Kwanini ukiwafanya wadada wa kazi kama ndugu hawadumu, ila ukiwaendesha kama chuma cha Mjerumani utakaa nao miaka?

*****
 
Sasa, pigisha kazi kama chuma ya Mjerumani, aloo anaweza kukaa hata miaka kumi na kila kitu kinaenda shwari kabisa!
Hakika, umenena ukweli kabisa...
Hii hata kwenye ajira, treat wafanyakazi vizuri uone, kazi zote zinalala au utazifanya mwenywe, wapelekeshe mbio mbio uone, utakaa nao mpaka wanazeekea hapo na kazi zote zitafanyika inavyotakiwa...


Cc: Mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…