Kwanini Ukristo na Uislam unashamiri kwenye nchi masikini na duni kielimu?

Kwanini Ukristo na Uislam unashamiri kwenye nchi masikini na duni kielimu?

Unajua unachokisema ni ukweli usiopingika kirahisi. Hata mimi nimekua nikishangaa sana coz b4 sijatembelea nchi hizi nilidhani watu wake wanaimani kubwa juu ya dini zao ie ni waumini wazuri kama bongo. Nilipofika na nilichokiona ni kitu tofautti na home. Watu wake wana utu mno na ni wastarabu sana, ni wa kweli , hawana blabl. siku moja rafiki yangu aliniambia huku hata ukiokota pesa let say $kadhaa ni vema ukaziriport coz huenda akapatikana muhusika nikashangaa sana. Kwenye hizi nchi masikini watu wanasali sana lkn bado hakuna mabadiliko kuna kila aina ya udhalimu. Mimi nadhani ustaarabu ukiwa wa hali ya juu basi hapo waweza kuwaona waumini wa kweli. Hofu/ wasiwasi ni chanzo kimojawapo cha ongezeko la makanisa na misikiti. Pia watu wana muda mwingi mno wa kujadili mambo ya imani tofauti na wenzetu kwani wao wako busy mno . Pengine kama ulivyosema lbda elimu inapokua duni inachangia kukua kwa haya lkn I am not sure.
 
Point zako ni kweli lakini ninashindwa kukuelewa unaposema mikusanyiko isiyo na tija wakati katika mikusanyiko hiyo, uponyaji hutokea kwa maana kuwa watu "wanakombolewa" kutoka katika mikono ya shetani.

Kwani filosofia ya hizi dini ikoje mpaka zinakataliwa katika nchi zilizoendelea huku zikishamili katika nchi maskini na elimu ndogo?. Kuna uhusiano gani kati ya kukua kiuchumi na elimu kuongezeka huku dini ikishuka pia.

It's interesting kuona hizi dini zinashamili sana wakati wa umaskini na kadri jamii inavyopiga hatua, ndiyo graph yake nayo inaanza kushuka.

Si kila anapotajwa Mungu, basi yupo. Mikusanyiko yenye tija yafaa sana na nawashauri wengi waende. Lakini hii mikusanyiko ya kila leo ndio inaturudisha nyuma. Mungu hakuwa mjinga aliposema siku sita fanya kazi! Watu wamebadili na kuwa siku sita omba!
 
Tatizo lako unaacha msingi wa mada yangu na kuanza kujaza maneno ambayo hayapo. Nimetoa takwimu kama zilivyojitokeza baada ya utafiti wa Gallup International na kugundua kuwa Uislam na Ukristo unashamili sana nchi za kimaskini lakini pia unapungua au kuisha katika nchi zilizoendelea, especially Europe.
pia ujue hawa jamaa si credible kihivyo,ni kama wewe tuu ukiwa ktk propaganda
Brazil siyo nchi iliyoendelea hata hivyo utagundua katika research iliyofanyika kwa sasa ukristo umepungua kwa 1.62% kutoka mwaka 2003 to 2009 kama mchanganuo unavyoonyesha hapa chini.
umeanza danganya hata ktk references zako,hiyo asilimia ni kuongezeka kwa evengelicals.Evengelicals ni wakristal wewe.tena wakristo wenye siasa kali ila si km za waislam ambazo zikiwa kali wanakuwa terorists

Umbea uwe unaacha basi.waislam huharibu tafiti na report wanapolisilimisha.
Brazil ipo ktk brics kundi moja na india,china
South africa.uchumi wake unahemeana na uk,ni vigezo kidogo tuu ndivyo vinaiweka nchi zinayoendelea.mojawapo ni uchumi kuwa na nafasi ya kukua sana,pengine gap ya kiuchumi kwa raia.
Bado hapa utaona positive line of growth ktk ukristo inakwenda na rapid positive growth line ya uchumi. Hayo mengine kawapigie hadith wala tende.


Hapa ndiyo nashindwa kukelewa pale unapoaanza kuchanganya siasa na dini halafu hapo hapo unaingiza itikadi za CCM na CHADEMA.
Mada yangu haigusi siasa na wala mawazo yangu hayakufikiria kama siasa za Tanzania zinaweka kupata nafasi katika mada.
nani hawajui akili zenu zinawatosha nyie tuu ktk kuwa keep busy ubish i wa kijinga huku mkidhani mpo sahihi.waislam wamefight kwa generations bila mafanikio only kuishia ktk umasikini hata pale wanapopata hela nyingi huku wakifikiri kuwa wakiongeza dose ya dini basi watasave kumbe wanaishia jaza magaidi duniani.
I'm sorry, nimegundua kama hauko tayari kujibu hoja za utafiti kwa vile tu zinagusa imani yako kidini pamoja nakuwa hatuwezi kuuondoa ukweli kwa kupinga tu.
pole sana.hao jamaa hawapo credible kihivyo,halafu blah blah zako hazina tofauti na mouth piece zingine.zinazosambaza uongo kwa tafiti za kupika toka ktk vibaraka wa kiislam wanaota ukuza sana uislam.

