Mtuache wababa tukae nao hata mwezi
Asante, alinilelea wangu piaHongera sana
😂😂😂Huyu dada zamani nilikuwa namtandika tena nilishamtandika sana baada ya kutoroka na kuwekwa geto na kuambulia mimba.
Pia lazima nitandike mtu anayelta masela kwangu na wanachezea wifi na kudinyana kwangu.
Lakini toka apigwe mimba na kuachwa akili iko sawa hata nikisafiri mwaka mzima anabaki yeye na mbwa tu hakuna anaye ingia ndani
😂😂😂Kuna muda sisi waafrica bila kutumia nguvu hatuelewi!!
Alikuwa ananidharau baada ya kumkata mitama ni miaka sasa heshima imetawala
Anaondoka ukimfanya kama familia kwa sababu anakua ameshapata mtaji wa kujitegemea baada ya kukuibia
Sisi Kuna mmoja alikuja siku ya tatu akasema anataka kuondoka! Hapo nimemtoa mkoani! Mwingine kakaa mwezi, yaani hata hatujamzoea vizuri. Mwaka fulani tukapata msichana anajua sana kazi, kuamka saa 11 mwenyewe bila kuamshwa saa tatu kamaliza kazi zote (kufua nguo za watoto, kudeki na kufagia na chai, uji. Huyo alikaa mwaka mzima. Tukasema tumwongezee mshahara ili aendelee kudumu. Mshahara ukapanda kutoka 80k mpaka 150. Cha ajabu baada ya mshahara kupanda mwezi wa pili tu akaomba kuondoka! Baada ya hapo ni leta ondoka! Mwishowe tukaachana nao. Mwaka wa 4 hatuna msichana.
kumbe ndivyo mlivyo na roho mbaya namna hiyo ninyi wamama?
huenda ndio maana wadada wengine hua makatili zaidi kwa watoto wa familia na saa zingine kuwaangamiza kabisa. Kumbe huwa wanafanya hivyo kama kisasi cha hila za makusudi mnazowatendea?
Badilikeni tafadhali wamama plz plz, roho mbaya haijengi inabomoa tu 🐒
Nimeona hili wanalizungumzia mahali imekaaje?
Expiriensi ya kwangu kutoka nyumbani kwetu tumekaa na wadada wa kazi up to 7 years, kama Walikuwa wanakaa vizuri au vibaya i can’t judge, ila literally they were like mamdogo to us, Maana mama yetu mtafutaji kila kitu walikuwa wanafanya wao.
Walikuwa wanakuwa wawili wawili mmoja anaweza kukaa 3 years mwingine 4 na zaidi.
Chunguza kwa wanaowafanya kama familia, kuiba na kuweza kujitegemea ni kitu kingineUlivyomaliza hapo mwishoni😂😂 inawezekana ila itakuwa % ndogo, maana wengi huishia kutangatanga tu na sio kwenda kusimama mwenyewe
Ingependeza kuwaajili watu wazima yaani wamama ili kipato chao wakalipie ada za watoto wao,na sio lazima walale hapo waje na kuondoka,wadada hamuwaonei huruma?? They too need to have their future, kuwafungia ndani na malipo ya lakimoja au alfu 50 mhhhh vinginevo kama mtakuwa mnawasomesha.