Kiboko ya Mazwazwa
JF-Expert Member
- Feb 22, 2026
- 1,802
- 3,271
*****kumbe ndivyo mlivyo na roho mbaya namna hiyo ninyi wamama?
huenda ndio maana wadada wengine hua makatili zaidi kwa watoto wa familia na saa zingine kuwaangamiza kabisa. Kumbe huwa wanafanya hivyo kama kisasi cha hila za makusudi mnazowatendea?
Badilikeni tafadhali wamama plz plz, roho mbaya haijengi inabomoa tu 🐒