We mjinga Miji kama Moscow, hajagusa majengo yao yenye zaidi ya miaka 2000 walicho fanya ni kwenda kujenga majengo ya kisasa pembeni. Kariakoo bado ingebakia na zile nyumba zao, na majengo ya kisasa yajengwa sehemu nyingie, Dar ingejenga mji mpya wa kisasa na ikaacha ule wa zamani, tena wangepiga sana pesa kwenye utaliii. Unajua sababu za Moroco kuvutia watalii milio zaidi ya 20 kwa mwaka? au unazania wanaenda kuona twiga huko Moroco?
SHida nchi imejaa wajinga tupu, wanaona kubomoa nyumha ya udongo na kujenga gorofa ni sifa