Kwanini Ulaya haina majengo marefu kama ilivyo Asia Na America?

Kwanini Ulaya haina majengo marefu kama ilivyo Asia Na America?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Kama kiuchumi wako vizuri na wana historia kubwa kwenye mifumo ya maendeleo ya ulimwengu ila ukija kwenye upande wa majengo marefu (skyscrapers) mazuri inapigwa chini na nchi za Asia

Shida nini je, ni utamaduni Wao tu au kuna nini yaani majengo 20 marefu zaidi Duniani hakuna hata moja kutoka Bara la Ulaya.
 
Sababu ni kuwa miji mingi ya unayoiona Ulaya, ilijengwa zaidi ya miaka 200 iliyopita, itakuwa gharama sana kubomoa majengo ili kujenga skyscrappers.

Unakuta madaraja yalijengwa 1700, barabara zao karibu zote hadi mwaka 1900 zilikuwa zimejengwa pamoja na reli hata trams, barabara za chini ya ardhi, mipango miji
 
Back
Top Bottom