Kwanini Ulaya haina majengo marefu kama ilivyo Asia Na America?

Kwa akili zako nazani unajua miji au majiji ni Magorofa tupu, hizi ndio akili zako, umekomaa sana na China na Dubai.Ulaya hawashindwi kujenga Magorofa. Pia elewa Ulaya imejengwa enzi hizo, wana underground barabara na reli tangu miaka ya 1900+.
Mada sio ulaya kuweza au kushindw kujenga hayo majengo wala sijui walijenga tangu lini acha kudundadunda
 
Wanajua madhala yatakayo tekea miaka100 baadaye na madhala ya matetemeko,fikilia jengo kama burkhalfa likipolomoka lita leta majanga kiasi gani?.
 
Ndicho tulipaswa kufanya hata kwa Dar, shida ni hizi akilu zetu. Watu wanazania Miji ni Magorofa, hizi ndio akili zetu Waafrica
 
Mada
Mada haihusu kuvunja miji nani aliyesema hio miji ya zamani ivunjwe mbona kama hamujui mada ni ipi, mada ni hio miji ya zamani na miji ya kisasa yep mizuri mbona kitu simple sana munapindisha mada.
 
Daraja lililojengwa 1700 nalinatumika?.
 
Mada

Mada haihusu kuvunja miji nani aliyesema hio miji ya zamani ivunjwe mbona kama hamujui mada ni ipi, mada ni hio miji ya zamani na miji ya kisasa yep mizuri mbona kitu simple sana munapindisha mada.
Sikui hata kama shule ulienda na kama ulienda mtihani wa darasa la nne ulifaulu vipi?🙄

Umeuliza swali miji ya Asia ina majengo mareru kuliko ya ulaya. Kwa tafsiri yako miji yenye majengo marefu ni mizuri kuliko ya ulaya. Huo uzuri wewe umeuweka kwenye urefu wa majengo.

Wadau wamekufahamisha kwamba Ulaya miji yao ilijengwa miaka mingi sana na hawako tayari kuivunja kujenga majengo marefu ili iwe mizuri kwa mtazamo wako.

Pamoja na huo ufafanuzi bado hutaki kuelewa.
 
Unajaambiwa miji mibaya tunapokosana kusema nzuri kuliko miji ya kisasa unaijua miji ya China wewe unajua Dubai
Tujiulize tutaendelea kusifia vya wenzetu mpaka lini!? Basic plans tu za kufanya mtu afike nyumbani imetushinda!! Waziri anahangaika na vituo vya mafuta badala ya kuangalia tatizo lililopo mbele yetu!? Poor my country
 
They like traveling kuenjoy tofauti zilizopo duniani... Vya kwao ni utamaduni
 
Daraja lililojengwa 1700 nalinatumika?.
Londo bridge, kwa msaada wa Wikipedia.

The current bridge stands at the western end of the Pool of London and is positioned 30 metres (98 ft) upstream from previous alignments. The approaches to the medieval bridge were marked by the church of St Magnus-the-Martyr on the northern bank and by Southwark Cathedral on the southern shore. Until Putney Bridge opened in 1729, London Bridge was the only road crossing of the Thames downstream of Kingston upon Thames

Yaani mwaka 1729 tayari walijua hapa kunahitaji Daraja, na Mahali popote kwenye Daraja kama Hilo ni Mji kama Magomeni.

Mwaka 2024 Tanzania Bado hatujaweza kuboresha kingo za mito kama mto msimbazi, Bado tuko kwenye SGR...
 
Unaandika nini, Soma mada na hoja unaandika.

Wapi nimesema hoja za jengo refu sijui balance balance gani....kupotezeana muda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…