Kwanini ulijiunga JamiiForums na uliijulia wapi?

Nimecheka sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jf nilijua kupitia kwa rafik yang msichana.. na lengo kuu la kujiunga nilipenda sana jukwaa la MMU.. na best yangu aliniambia watu wanapata mwenza tena hata kama mim HIV+ naweza pata mwenza humu.. bac nikajiunga nikapata wenza weng nikachagua mmoja.. ukwel ckufanikiwa kufikia malengo yangu.. but naipenda sana JF inanitoa stress na upweke na smile kila nikiingia humu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliijua JF kupitia kwa bro wangu, enzi hizo nipo Primary, na Ac yangu yakwanza nilijiunga nikiwa darasa lasaba,
Na nipo JF kama mwenyekiti wa Kambi ya kiumeni. OVA
 
Nilijiunga kwa sababu ya kupata habari, kupata elimu, kupata burudani... Niliijulia kwenye simu yangu
Inasemekana wewe ni mod.. Kwiyo sema uliijua wakat we na wenzako mnaitengeneza

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
 
Mi nliiona kwenye simu za watu nikawa naishangaa.. Badae nkajiuliza awa watu venye wanatumia jf mbona wanaonekana wanajua vitu vingi so nkaamua kujoin.. On 2015

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
 
Mi nliiona kwenye simu za watu nikawa naishangaa.. Badae nkajiuliza awa watu venye wanatumia jf mbona wanaonekana wanajua vitu vingi so nkaamua kujoin.. On 2015

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
But then i forgot it.. Till last year mwshon

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
 
Mimi niliingiA kuchukua siri mpya ila siku hizi zimepungua

kimeo
 
Advanced level 2010 mwanangu mmoja aliniambia wanaharakati wanapatikana huku.

Bas mzee simu za net za kuazima nikawa situlii maanan sana na Id nikasahau

2013 nikiwa chuo nikapata access ya net ndonikajiunga upya nikalisongesha.
 
 
 
Bila kumsahau mzizi mkavu,cute b

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Bila kumsahau mzizi mkavu,cute b

[Color= yellow]Triple A[/color]
Unajua makamanda wengi wamevunjika moyo baada ya Dr Wilbroad Ku resign na badae Edwad Lowassa kuukosa urais.
 
Unajua makamanda wengi wamevunjika moyo baada ya Dr Wilbroad Ku resign na badae Edwad Lowassa kuukosa urais.
Kabisa aisee af walichoka
Sana pale lowassa nae alvokosa
Hiki kiti

Masai dada cjui ako wap aisee

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Sikumbuki niliijulia wapi


ila nimejikuta tu naitumia baada ya form 6

Sent from my Exclusive Y30-U00 using JamiiForums mobile app
 
Ilikuwa kama 2009 hivi nilikuwa na sim ya nokia flani hivi very smart nikawa nagoogle masuala ya kazi ikaja link ya jamii kupita nikaona watu wanachangia kwa weledi kweli basi nami nikaamua kuanza kuingia kama guest hadi 2010 nilipoingia rasmi kama member

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa aisee af walichoka
Sana pale lowassa nae alvokosa
Hiki kiti

Masai dada cjui ako wap aisee

[Color= yellow]Triple A[/color]
Cc: Maasai Dada popote ulipo mic u..! Hii team ilikuwa imekamilika bila kumsahau Nifah
 
Dah.... Mie nilijulia Uganda wakati wa vita vya kumg'oa Nduli mwaka 1978[emoji13] [emoji41]

Sent from my chips yai using JamiiForums Mobile App
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…