Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
Habari zenu wana JF wenzangu.. Ndugu zangu kinachoendelea leo huko Ukraine kinatokana na ujinga wa viongozi wa nchi hiyo kushindwa kujiongeza mapema huko nyuma ili kuepuka uvamizi huu unaofanywa na Urusi katika ardhi yake.
Ikumbukwe na ifahamike kwamba USA ni Super Power ktk dunia hii, na kamwe ukiachana na vita vya uhuru na vile vya wenyew kwa wenyewe, hakuna nchi nyingine yoyote iliyofanikiwa kupiga au kuingiza jeshi lake kivita ktk ardhi ya nchi hiyo. Ni nchi yenye ulinzi thabiti na imara sana iwe kwa anga, maji au ardhini.
Laiti kama viongozi wa Ukraine wangelitambua hili mapema na kuamua kuwa sehemu ya USA kama ilivyokuwa kwa majimbo mengine ya Alaska, California nk, nina imani leo hii wangekuwa wako salama salmini na kamwe Urusi asingekuwa hata na ndoto ya kusogelea mipaka ya nchi hiyo achilia mbalia kukanyaga ardhi yake kijeshi kama wanavyofanya sasa.
Alaska iliwahi kuwa sehemu ya Urusi, lkn toka imekuwa chini ya serikali ya shirikisho ya Amerika basi Urusi hakuwahi kufikiria au hata kuota kuivamia kama anavyofanya kwa vijirani vyake vinavyojitawala vyenyewe.
Anyway vita ni vita, acha tuone kitachotokea sasa, huenda ikawa ile ya mdharau mwiba mguu huota tende, tukaja kushtukia Urusi chali vitani.