Huna lolote wewe.unaweza pata wakristu dhaifu elf ila akabaki mmoja mwenye Mungu akakurudi nyuma hadi ulipokea ktk uongo wako.
Haijalishi Yesu ni nani au Terrost ni yupi, ukweli ni kwamba hizi dini zinaanguka kadri jamii inavyoendelea au kupiga hatua kimaendeleo.
nani kakuambia?Yesu alikuja komboa na alipokuwa anakula na masikini ,wakoma na wadhambi aliwaambia wale waliojiona wapo matawi hakuwafuata hao,ila wenye dhiki mbalimbali na kuwakomboa,na baadae ushahidi wa hapo juu,wangu,wako na hata research ya kupika hawakuona ni kwamba, kumkataa Yesu matokeo ni miseries na change kidogo ina effects kubwa sana.ukristu kidogo mashariki ya mbali ukuaji mkubwa,kutoa ukristu kidogo kuanguka kukubwa kwa ulaya.hii issue si sahihi Ukristu kuwa kapu moja na uislam ktk kapu moja.km mnavyofanya bongo kwa kushindwa sema wabunge ccm wanatukana na kufanya fujo. Utasubiri sana south korea ,brazil,agentina ukristu upungue uchumi unavyopanda.
Hata bongo yenyewe wenye vipato na wasomi ndi wanajaa makanisani.


Kwa msaada zaidi, Biblia inaposema Yesu alikuja kwa wenye shida na maskini haikuwa na maana ya wenye shida ya pesa au elimu bali alikuja kwa wenye shida ya roho. Maskini wa roho wako sehemu zote na hawawezi kuwa tu katika maskini wa mali na elimu.
Sasa unasema nini kwa ujumla wake.Yesu alitolea majibu material things,philosophical na hata spiritual
Problems.Aliposema usimpe mtu samaki ila mfunze kuvua tayari alikuwa anapiga chini
Tatizo linalowatafuna waislam leo la kupokea futari+tendena bure nyinine,ipo mifano mini tuu hata pale alipowashuku watu walomfuata ili wale bure tena samaki.alifight hata umasikini wa mwili na fedha..ktk mfano wa watu walioachiwa fedha na mtu alisafiri na aliporudi alikuta matokeo tofauti.kuna waliozusha na kufanya faida,kuna walioacha km wenzetu wasiotaka riba na kuna wengine roho mbaya wakidhani bosr atafaidika.mwenye mali alipokuja aliwapa ile ziada na kuwaongezea waliojituma.na kuwanyang'anya walikuwa bika kitu kwa vile hawakutumia hiyo nafasi ya mitaji mapema.

Hembu rudi jipange na useme vyema proganda zako .soma agano jipya.wakristu ni chachu ukiweka pish moja calabashi yote huchachuka.
.ni taa na kila waendapo nuru huwafuata.waondokapo nuru huzimika.Tazama ulaya,misri,ethiopia,sudan,lebanon,syria,cyprus,..zimekuwa giza tazama brazil,south korea,china, na mwanga unaowaangaza.

Its funny hata waganga wa kiislam wanaamini kutafuta nyota ya mkrist inalipa.
 
Imani ya Dini yoyote ikizidi kila kitu hugeuka dhambi..... Vyakula,vinywaji,mafundisho,lifestyle,mavazi,wajibu,muda wa kusali/kuswali,kukosoa waumini tofauti,matarajio ya kusadikika,matibabu etc etc
ukizidisha ni kama ulozi maana kila kitu utategemea imani ya dini
Yes, hakuna kitu kinachonishangaza kama kila tukio likitokea utasikia wanasema huu ni mpango wa Mungu. Hii ni maana kuwa, hakuna hata umaana wa kujua kwa nini kimetokea au kujifunza katika tukio hilo. Huu ni mojawapo ya uvivu wa kufikiri lakini unakuwa justified kwa kutumia imani ya neno la Mungu. This is pathetic and heart-rending conclusion.
 
