Kwanini umpe mpenzi wako au mke wako hela mbele za watu??

Wakuu kwema??,.

Hivi wanaume wenye hii tabia huwa na shida gani? au ni ulimbukeni? Au nini jamani?

Yaani utakuta MTU wametoka nyumban let say anamsindikiza mke wake stand,. Wakishafika wameshuka kabisaa ndio anatoa wallet anampa hela za kutumia sijui za nini na nini.... Hamuonagi aibu?

Kwanini usimpe kabisa kabla hamjatoka nyumban?, Au labda ndio mmepitia kutoa bank au Kwa wakala haya kwanini usimpe ndani ya gari??..

Yaani mbaba kabisaa na kitambi chako kikubwa mbele ya watu kibao unamhesabia mkeo sijui mpenzi wako hela za kutumia Hadi bible anajiskia aibu maskini,. Lakini atafanyaje sasa anapokea Tu hana namna...

Acheni huu ushamba
Wana jf WENGI hawana magari watawapia wapi Kwa wakala NAYE anaona
 
Nilitegemea muda huu msimame kuitetea nchi , Ila mmekazana kushindana kuweka mada za mapenzi .

Na Lissu alivyomjinga anaamini ataleta mabadiliko that's impossible.
Ukisimama wewe inatosha 🤬

giphy.gif

Au umechoka siasa ndiyo maana unakuja huku kwenye jukwaa la mapenzi?
 
Wakuu kwema??,.

Hivi wanaume wenye hii tabia huwa na shida gani? au ni ulimbukeni? Au nini jamani?

Yaani utakuta MTU wametoka nyumban let say anamsindikiza mke wake stand,. Wakishafika wameshuka kabisaa ndio anatoa wallet anampa hela za kutumia sijui za nini na nini.... Hamuonagi aibu?

Kwanini usimpe kabisa kabla hamjatoka nyumban?, Au labda ndio mmepitia kutoa bank au Kwa wakala haya kwanini usimpe ndani ya gari??..

Yaani mbaba kabisaa na kitambi chako kikubwa mbele ya watu kibao unamhesabia mkeo sijui mpenzi wako hela za kutumia Hadi bible anajiskia aibu maskini,. Lakini atafanyaje sasa anapokea Tu hana namna...

Acheni huu ushamba
Nakubaliana na wewe kabisa, huu ni ulimbukeni wa kiwango cha juu sana, halafu ndo mnaonesha nini kwa watu, kwamba mna pesa, mnapendana ama nini! Kwa mwanaume anayejielewa kila kitu kinamalizika behind the scene.
 
Back
Top Bottom