Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
- Thread starter
- #121
Atakuwa ana miaka si juu ya kumiKumbe we jamaa una umri mdogo hvyo..!
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakuwa ana miaka si juu ya kumiKumbe we jamaa una umri mdogo hvyo..!
Uliijulia wapOne of the best social media platforms ambayo ina constructive ideologies, funny and interesting all the time.
Sababu kubwa ya kujiunga ni kwamba ni jukwaa huru la kutoa/kuchangia mawazo yako kwa kadri ya uelewa wako na pia ni darasa huru la kujifunza mambo mengi kisiasa, kiafya, kielimu, kidini na hata kidunia.
Kumbe sipo peke yangu ambaye nikikaa na kasimu kangu huku nachat JF, najikuta natabasamu muda wote sababu ya vimbwanga vya JF.Baba yangu ndio sababu haswa, nilikua nikiona anachekelea sana akiwa sebleni akiwa na simu yake , nikagundua anapendelea kuingia jf
OK.-kusoma zile makala za ufisadi...
-ndiyo 'platform' pekee bongo ya maana.
Safi,kweli Nakuona bibie mchango wako ni mkubwa sana JF.Nilitamani na mimi nijadili baadhi ya mijadala ya humu baada ya kuwa guest kwa zaidi ya mwaka.
Haswaaa !!.Niligundua kuna watu wana hoja za msingi sana,Ambazo zinatija kwa Taifa
Kumbe hata wakubwa nao wapo JF ?, Dah !, Ndio maana unaweza kukutana na Mada au Comments zilizosheheni Weledi na Hekima ya hali ya juu, kumbe ni kwasababu ya uwepo Wa watu wakubwa ktk jamii.Mara ya kwanza jina la Jamiiforums nililisikia Kanisani likitamkwa na Askofu Ngalalekumtwa wakati ule "Taifa limepamba moto" na mijadala ya ufisadi (2007) nikaanza kujiuliza huko JF ndio wapi?
Majibu ya Kiranga mkuu yalinifanya nijoin JF2012.Hawa watu walinivutia sana mpaka nikaamua kujiunga rasmi.
Mzizi Mkavu
Kongosho
Bujibuji
Katavi
Mamdenyi
Madame b
Nyani Ngabu
Ila kongosho sijui kapotelea wapi?