Yes, hakuna kitu kinachonishangaza kama kila tukio likitokea utasikia wanasema huu ni mpango wa Mungu. Hii ni maana kuwa, hakuna hata umaana wa kujua kwa nini kimetokea au kujifunza katika tukio hilo. Huu ni mojawapo ya uvivu wa kufikiri lakini unakuwa justified kwa kutumia imani ya neno la Mungu. This is pathetic and heart-rending conclusion.
Unajua hayo maneno ya mpango wa Mungu au shetani huwa yanaudhi iwapo tu utakua umejua hawa wenzetu walioendelea wanaishije. Kwa mfano ajali zinazotokea Tz kila siku sababu ya uzembe tu lkn utasikia ni shetani sasa hii imani inapoingia kwa waumini inakua shida hata kutatua tatizo. Yaani kwa kukosa kuwajibika na kufanya kazi kiadilifu ndio kunaongeza wimbi la umasikini nchini mwetu. Hata hao wahubiri wanaokuja ulaya kuhubiri toka tz unashangaa tu sijui wanakuja kufundisha nini huku manake kila kitu kiko well organized huwezi kumkuta mtu anakwepa kulipa kodi. Police anafanya kazi yake vema hawi kisiasa ie kila mtu anafanya kazi na ukiambiwa kazi ni 8hrs bwana lazima utafanya 8hrs hakuna blabla. Sasa hapo hadi unashangaa sisi tunaosali sana mbona hatubadiliki na kuwa binadamu inashangaza wema.
 
Unajua hayo maneno ya mpango wa Mungu au shetani huwa yanaudhi iwapo tu utakua umejua hawa wenzetu walioendelea wanaishije. Kwa mfano ajali zinazotokea Tz kila siku sababu ya uzembe tu lkn utasikia ni shetani sasa hii imani inapoingia kwa waumini inakua shida hata kutatua tatizo. Yaani kwa kukosa kuwajibika na kufanya kazi kiadilifu ndio kunaongeza wimbi la umasikini nchini mwetu. Hata hao wahubiri wanaokuja ulaya kuhubiri toka tz unashangaa tu sijui wanakuja kufundisha nini huku manake kila kitu kiko well organized huwezi kumkuta mtu anakwepa kulipa kodi. Police anafanya kazi yake vema hawi kisiasa ie kila mtu anafanya kazi na ukiambiwa kazi ni 8hrs bwana lazima utafanya 8hrs hakuna blabla. Sasa hapo hadi unashangaa sisi tunaosali sana mbona hatubadiliki na kuwa binadamu inashangaza wema.
Kutembea ni kuona mengi, lakini kama ni kujifunza, ni vizuri watu wakatembelea hizi nchi zilizoendelea kuona ni jinsi gani watu wanavyoishi kwa kutumia akili na siyo mazoea. Kila kitu wanakijongea kwa conscious and critical thinking.

Hili ni darasa la kimaisha nililojifunza nje ya formal education. Sishangai kuna watu hapa wanadai ninasumbuliwa na shetani kwa kuleta mada kama hii.
 
Zindiki wewe,Udini ulikuwepo tokea mara tu baada ya Uhuru

Hivi sasa tunaelekea kwenye balance ya Dini Tanzania ndio maana waislamu na Wakristo wote wanalalamikia Udini,tulizoea zamani kuwasikia waislamu tu wakilalamia Udini na Majerani zao wakristo wakiwabeza ya kwamba waislamu ni walalamishi.

Matukioa ya udini wa Wakristo zidi ya Waislamu ndani ya nchi hii ni mengi tukianza kuyaorozesha hapa hatuatalala,acheni kupayuka nyinyi Wakristo au ndio mmezoea kutudhulumu
Tulipojenga shule nyie mlijenga madrasa, tulipojenga haspitali za misheni nyie mlijenga kwa nguvu misikiti,hata muislamu aliejaribu kupeleka mtoto shule basi akiona daftari lake lina sign ya plus(+) mliwatoa watoto wenu fasta shule eti wanataka kuwafundisha ukristo eti simply because alama ya plus ni msalaba.Tulipokuwa tunafuga nyie hamkuwa mkifuga kwa sababu kitoweo hakikuwa shida kwa sababau mlikuwa mnachinja na kupewa nyama buer.Sasa watu wameelimika nyie mnataka tuwe sawa na vilaza eti simply because of balance, hell no.
 
Tafiti na vipimo mbali mbali vya mahusiano kati ya maendeleo katika jamii na imani za kidini vimebainisha migawanyiko na mahusiano ya imani za kidini kati ya nchi moja na nyingine na mendeleo kwa kiwango kikubwa.

Kikubwa zaidi kilichonigusa ni mahusiano ya dini za imani ya Kikristo na Kiislamu mara nyingi kushamili katika nchi ambazo ni maskini na zenye elimu duni huku dini zingine zikishamili mara nyingi katika sehemu yenye utajiri na elimu ya kiwango cha juu.

