ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Uongo.Miji yao ni ya kizaman ila ina architecture nzuri sana kuliko hata hii ya kisasa
Haiwezi kuwa nzuri kuliko ya kisasaMiji yao ni ya kizaman ila ina architecture nzuri sana kuliko hata hii ya kisasa
Uongo.
Huu ni uongo.Uongo upi sasa mkuu
Kwani ulaya inashida kujenga skyscraper?
Watu wanatunza utamaduni wao
Huwezi kuanza kubomoa miji mikongwe km London ili tu ujenge skyscraper
London skyscraper zipoUongo upi sasa mkuu
Kwani ulaya inashida kujenga skyscraper?
Watu wanatunza utamaduni wao
Huwezi kuanza kubomoa miji mikongwe km London ili tu ujenge skyscraper
Ukipata nafasi tembelea nchi za germany, belgium na netherlands ile miji yao ni mizuri sana hata ya kisasa ya american style haifikiiHaiwezi kuwa nzuri kuliko ya kisasa
Ulishawahi kufika ulayaUongo.
Hapana lkn Iselamagazi nimefika.Ulishawahi kufika ulaya
Kama sisi tunavyovunja majengo posta kule kiasi tunapoteza baadhi ya historiaUongo upi sasa mkuu
Kwani ulaya inashida kujenga skyscraper?
Watu wanatunza utamaduni wao
Huwezi kuanza kubomoa miji mikongwe km London ili tu ujenge skyscraper
Unajaambiwa miji mibaya tunapokosana kusema nzuri kuliko miji ya kisasa unaijua miji ya China wewe unajua DubaiUkipata nafasi tembelea nchi za germany, belgium na netherlands ile miji yao ni mizuri sana hata ya kisasa ya american style haifikii
Sasa Tanzania kuna majengo gani ya histolia Old Boma au unataka DSM kuwe kama nyamisati, tukisema ulaya kuna majengo ya kihistolia ni mijengo hasa usifananishe na ujinga wa Tz.Kama sisi tunavyovunja majengo posta kule kiasi tunapoteza baadhi ya historia
Nenda mfano St petersburg, ni jiji leney majengo ya kizamani ya ukweli,Haiwezi kuwa nzuri kuliko ya kisasa