SOVIET UNION
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 509
- 1,391
Unabishana na wajinga mkuu, nchi ina asilimia 90 ya wajinga, sasa utaumia sana ukibishana naoUongo upi sasa mkuu
Kwani ulaya inashida kujenga skyscraper?
Watu wanatunza utamaduni wao
Huwezi kuanza kubomoa miji mikongwe km London ili tu ujenge skyscraper
unabisha na wajinga wa Taifa hiliUlishawahi kufika ulaya
We mjinga Miji kama Moscow, hajagusa majengo yao yenye zaidi ya miaka 2000 walicho fanya ni kwenda kujenga majengo ya kisasa pembeni. Kariakoo bado ingebakia na zile nyumba zao, na majengo ya kisasa yajengwa sehemu nyingie, Dar ingejenga mji mpya wa kisasa na ikaacha ule wa zamani, tena wangepiga sana pesa kwenye utaliii. Unajua sababu za Moroco kuvutia watalii milio zaidi ya 20 kwa mwaka? au unazania wanaenda kuona twiga huko Moroco?Sasa Tanzania kuna majengo gani ya histolia Old Boma au unataka DSM kuwe kama nyamisati, tukisema ulaya kuna majengo ya kihistolia ni mijengo hasa usifananishe na ujinga wa Tz.
We mjinya hujui chochote,Sasa Tanzania kuna majengo gani ya histolia Old Boma au unataka DSM kuwe kama nyamisati, tukisema ulaya kuna majengo ya kihistolia ni mijengo hasa usifananishe na ujinga wa Tz.
Nenda majiji ya china ya kisasaNenda mfano St petersburg, ni jiji leney majengo ya kizamani ya ukweli,
Majengo ya Historia kwani lazima yawe vipi? Ile Kariakoo na zile nyumba zake tiyali ni majengo ya historua, shida huko shule meenda kuongeza ujinga. Kwa akili zako unazania majengo ya historua ni yapi? Ila karikaoo ilikuwa imejaa majengi ya Kihistoria na lait kariakoo inemgeachwa ba majengo yake na mji mpya ukajengwa huko pembeni.Sasa Tanzania kuna majengo gani ya histolia Old Boma au unataka DSM kuwe kama nyamisati, tukisema ulaya kuna majengo ya kihistolia ni mijengo hasa usifananishe na ujinga wa Tz.
Sijajuaga kwa Nini Watu wanaipenda DubaiUnajaambiwa miji mibaya tunapokosana kusema nzuri kuliko miji ya kisasa unaijua miji ya China wewe unajua Dubai
Wewe pimbi unafananisha Moscow na DSM umetimia kichwani kweli, DSM kuna majengo ya kihistoria ya kuacha mji usijengwe kweli WHAT THINKING YOU HAVEWe mjinga Miji kama Moscow, hajagusa majengo yao yenye zaidi ya miaka 2000 walicho fanya ni kwenda kujenga majengo ya kisasa pembeni. Kariakoo bado ingebakia na zile nyumba zao, na majengo ya kisasa yajengwa sehemu nyingie, Dar ingejenga mji mpya wa kisasa na ikaacha ule wa zamani, tena wangepiga sana pesa kwenye utaliii. Unajua sababu za Moroco kuvutia watalii milio zaidi ya 20 kwa mwaka? au unazania wanaenda kuona twiga huko Moroco?
SHida nchi imejaa wajinga tupu, wanaona kubomoa nyumha ya udongo na kujenga gorofa ni sifa
Kwa akili zako nazani unajua miji au majiji ni Magorofa tupu, hizi ndio akili zako, umekomaa sana na China na Dubai.Ulaya hawashindwi kujenga Magorofa. Pia elewa Ulaya imejengwa enzi hizo, wana underground barabara na reli tangu miaka ya 1900+.Nenda majiji ya china ya kisasa
na ni moja ya Majiji yanayo pokea idadi kubwa ya watalii Duniani, shida sasa kwa akili zetu tunazania miji ni Magorofa.Mji kama barcelona aisee mji safi ,yaani majengo level moja kabisa ni mzuri kuliko wenye majengo marefu
Kubishana na huyo Bora huo muda ukajichue tu.Nenda majiji ya china ya kisasa
Ni kawaida ya saikplojia ya binadamu kitu kikiwa maafuru na trend sana tunatafuta namna ya kufanya kionekane cha kawaida.Sijajuaga kwa Nini Watu wanaipenda Dubai
Ujinga bado ni tatizo kubwa sana Tanzania. Unaweza kua unabishana na mtu mjinga ambae kaenda tu hapo Dubai ama Malaysia mara moja tu anajifanya anajua kila kitu.We mjinga Miji kama Moscow, hajagusa majengo yao yenye zaidi ya miaka 2000 walicho fanya ni kwenda kujenga majengo ya kisasa pembeni. Kariakoo bado ingebakia na zile nyumba zao, na majengo ya kisasa yajengwa sehemu nyingie, Dar ingejenga mji mpya wa kisasa na ikaacha ule wa zamani, tena wangepiga sana pesa kwenye utaliii. Unajua sababu za Moroco kuvutia watalii milio zaidi ya 20 kwa mwaka? au unazania wanaenda kuona twiga huko Moroco?
SHida nchi imejaa wajinga tupu, wanaona kubomoa nyumha ya udongo na kujenga gorofa ni sifa
Wamejua kupanga makazi vizurina ni moja ya Majiji yanayo pokea idadi kubwa ya watalii Duniani, shida sasa kwa akili zetu tunazania miji ni Magorofa.
Hawapendi showoff kama Ali KibaKama kiuchumi wako vizuri na wana historia kubwa kwenye mifumo ya maendeleo ya ulimwengu ila ukija kwenye upande wa majengo marefu (skyscrapers) mazuri inapigwa chini na nchi za Asia
Shida nini je, ni utamaduni Wao tu au kuna nini yaani majengo 20 marefu zaidi Duniani hakuna hata moja kutoka Bara la Ulaya.
Sasa humu wanakuambia majengo makari ni Dubai na China, Waafrica tuna akili za ajabu sanaUlaya ilijengeka zamani. Huwezi amini kwenye miji kama Rome kuna barabara na majengo yaliyojengwa ezi za Roman Empire. Yani miaka zaidi ya 2000 iliyopita na still yapo.
Ila Medieval Archtecture iko very impressive.