Kupungua kwa kiwango cha juu cha imani ya dini yoyote katika nchi zilizoendelea na mfano halisi ni hapa Europe ambapo makanisa kwa sasa yanadoda na yanageuzwa kuwa ni sehemu ya kutalii (museum) na mengine yanageuzwa kuwa migahawa (cafe). imefikia hatua hapa wachungaji wake wengi wanakuwa imported kutoka nchi masikini kwa sababu wazawa wameacha kujiunga na vyuo vya kitawa.

Kuongezeka kwa wakimbizi wengi wa kisiasa kutoka nchi maskini na zenye elimu duni za mashariki ya mbali na pia zile ambazo zilikuwa na machafuko zimeongeza idadi ya waumini wa kiislamu hapa Ulaya lakini hawa pia kwa ujumla ni masikini na elimu yao ni ndogo.

Tanzania ikiwa ni nchi mojawapo masikini duniani kwa sasa Makanisa na Misikiti inashamili kila sehemu wakati kipato na elimu vikiwa vimedumaa kwa masikini au kuongezeka kwa kasi ndogo.

1) Maswali yanayojitokeza ni kutaka kufahamu, kwa nini Ukristo na Uslamu unashamili katika nchi hizi masikini na duni kielimu na pia ukipungua kwa kasi katika nchi tajiri na zenye elimu ya kiwango cha juu.

2) Nini kilicho nyuma ya hizi imani za dini ya Kikristo na Kiislamu katika nchi masikini na zenye elimu duni?.


TOP 17 GLOBAL INDEX OF RELIGIOSITY AND ATHEISM YEAR 2012
[TABLE="class: grid, width: 500"]
[TR]
[TD]COUNTRY[/TD]
[TD]TOTAL % OF
POPULATION[/TD]
[TD]GDP PER
CAPITA 2011 [$][/TD]
[TD]INDEX
NUMBER[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]GHANA[/TD]
[TD]96[/TD]
[TD]1580[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]NIGERIA[/TD]
[TD]93[/TD]
[TD]1522[/TD]
[TD]2[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]ARMENIA[/TD]
[TD]92[/TD]
[TD]3076[/TD]
[TD]3[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]FIJI[/TD]
[TD]92[/TD]
[TD]4224[/TD]
[TD]3[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]MACEDONIA[/TD]
[TD]90[/TD]
[TD]5162[/TD]
[TD]5[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]ROMANIA[/TD]
[TD]89[/TD]
[TD]8875[/TD]
[TD]6[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]IRAQ[/TD]
[TD]88[/TD]
[TD]3478[/TD]
[TD]7[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]KENYA[/TD]
[TD]88[/TD]
[TD]833[/TD]
[TD]7[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]PERU[/TD]
[TD]86[/TD]
[TD]5904[/TD]
[TD]8[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]BRAZIL[/TD]
[TD]85[/TD]
[TD]12789[/TD]
[TD]9[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]GEORGIA[/TD]
[TD]84[/TD]
[TD]3210[/TD]
[TD]10[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]PAKISTAN[/TD]
[TD]84[/TD]
[TD]1199[/TD]
[TD]10[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]AFGHANISTAN[/TD]
[TD]83[/TD]
[TD]589[/TD]
[TD]11[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]MALDOVA[/TD]
[TD]83[/TD]
[TD]1969[/TD]
[TD]11[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]COLOMBIA[/TD]
[TD]83[/TD]
[TD]7114[/TD]
[TD]11[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]CAMEROON[/TD]
[TD]82[/TD]
[TD]1225[/TD]
[TD]12[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]MALAYSIA[/TD]
[TD]81[/TD]
[TD]10085[/TD]
[TD]13[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
WIN-Gallup International ‘Religiosity and Atheism Index’ which measures global self-perceptions on beliefs is based on interviews with more than 50,000 men and women selected from 57 countries across the globe in five continents. The survey also provides trend data for shifts in attitudes since 2005.

A world-wide poll conducted by WIN-Gallup International, a network of the world’s top most independent pollsters, asked exactly the same question in 57 countries across the globe:

The highest GDP per Capita in the world is $115,809
The Lowest GDP per Capita in the world is 112

NOTE:
Sikuweza kupata data za Tanzania kulinganisha na nchi zingine duniani lakini kwa kuangalia kwa mbali zinaweza kuwa karibu na data za Nchi ya Kenya.

cc Nguruvi3, Mzee Mwanakijiji, Mchambuzi, FairPlayer, Mkandara, Mohamed Said, THE BIG SHOW, Jassi, Mag3, Nyambala, Boko haram


ndugu yangu, binafsi naiona busara na mantiki iliyopo katika post yako na naishuhudia dhamira safi kabisa iliyojificha nyuma ya busara hizo. lakini cga kusikitisha na kukatisha tamaa ni kwamba"" JIHADISTS na CRUSADERS"" wameigeuza kuwa jukwaa la kutukanana na kudhihirisha chuki zao kwa wale wrnye imani tofauti, inachosha na kukatisha tamaa sana na huu utumbo wanaopost unadhihirisha ukweli uliotanabaishwa katika mada husika, hawa wote wasikuvunje moyo kwani wana silka ya utumwa kkiroho, kiakili, kiutashi kiimani na kila kitu, na hapa ndio tunaposhuhudia ubaya wa utumwa
 
