ukipanda ubaya, utavuna ubaya tu ndugu zangu wa mama.Ukisharudisha ubongo kichwani urudi sasa kuchangia mada Mkuu!
Hakika. Wapo wanawake wamediriki kusema wanapenda wanaume wasumbufu, wenye Hela Heka za kuwapiga matukio.Hii huitwa Stockholm syndrome ,watu huwapenda zaidi watu wanaowaumiza hasa wanawake don't be too good
Mfano hapa kwetu ni ccm ya jiwe
Hahaha huo ujinga sifanyi aje anigongee wife!Mmejaribu mvulana? Wako hao wanafanya kazi na wanadumu.
Umenifikirisha sana!NI NATURE YA WANAWAKE KUPENDA PENYE MAUMIVU
Kwani wee hao wadada unawagonga?Hahaha huo ujinga sifanyi aje anigongee wife!
Mtafutie Mchumba😜Mi sihitaji stress za kukaa na ndugu.
Wangu nimeishi nae miaka 18 nahitaji kumfukuza sioni jinsi ya kuanza kumfukuza
Mke ratiba yake ipo flexible, plus Nina watoto wa kike just sitaki mwanaume wa kushinda kwanguKwani wee hao wadada unawagonga?
Japo sijawahi swali lako. Sijawahi gonga HGMke ratiba yake ipo flexible, plus Nina watoto wa kike just sitaki mwanaume wa kushinda kwangu
Je mkuu, hii ni nadharia yako unayoitoa kichwani au ulishahodhi mfanyakazi za ndani na ukamhandle hivyo na akadumu?siyo kweli, unatakiwa tu uwe fair, afanye kazi na alipwe stahiki zake kulingana na kazi anazofanya, ni binadamu pia hivyo anashahili kupumzika na hata likizo kuwasalimia ndugu na jamaa zake, kuwa na boyfriend (akipata mtu siyo shida yako na usimuingilie wala kumpangia), last but not least mlipe ujira wake, hayo mengine yote hayahitajiki ...
Kwa dunia hii siamini katika kutafutia mtu mchumba.Mtafutie Mchumba😜
Sio kila mwanaume ana hulka hiyo kadri ya fikra zako. Acha kubania vijana Ajira.Mke ratiba yake ipo flexible, plus Nina watoto wa kike just sitaki mwanaume wa kushinda kwangu
Kuonya mtu katika namna inayofaa sio kosa nadhani japo mimi sijui sheria.Kaaaah! Kumbe ulimaanisha kumpiga - kumchapa, unafaa kuchukuliwa hatua za kisheria wewe
Hujaona alikuwa na adabu baada ya mitama😁Kaaaah! Kumbe ulimaanisha kumpiga - kumchapa, unafaa kuchukuliwa hatua za kisheria wewe
Je mkuu, hii ni nadharia yako unayoitoa kichwani au ulishahodhi mfanyakazi za ndani na ukamhandle hivyo na akadumu?
Ulikaa naye kwa muda gani?
Anhaa okay.Hao walikua zamani, tunazungumzia madada wanao lea wstoto wako.
Na sio wadada wa kazi tu, Hata job market lipo so dynamic sana.
Mm nimemaliza chuo 2022, nishafanya kazi kampuni 3 before entering government this yr.
Kwahyo watu wajipande, Sisi Gen Z tuna alternative nyingi za kuishi/kupata kipato + A lot of information ambazo sometimes zinatuchanganya.
Yah zamani ilikuwa wanaondoka kwa kuolewa, na vijana walikuwa wananyapia nyapia nyapia wakiona binti ameanza kupendeza.Tuliwahi bahatisha mmoja pia tukiwa wadogo, she practically raised us! Nadhani tulikaa nae karibu miaka 10, baada ya hapo ni majanga tu, tulikujaga bahatisha mwingine mmoja baada ya muda mrefu kupita mpaka akapata mchumba na kuolewa