Sea Beast
JF-Expert Member
- Aug 5, 2022
- 2,212
- 4,808
Mada sio ulaya kuweza au kushindw kujenga hayo majengo wala sijui walijenga tangu lini acha kudundadundaKwa akili zako nazani unajua miji au majiji ni Magorofa tupu, hizi ndio akili zako, umekomaa sana na China na Dubai.Ulaya hawashindwi kujenga Magorofa. Pia elewa Ulaya imejengwa enzi hizo, wana underground barabara na reli tangu miaka ya 1900+.