Last edited by a moderator:
ndugu yangu, binafsi naiona busara na mantiki iliyopo katika post yako na naishuhudia dhamira safi kabisa iliyojificha nyuma ya busara hizo. lakini cga kusikitisha na kukatisha tamaa ni kwamba"" JIHADISTS na CRUSADERS"" wameigeuza kuwa jukwaa la kutukanana na kudhihirisha chuki zao kwa wale wrnye imani tofauti, inachosha na kukatisha tamaa sana na huu utumbo wanaopost unadhihirisha ukweli uliotanabaishwa katika mada husika, hawa wote wasikuvunje moyo kwani wana silka ya utumwa kkiroho, kiakili, kiutashi kiimani na kila kitu, na hapa ndio tunaposhuhudia ubaya wa utumwa
Mkuu, aksante kwa post yako inayojenga na kupanua hekima na busara.

Kuna msemo unasema, Dunia ni uwanja wa fujo. Hii ni pamoja na kuwa na watu wa aina unayoisema.

Hakuna mtu aliyezaliwa akiwa na uwezo wa kupambanua maswala mbali mbali bali uelewa tunaupata kwa njia kama hii ya kukutana kwenye majukwaa ya utandawazi.

Tuko hapa kuelimishana, kupashana habari na ikibidi kujenga urafiki.

Kitu nilichojifunza katika maisha ni kuogopa kama ukoma unapokumbana na jamii inayokubaliana kwa kila jambo. Misuguano ya hoja chanya ni kichocheo cha uelewa na utatuzi wa maswala magumu.

Kujifunza ni pamoja na kukubali usichokikubali.

Thanks.
 
mleta mada na wafuasi wake ni hovyo kwekweli.hawaachi abuse chochote kwa ajili ya dini yao.wanaanzia mbali mwishowe wanaishia shambulia ukristu.kwa vile ccm nayo ni branch ya bakwata basi tricks zao ni sharable.ccm wanazitumia kushambulia wapinzani wake.

Mungu wa kweli yupo,tena yupo juu sana.Hawa wanaokwenda kwa babu jehanum na kukaribishwa receiption na kupewa nguvu za dunia bika kujua kuwa wangeingia ndani zaidi wangeona waliowatangulia wanavyoteseka.

Mungu wa wakristu anazo nguvu ,anakomboa na kutenda anapigania walio wa haki kwa njia zake.sheikh yahaya anashuhudia hilo huko alipo.
Iam the living proof ,hizi propaganda na ujinga mwingine baada ya kizazi kimoja ujinga utakuwa unawatafuna wenyewe km ccm ya leo,au ukosefu elimu ktk jamii za kiislam kwa leo,hata wenye elimu haipo sahihi.tafiti fake km za redet zimejazwa na waislam kila mahali.km wafanyavyo maigiyo ya debate.
Mkuu, huwezi kuishi kwa hisia. Huwezi kuanza kunichagulia dhehebu la dini bila hata kujua kama mimi ni mfuasi wa dini yoyote.

Hoja yangu ni umasikini kufungamana na dini za madhehebu ya kikristo na kiislamu. Sijatofautisha kati ya haya madhehebu mawili lakini cha kushangaza katika mabandiko yako unataka kuyatofautisha ili uweze kujenga hoja inayoshabikia phobia za dini. Mimi siendi huko na sitaki kugusa maswala ya phobia.

Kuanza kujenga hoja za kidini dini ni dalili ya kufirisika kihoja. Kama unataka kuchangia, jikite kutetea hoja yako kama unaona umasikini haufungamani na dini za kikristo na kiislam.

Natumaini umenielewa.
 
Tulipojenga shule nyie mlijenga madrasa, tulipojenga haspitali za misheni nyie mlijenga kwa nguvu misikiti,hata muislamu aliejaribu kupeleka mtoto shule basi akiona daftari lake lina sign ya plus(+) mliwatoa watoto wenu fasta shule eti wanataka kuwafundisha ukristo eti simply because alama ya plus ni msalaba.Tulipokuwa tunafuga nyie hamkuwa mkifuga kwa sababu kitoweo hakikuwa shida kwa sababau mlikuwa mnachinja na kupewa nyama buer.Sasa watu wameelimika nyie mnataka tuwe sawa na vilaza eti simply because of balance, hell no.
Waislam pia wamejenga shule maeneo tofauti tofauti,na waislam wamesoma kuliko unavyofikiria,kama wangekuwa hawakusoma hao wanaoshika nafasi kubwa kubwa serekalini,wengi ni waislam,hata katika mashirika makubwa ya kimataifa yameshikwa na waislam.
 
