Kwanini umeme unaendelea kukatika hata baada ya bwawa kubwa na gesi nyingi Tanzania?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Wengi Tanzania, East Africa, SADC, Africa na Dunia nzima tuliamini Tanzania imejiunga na mataifa yenye umeme mwingi wa uhakika baada ya kukamilika kwa ujenzi wa bwawa la Nyerere na kuwa kuwa na kiasi kikubwa cha gesi, lakini wapi bwana shida Iko palepale na vilevile. Umeme unaendelea kukatika majumbani, mitaani na maofisini kwa dk 5 na kurudi, nusu saa na kurudi, saa nzima na kurudi, masaa 5 na kurejeshwa na siku nyingine masaa 6 na kurejeshwa.

Umeme kukatika dk 10 na kurudi shida ni umeme hakuna, miundombinu mibovu, au hujuma TU kwa wananchi?

Chama cha siasa legelege huzaa serikali legelege, serikali legelege huzaa mawaziri legelege, mawaziri legelege huzaa wakurugenzi legelege, wakurugenzi legelege huzaa watumishi legelege na watumishi legelege huzaa huduma legelege.

Nataka na mimi kuanza kuamini wale wanaosema CCM ya sasa ni legelege, haishindi uchaguzi kihalali na imeishiwa mbinu na ubunifu wa kisimamia mambo yaende. CCM ndiyo inayozalisha huduma legelege kwa wananchi, imechoka hata kama kusema hivyo ni uchochezi,

CCM imezalisha serikali yenye viongozi na watumishi ambao wanatafuta maslahi nje ya ajira kwa kutumia nafasi za utumoshi wa umma. Kila mtumishi anafikiria atakulaje, atasafirije na atalala wapi kwa mwezi mmoja na baada ya kustaafu kazi au kukoma kwa ajira. Kifupi watumishi wote wa umma wanawaza kupata malipo ya ziada nje ya mshahara kwa kutumia nafasi zao. Hii ni kuanzia mjumbe wa nyumba kumi, mwenyekiti wa kitongoji na mfanya usafi ofisini.

Kwanini umeme uanakatika dk 2 na kurudi, hata hayo matengenezo yamefanyila saa ngapi kwa dk mbili? Mtu atasingizia kunguru na kima ambao wanajulikana kama wapo kabla ya ujenzi wa mradi kuanza. Je, mradi haukuzingatia uwepo wa kunguru na kima wakati wa usanifu?
 
Under Chichiem kila kitu ni hovyo
 
Watu wote na rasilimali zote ziko wilayani, hakuna haja ya kuwa na mkuu wa mkoa. Ingekuwa inatosha sana kuwa na wakuu wa wilaya Bora, madhubuti na wenye elimu ya uongozi kuwaongoza watu wilayani badala ya kuwa na wakuu wa wilaya wa hivihivi TU.
 
Umeme unakatika maelezo ni ndege na kima, kwani nchi za wenzetu ambao umeme haukatiki hovyo hakuna ndege na kima? Wakati mradi unasanifiwa na kujengwa ndege na kima hawakuwepo?
 
Tumelaaniwa tukalaanika kwelikweli na hata Tanesco wenyewe hawajui shida ni nini. Laana imekolea
 
Shida yetu hatujafundishwa kuheshimu mali ya umma. Watumishi wa serikali na wananchi wanajiona Mali ya umma ni mali isiyokuwa na mwenyewe. Hawaogopi kunyongwa Wala kuachishwa kazi wanapodeal na mali ya umma. Hata wasimamizi wakuu wamepewa kinga.
 
Hakuna maelezo yoyote yale utadhani shirika na pesa za ujenzi ni zao. Hawawaheshimu wananchi na wanamwangusha Rais. Sidhani yupo Rais anapenda wananchi wake walalamike.
 
Umeme unakatika maelezo ni ndege na kima, kwani nchi za wenzetu ambao umeme haukatiki hovyo hakuna ndege na kima? Wakati mradi unasanifiwa na kujengwa ndege na kima hawakuwepo?
Train ya umeme inazima sababu ya nyaya za umeme zinashambuliwa na bundi na nyani 😃😃😃
 
Wengi Tanzania, East Africa, SADC, Africa na Dunia nzima tuliamini Tanzania imejiunga na mataifa yenye umeme mwingi wa uhakika baada ya kukamilika kwa ujenzi wa bwawa la Nyerere na kuwa kuwa na kiasi kikubwa cha gesi, lakini wapi bwana shida Iko palepale na vilevile. Umeme unaendelea kukatika majumbani, mitaani na maofisini kwa dk 5 na kurudi, nusu saa na kurudi, saa nzima na kurudi, masaa 5 na kurejeshwa na siku nyingine masaa 6 na kurejeshwa.

Umeme kukatika dk 10 na kurudi shida ni umeme hakuna, miundombinu mibovu, au hujuma TU kwa wananchi?

Chama cha siasa legelege huzaa serikali legelege, serikali legelege huzaa mawaziri legelege, mawaziri legelege huzaa wakurugenzi legelege, wakurugenzi legelege huzaa watumishi legelege na watumishi legelege huzaa huduma legelege.

Nataka na mimi kuanza kuamini wale wanaosema CCM ya sasa ni legelege, haishindi uchaguzi kihalali na imeishiwa mbinu na ubunifu wa kisimamia mambo yaende. CCM ndiyo inayozalisha huduma legelege kwa wananchi, imechoka hata kama kusema hivyo ni uchochezi,

CCM imezalisha serikali yenye viongozi na watumishi ambao wanatafuta maslahi nje ya ajira kwa kutumia nafasi za utumoshi wa umma. Kila mtumishi anafikiria atakulaje, atasafirije na atalala wapi kwa mwezi mmoja na baada ya kustaafu kazi au kukoma kwa ajira. Kifupi watumishi wote wa umma wanawaza kupata malipo ya ziada nje ya mshahara kwa kutumia nafasi zao. Hii ni kuanzia mjumbe wa nyumba kumi, mwenyekiti wa kitongoji na mfanya usafi ofisini.

Kwanini umeme uanakatika dk 2 na kurudi, hata hayo matengenezo yamefanyila saa ngapi kwa dk mbili? Mtu atasingizia kunguru na kima ambao wanajulikana kama wapo kabla ya ujenzi wa mradi kuanza. Je, mradi haukuzingatia uwepo wa kunguru na kima wakati wa usanifu?
Kwan we ndo unajua leo Kwann tunapiga kelele kila siku ccm ituachie nchi yetu! imeshindwa kabisa kutokana na mfumo uliopo ko suluhisho ni kuvunja system nzima, waje wengine pia wakutane na katiba imara! Itakyowabana, kuwadhibiti na kuwawajibisha!
 
Back
Top Bottom