Kwanini ulijiunga JamiiForums na uliijulia wapi?

Kwanini ulijiunga JamiiForums na uliijulia wapi?

Nilipenda kujifunza,japo nilishaingiaga na kutok lakin niliona kuna kitu nakimiss fb,whatsaap,ndio mwaka jana nikarudi rasmi baada ya kuanza kilimo,nikawa najifunza mbinu mbali mbali humu,ila mwanzo kbsa 2014 niliingia kupambana na watu waliokua wanamwita lowassa fisad,baadae alipogeukia upande wa kushoto nami nikageukia kulia kwa Uncle Magu mpka leo[emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Ni sosho midia pekee ninayoiadimaya kuliko zoote, nilijiunga kupata hoti nywuzi toka kwa greti thinkazi baada ya kumsikia kaka yangu akiizungumzia mara kwa mara
 
nlikua nje ya nchi miaka ya 2007 nikawa natafuta source ya kuaminika niwe napata habari za nyumbani wkt huo darhotwire na IPP media ndio zilikua reliable sources zikawa zinaniboa ktk pita pita nikaiona JF tangu hapo nikawa addicted na huu mtandao ingawa kwa sasa unapawa watu makini wamepungua sana
 
Dah aisee mwezi wa 9 2011 miaka 6 hii kudadadeki...niliingia baada ya Jamaa yangu kunambia alikua Malaysia enI za mzee mwanakijiji na USA baby lemutuz...eh eh Zaman ukiona post yaani unaiamini kama daily news

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hata sikumbuki ila nilijikuta nipo JF.

Namtumbo baby.
mi nilionyeshwa na roho mtakatifu kuwa nikija Jf mambo yangu yatanyooka, na kweli tangu niijue Jf sasa nimekuwa mtu mwingine kabisa!

Koromije Baby.
 
kila nikigoogle kwa kiswahili search results zinaonesha jamiiforumsx100000
kwahiyo nikazama
nakumbuka niligoogle KITIMOTO,HILI LILIKUWA PIGO LA KUMI KWANGU NIKO HAPA LEO
 
Mm nliona kwa kakangu anafatilia sn na anapata habari nyingi sn pindi nkiwa primary nikavutiwa nayo, but,nkawa najua lazma nisome nifike chuo ndo namm niweze kupata nafac kujiunga jamiiforum, kwakua kwa wakat huo kakaangu alikua udsm 1st yr
Nlivyofika form 3 nkaanza kusomaga tu hoja za jf Facebook nikihic huko jf lazma nisome sn ndo nikajiunge,bac nlivyofika chuo nikajiunga rasmi kwa kufungua acc toka nikiwa 1st year,2013.

let's God lead
 
One of the best social media platforms ambayo ina constructive ideologies, funny and interesting all the time.

Sababu kubwa ya kujiunga ni kwamba ni jukwaa huru la kutoa/kuchangia mawazo yako kwa kadri ya uelewa wako na pia ni darasa huru la kujifunza mambo mengi kisiasa, kiafya, kielimu, kidini na hata kidunia.
 
Back
Top Bottom