Ukisoma maandiko matakatifu utafahamu kwamba: Heri walio MASKINI wa roho maana ufalme wa Mbinguni ni wao, .......... itakuwa vigumu kwa TAJIRI kuingia Mbinguni kuliko ngamia kupita kwenye tundu la sindano.
 
Ukisoma maandiko matakatifu utafahamu kwamba: Heri walio MASKINI wa roho maana ufalme wa Mbinguni ni wao, .......... itakuwa vigumu kwa TAJIRI kuingia Mbinguni kuliko ngamia kupita kwenye tundu la sindano.

Yeah_haya ndio maandiko yanayosababisha umaskini kwa nchi maskini kusini mwa jangwa la sahara....maake wengi tumemeza bila kutafakari tuliyomezeshwa na kukaririshwa na wazungu na waarabu.
 
Dini zilizotajwa hapa zote zimeanzia Mashariki ya Kati baada ya Abrahamu. Hakuna iliyokuwepo hapo kabla ingawa kila moja inadai ilikuwepo! Waliotuletea/hubiria dini huku kwetu ni Waarabu na Wazungu, wote wameambatanisha dini na tamaduni zao, pia wao wenyewee wana tofauti ya kielimu na maadili mengine. Inategemea wewe uliangukia wapi na hata nchi yetu imegawanyika kwa misingi hiyo kifamilia, eneo, yaani waliofuata saana Uarabu au Uzungu.

Nakubaliana kwamba dini wakati mwingine ni unafiki, brainwash, na kutufanya tusifikiri sana kwa kutuwekea mpaka, eti umekufuru kwa kutaka kujua zaidi! Pia kutufanya tubweteke kwa kutupa imani ya mambo ambayo hayapo lakini eti yatakuwepo, kutufanya tujione matajiri sana wa roho na kuwa safi kwa mungu huku tukiwa wavivu wa kutojishughulisha zaidi. Kufanikiwa kwa dini kunaambatanishwa na hadithi/hekaya za kuchokonoa masikio, vitisho n.k.

Dini inaonekana kuleta ustaarabu fulani na wakati huohuo ni silaha kubwa ya ubaguzi hasa dunia ya leo. Wengine hawafuatilii sana hizo dini zilizoletwa kwa mitumbwi/majahazi lakini kimaadili/maendeleo ni bora mara nyingi kuliko manafiki/watumwa wa dini zilizoletwa na waarabu na wazungu.

Hivyo tuwe makini saana wajameni, zamani nilikuwa simwelewi kabisa Karl Max au Friedrich Engels kuhusiana na swala hili.
 
Dini zilizotajwa hapa zote zimeanzia Mashariki ya Kati baada ya Abrahamu. Hakuna iliyokuwepo hapo kabla ingawa kila moja inadai ilikuwepo! Waliotuletea/hubiria dini huku kwetu ni Waarabu na Wazungu, wote wameambatanisha dini na tamaduni zao, pia wao wenyewee wana tofauti ya kielimu na maadili mengine. Inategemea wewe uliangukia wapi na hata nchi yetu imegawanyika kwa misingi hiyo kifamilia, eneo, yaani waliofuata saana Uarabu au Uzungu.

Nakubaliana kwamba dini wakati mwingine ni unafiki, brainwash, na kutufanya tusifikiri sana kwa kutuwekea mpaka, eti umekufuru kwa kutaka kujua zaidi! Pia kutufanya tubweteke kwa kutupa imani ya mambo ambayo hayapo lakini eti yatakuwepo, kutufanya tujione matajiri sana wa roho na kuwa safi kwa mungu huku tukiwa wavivu wa kutojishughulisha zaidi. Kufanikiwa kwa dini kunaambatanishwa na hadithi/hekaya za kuchokonoa masikio, vitisho n.k.

Dini inaonekana kuleta ustaarabu fulani na wakati huohuo ni silaha kubwa ya ubaguzi hasa dunia ya leo. Wengine hawafuatilii sana hizo dini zilizoletwa kwa mitumbwi/majahazi lakini kimaadili/maendeleo ni bora mara nyingi kuliko manafiki/watumwa wa dini zilizoletwa na waarabu na wazungu.

Hivyo tuwe makini saana wajameni, zamani nilikuwa simwelewi kabisa Karl Max au Friedrich Engels kuhusiana na swala hili.

