xav bero
JF-Expert Member
- Nov 24, 2016
- 5,134
- 7,338
Nilipenda kujifunza,japo nilishaingiaga na kutok lakin niliona kuna kitu nakimiss fb,whatsaap,ndio mwaka jana nikarudi rasmi baada ya kuanza kilimo,nikawa najifunza mbinu mbali mbali humu,ila mwanzo kbsa 2014 niliingia kupambana na watu waliokua wanamwita lowassa fisad,baadae alipogeukia upande wa kushoto nami nikageukia kulia kwa Uncle Magu mpka leo[emoji16] [emoji16] [emoji16]