Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
- Thread starter
-
- #21
Mkuu mbona kuna nchi nyingi tu zimeamua kuwa chini ya himaya fulani yenye nguvu bila kujali jiografia au umbali uliyopo ili kulinda usalama wa sehemu husika. Mfano wa Franch Guiana hii ipo Amerika ya kusini ikipeana mpaka na nchi za Amerika ya kusini kama vile Brazil nk. Kisiwa hiki kimeamua kuwa chini ya himaya ya wafaransa na mpaka leo inatambulika kuwa ni moja kati ya sehemu iliyo chini ya mamlaka ya ufaransa. Kwahiyo hata hawa wa Ukraine wangeyafanya haya zamani, upuuzi huu wa leo usingejitokeza.Mkuu unapotoa hoja, angalia pia jiografia ya eneo unalolitolea mfano!
Yaani ni kama kutolea mfano wa: "kwanini Tz isijiunge na uingereza na kuwa chini ya muungano wa Uingereza?"
Ya ni kweli aisee.. inasikitisha sana.Mungu awasaidie waghairi tu maana watesekao ni raia aisee
Ukoloni upi mkuu, unazungumzia huu wa Urusi kutaka kuitawala Ukraine kwa nguvu au?Ukoloni hadi leo upo daah
Zanzibar ipo salama salmini chini ya himaya yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Toka kuumbwa kwa dunia hatujawahi kushindwa vita, kuanzia vile vya ukombozi wa nchi za kusini mwa Afrika hadi ile ya Uganda na juzi Comoro. So iache iendelee kuwa moja ya sehem yetu na ikiwezekana na Burundi, Rwanda na Malawi pia zijiunge nasi ili ziweze kuwa salama zaidi.Kesho utakuja kusema na Zanzibar iwe sehemu ya mmarekani kuepuka unyonyaji wa watu wa bara ktk tanzania
Madhara ya kushikiwa akili na mwenyekiti wako ndio haya. Yani inakufanya unakuwa hauko huru kujadili mambo mengine ya maana nje ya box zaidi ya yale anayotaka yeye mwenyekiti uyajadili. Nakushauri um'bembeleze mwenyekiti wako akurudishie akili zako, ili uwe huru kujadili mambo yako.Kwan huko ccm akili hizi huwa mnazitumia kumuumiza Mbowe tu na chadema..Kwann hamshaurian kama hiv hapo lumumba.Au gateway ya akil zenu huwa ina change to 127.0.0.1/lumumba😂
Sawa mkuu, na hawa wangeenda mezani mpunga ukalipwa nchi ikawa chini ya wababe wa dunia, na wananchi wakaanza kuishi maisha ya New York, Calfornia, Chicago nk.Alaska haijawahi kuomba kuwa sehemu ya Marekani, Alaska ilinunuliwa na Marekani na iliuzwa na Russia
Asante sana dada angu. Nina imani wanaopinga hili andiko wamejifunza kitu kupitia comment yako hapa juu.Mnaoelewa jikiteni Kwenye hoja,kuna watu tuko hapa kujifunza!
Ss unapopinga bila kutoa hoja haitusaidii jmn!
Huko umempeleka mbali sana; mrudishe hapa Mayotte ambao wako chini ya UfaransaMkuu mbona kuna nchi nyingi tu zimeamua kuwa chini ya himaya fulani yenye nguvu bila kujali jiografia au umbali uliyopo ili kulinda usalama wa sehemu husika. Mfano wa Franch Guiana hii ipo Amerika ya kusini ikipeana mpaka na nchi za Amerika ya kusini kama vile Brazil nk. Kisiwa hiki kimeamua kuwa chini ya himaya wa wafaransa na mpaka leo inatambulika kuwa ni moja kati ya sehemu iliyo chini ya mamlaka ya ufaransa. Kwahiyo hata hawa wa Ukraine wangeyafanya haya zamani, upuuzi huu wa leo usingejitokeza.
Ukoloni upi mkuu, unazungumzia huu wa Urusi kutaka kuitawala Ukraine kwa nguvu au?
Vita sio swala la mtu kwenda kuoa afu dakika mbili tu unarudi na mke nyumbani. Vita ni mapambano ya kupigania uhai.. aidha ufe au uuwe. So anachokifanya Urusi kwa sasa kitamtokea puani baadae. Tusubiri.Russia nae anaipata pataView attachment 2130508
Ok nimekupata mkuu.. Sema kwa hii nafikiri Urusi imebugia makaa ya moto mdomoni ikifikiri ni vibagia.Ndio mkuu
Hapa ndo bado hawajafikisha hata wiki.. aisee Putin sijui ni nani aliemuingiza chaka. 😂😂🤣🤣🤣Russia powView attachment 2130513
Alichofanya Putin kitaigharimu nchi yake miaka mingi ijayo. Hii chance ilikuwa inatafutwa na nchi za magharibi (hasa Marekani) muda mrefu sana ili waweze kupata mwanya wa kuingiza silaha zao na mamluki wa magharibi mpakani mwa Urusi. Kwa vile nchi iko katika vita ni ngumu ku control silaha zinazoingizwa, na mamluki wa magharibi ambao wengine wana asili ya Ukraine wanaoingia kutoka upande wa Poland, Georgia nk. Hii inamaana hata vita itaposimama tayari mmarekani na washirika wake watakuwa washafanikiwa kuweka silaha zake na mamluki wake (jeshi) katika mipaka yote ya Ukraine na Urusi. Sasa hapo ndio hali itapokuwa mbaya zaidi kwa usalama wa Urusi kupitia mipakani kwake. Lets wait to see.Sema Urusi amechukua maamuzi ya haraka sana bila kuangalia madhara ya baadae, killing of innocent people is totally unacceptable, mimi nahisi Putin amenunua silaha nyingi sana na alikua anatafuta pa kuzitimia maana ameona zinakaa tu hazina kazi sasa anata kuonyesha ulimwengu kwamba ana stock ya kutosha
Natamani wasitishe hii vita maana raia na watu wasio na hatia wanateseka, shughuli za maendeleao zimekwama, uchumi utatikisika na mbaya zaidi wanazalisha wakimbizi ilhali funia bado ipo kwenye janga la Korona
Kwahiyo unataka kusema hamna mamlaka wa Russia nchini Amerika. Vita ishaisha hiyoo, na ujumbe umewafikia wanafki wote wa Dunia.Alichofanya Putin kitaigharimu nchi yake miaka mingi ijayo. Hii chance ilikuwa inatafutwa na nchi za magharibi (hasa Marekani) muda mrefu sana ili waweze kupata mwanya wa kuingiza silaha zao na mamluki wa magharibi mpakani mwa Urusi. Kwa vile nchi iko katika vita ni ngumu ku control silaha zinazoingizwa, na mamluki wa magharibi ambao wengine wana asili ya Ukraine wanaoingia kutoka upande wa Poland, Georgia nk. Hii inamaana hata vita itaposimama tayari mmarekani na washirika wake watakuwa washafanikiwa kuweka silaha zake na mamluki wake (jeshi) katika mipaka yote ya Ukraine na Urusi. Sasa hapo ndio hali itapokuwa mbaya zaidi kwa usalama wa Urusi kupitia mipakani kwake. Lets wait to see.
Mamluki wanaweza kuwepo lkn wasiwe na uwezo kivile, yani uwezo wa kupindua meza au mipango iliyowekwa na Marekani.Kwahiyo unataka kusema hamna mamlaka wa Russia nchini Amerika. Vita ishaisha hiyoo, na ujumbe umewafikia wanafki wote wa Dunia.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app