Heshima zako mkuu. Hayo unayoyasema Karl Max aliyafanyia uchambuzi wa kisayansi na kunena kwamba Religion is the opium of the people. Tafsiri yangu pana ni kwamba religion has many times been the tool of the oppressor. Ernest Hemingway baadae aliliweka bayana kwamba: Religion is the opium of the poor. Mara nyingi dini imetumika kuwateka watu spiritually na kuwafanya wamini kwamba hawana uwezo wa kujikomboa na unyonge, unyanyasaji, umasikini na ukoloni mamboleo katika maisha yao ya duniani ila kujisalimisha na kutarajia ukombozi peponi. Hii ni hatari kwa nchi masikini kama Tanzania na nchi zingine za Afrika. Na kwa sababu hii, maswala ya dini yanapaswa kuwa regulated na sheria.

Mkuu mtu akiisha kutekwa spiritually, he is gone ! Hajitambui na hugeuka kuwa mtumwa; akiwatumikia wengine wakiwemo waliojipachika vyeo vya mitume , manabii, maskofu na maimaam; badala ya kuutumikia utu-humanity. Wengine wapo tayari kujilipua au kuwatoa binadamu wenzao roho kwa sababu ya dini. Hivi sasa kuna dhana ya smart believers-waumini wanaokwenda na wakati: utakuta ni watu wa ibada lakini ni kulinda status quo zao : ni wajasiriamali wazuri, wasomi wazuri, wakati mwingine ni wanasiasa, viongozi wa jamii au opinion leaders.

Lakini kwa upande mwingine, kuna mamilioni ya watu wa ibada muda wote: ni walalahoi, hawana ajira wala makazi bora, afya zao ni duni, elimu yao na ya wanafamilia ni duni, wanakosa mahitaji yao mengi ya msingi. Lakini wanatozwa sadaka-kile kidogo walichonacho kuwaongezea wenye nacho. Badala ya taasisi hizo za kidini kuwawezesha kuinua maisha yao, wanafukarishwa na kudumazwa zaidi kifikra zaidi. Baadhi ya taasisi hizo zinaungana na wanasiasa dhalimu kuwataka kutunza amani; kutunza status quo ili waendelee kuwa hali hiyo milele! Ni kweli, religion could be a tool for the oppressor and opium of the poor.


 
Heshima zako mkuu. Hayo unayoyasema Karl Max aliyafanyia uchambuzi wa kisayansi na kunena kwamba Religion is the opium of the people. Tafsiri yangu pana ni kwamba religion has many times been the tool of the oppressor. Ernest Hemingway baadae aliliweka bayana kwamba: Religion is the opium of the poor. Mara nyingi dini imetumika kuwateka watu spiritually na kuwafanya wamini kwamba hawana uwezo wa kujikomboa na unyonge, unyanyasaji, umasikini na ukoloni mamboleo katika maisha yao ya duniani ila kujisalimisha na kutarajia ukombozi peponi. Hii ni hatari kwa nchi masikini kama Tanzania na nchi zingine za Afrika. Na kwa sababu hii, maswala ya dini yanapaswa kuwa regulated na sheria. Mkuu mtu akiisha kutekwa spiritually, he is gone ! Hajitambui na hugeuka kuwa mtumwa; akiwatumikia wengine wakiwemo waliojipachika vyeo vya mitume , manabii, maskofu na maimaam; badala ya kuutumikia utu-humanity. Wengine wapo tayari kujilipua au kuwatoa binadamu wenzao roho kwa sababu ya dini. Hivi sasa kuna dhana ya smart believers-waumini wanaokwenda na wakati: utakuta ni watu wa ibada lakini ni kulinda status quo zao : ni wajasiriamali wazuri, wasomi wazuri, wakati mwingine ni wanasiasa, viongozi wa jamii au opinion leaders. Lakini kwa upande mwingine, kuna mamilioni ya watu wa ibada muda wote: ni walalahoi, hawana ajira wala makazi bora, afya zao ni duni, elimu yao na ya wanafamilia ni duni, wanakosa mahitaji yao mengi ya msingi. Lakini wanatozwa sadaka-kile kidogo walichonacho kuwaongezea wenye nacho. Badala ya taasisi hizo za kidini kuwawezesha kuinua maisha yao, wanafukarishwa na kudumazwa zaidi kifikra zaidi. Baadhi ya taasisi hizo zinaungana na wanasiasa dhalimu kuwataka kutunza amani; kutunza status quo ili waendelee kuwa hali hiyo milele! Ni kweli, religion could be a tool for the oppressor and opium of the poor.
Mukuu salamu, hapo umemaliza, mwenye masikio na asikie ama sivyo tumdondoshee dawa, we achana na hao wanaotaka kupetiwapetiwa eti faraja za kidini. Asante
 
