani nilikuwa namtandika tena nilishamtandika sana baada ya kutoroka na kuwekwa geto na kuambulia mimba.
Pia lazima nitandike mtu anayelta masela kwangu na wanachezea wifi na kudinyana kwangu.
Lakini toka apigwe mimba na kuachwa akili iko sawa hata nikisafiri mwaka mzima anabaki yeye na mbwa tu hakuna anaye ingia ndani
Sikuzaliwa kwa ajili ya kukomboa kijiji changu.The basis, is huo mshahara unaomlipa, badala uwalipe watu baki huko vijijini kuna Ndugu ambao na wao ungewafaa na kuwasaidia.
Huyo wa kwako 18yrs bado anfanya nini
Ndio dada wako wote.Yupo kwako na mtoto wake?
Nimeona hili wanalizungumzia mahali imekaaje?
Expiriensi ya kwangu kutoka nyumbani kwetu tumekaa na wadada wa kazi up to 7 years, kama Walikuwa wanakaa vizuri au vibaya i can’t judge, ila literally they were like mamdogo to us, Maana mama yetu mtafutaji kila kitu walikuwa wanafanya wao.
Walikuwa wanakuwa wawili wawili mmoja anaweza kukaa 3 years mwingine 4 na zaidi.
Uwe unawapa na mimba Mzee wasiondoke mikono mitupu.Mm kila beki 3 anaekuja lazima nimle hiyo ndio njia pekee ya kurejesha investment yng kwake na wanakaaaa saaanaaaaaaaaaaaaa
Kuna muda sisi waafrica bila kutumia nguvu hatuelewi!!Kumpiga dada wa kazi?
Mmejaribu mvulana? Wako hao wanafanya kazi na wanadumu.Sisi Kuna mmoja alikuja siku ya tatu akasema anataka kuondoka! Hapo nimemtoa mkoani! Mwingine kakaa mwezi, yaani hata hatujamzoea vizuri. Mwaka fulani tukapata msichana anajua sana kazi, kuamka saa 11 mwenyewe bila kuamshwa saa tatu kamaliza kazi zote (kufua nguo za watoto, kudeki na kufagia na chai, uji. Huyo alikaa mwaka mzima. Tukasema tumwongezee mshahara ili aendelee kudumu. Mshahara ukapanda kutoka 80k mpaka 150. Cha ajabu baada ya mshahara kupanda mwezi wa pili tu akaomba kuondoka! Baada ya hapo ni leta ondoka! Mwishowe tukaachana nao. Mwaka wa 4 hatuna msichana.
Hiyo ni receipt ya EFD mkuuUwe unawapa na mimba Mzee wasiondoke mikono mitupu.
siyo kweli, unatakiwa tu uwe fair, afanye kazi na alipwe stahiki zake kulingana na kazi anazofanya, ni binadamu pia hivyo anashahili kupumzika na hata likizo kuwasalimia ndugu na jamaa zake, kuwa na boyfriend (akipata mtu siyo shida yako na usimuingilie wala kumpangia), last but not least mlipe ujira wake, hayo mengine yote hayahitajiki ...
Hongera sanaNdio dada wako wote.