Tupac quoted: ''if you cant find something to live for, you better find something to die for''. binafsi naona dini itakuwa na uhusiaano na umaskini ikiwa tu inazuia maendelea na mabadiliko. lakini sio kusema kwamba kwenye nchi zenye dini kuliko nyingine na zenye dini zina umaskini sijakubaliana na hili. kwanza tukubali dini hizi ni utamaduni wa jamii nyingine ambao sio asili yetu, pia huwa hatuzifuati hizi imani kikukamilifu kwa mfano nimechunguza hizi dini 2 za uislamu na ukristo nikagundua kwa sisi waafrika pekee huwa hatuzifuati dini hizi na kuzipokea kwa asilimia zote yaani tunachanganya na tamaduni zetu ambazo ziko kinyume na hizi dini kwani dini hizi zinazitazama hizi imani zetu za jadi kama kama ushirikina au miungu wengine au upagani uchanganyaji huu ni kiashiria cha u-coservative wetu, na kitu hicho kipo kwa wazungu pia kwa namna yao. wazungu wanautamaduni wa ku-modernize maisha yao na wanazi-manipulate hizi imani ziendane na utamaduni wao(mfano wazungu wa leo wanalazimisha papa wa kikatoliki aunge mkono ushoga)ikiwa na maana akiunga mkono na kuuweka katika ibada za ukatoliki basi wataenda kufunga ndoa za kishoga nyingi na kuukubali ukatoliki. uchunguzi wa hili unaweza pia kuuona kwenye historia ya sikuku ya xmass ambapo kuna picha ya father xmass, na kwenye maeneo mengine duniani.
tatizo hizi nchi zinazodaiwa zinafuata sana dini ni zile ambazo zinamzizi wa asili wa traditional life lakini ukifuatilia kiundani wanachofanya ni ku-harmonize utamaduni wao na dini za kigeni.
kitu kinachoweza kuleta umaskini ni pale tu dini inapotumika kuzuia maendeleo yaani kwakuwa conservative.
historia inatueleza kuwa wazungu walioendelea walisafiri kuja afrika kutuhubiria swali je walikuwa na dini je walikuwa maskini kama sisi waliotukuta. nadhani tuache kuchukia dini kwani hatuna tofauti kati yetu na wazungu wa ulaya walioendelea kuhusiana na kuamini hizi dini tofauti yetu ni wao kuwa huru kuzijadili na kuzikataa wakati sisi tunazikataa kwa hofu na kwa siri huku tukiishi maisha ya unafiki kama kwenda kuabudu au kutokwenda,kwa hofu ya kuhofia kutazamwa vibaya na jamii inayotuzunguka.kuna mzungu mmoja aliwahi kuniambia aliposema haamini katika mungu nikamuuliza kama haoni ni kosa? akakataa strongly akasema wanaoamini kwamba kna mungu ndio watakaomchukia na kumwona mbaya wakati ukiwa ulaya wachache watakakuchukia, sitashangaaa mleta hii thread anachukiwa pia. kinachotu maskinisha ni u-conservative wetu tu na mambo mengine



 
Mshairi mmoja wa uarabuni amewahi kusema
Elimu na mali zikitumika vizuri zitaleta amani na furaha katika jamii
Elimu na mali zikitumika vibaya katika jamii zitaleta maafa katika jamii
Udin upo hata ulaya na hii ni kwa sababu watu hawajui dini zao ,pili watu hawaupendi ukweli yaani wanaukwepesha wana ubadirisha ukweli.......na hata alietoa tafiti hizo amekwepesha ukwel vile vile ,ndio maana kwamwe udini hauwezi kuisha leo hii ni vita kubwa....umasikin walaa hausiani na udini ulipo na siyo kweli wote tunajua sababu za umasikin wetu,,,,unaona tafiti za uongo kwamba kuongezeka kwa wakimbizi ulaya ndio kuongezeka kwa waislamu umeshindwa kusema ukweli kwamba wenzetu ni wafatiliaji wazuri na ndio maana wametafuta ukweli na kuufata.oni hata wa ubiri wa kikristo wakubwa wamesilimu ,Yosef Kuhin unafaham alikuwa din gan na ushawishi wake niupi katika din? lazima tuwe wakweli na wawazi ndio tutaishi kwa amani na haki
 
Ukisoma maandiko matakatifu utafahamu kwamba: Heri walio MASKINI wa roho maana ufalme wa Mbinguni ni wao, .......... itakuwa vigumu kwa TAJIRI kuingia Mbinguni kuliko ngamia kupita kwenye tundu la sindano.
Mkuu unaoanisha vipi maneno haya na mshikamo wa umaskini na elimu duni katika nchi zinazosemwa hazijaedelea na kuanguka kwa hizi dini katika nchi zilizoendelea.
 
Back
Top Bottom