Kwanini umpe mpenzi wako au mke wako hela mbele za watu??

Umenikumbusha mbali sana, kipindi Cha nyuma sana nilikua na boyfriend wa hivyo, yaani kama unasafiri imagine pale ubungo terminal(zamani) nje ya bus ndiyo anafungua wallet anakupa hela watu wote wanaangalia. Nilikua naona aibu sana......anyways gone are those days
Inakera mno aisee,.
Na hapo utakuta mmetoka wote nyumban anakusindikiza
 
Nimeipenda hii

One time kuna home boy alinifanyia huu ujinga

Yeye aliwahi Pata ajira kabla yangu,basi nilienda kumtembelea kwake,basi kanisi dikiza hadi pale kituoni kinondoni b,hiyo miaka kama ya 2011 au 2012

Si tunaagana kituoni eti akatoa msimbazi na kunipa,dah nilijisikia aibu sana lkn nikakausha tu
Pole Sana aisee,. Hii tabia sio nzuri
 
Kwan ni drugs mnapeana? Nikupe Kwa kificho Ili Iweje? Kwan nikikupa mbele za watu wewe unapungukiwa Nini? Na hata nikikupa Kwa kificho inakuongezea Nini?

Tabia kama hizi ndo zile unabeba ndoo yenye maji, unaenda chooni, halafu unataka majirani wajue umetoka kukojoa wakati umetoka kun..ya😏
Dah!😂😂,. Eti kufanyajee?
Popote nampea si wangu ? Ama namna gani ? 😊
Basi sawa
 
Wakuu kwema??,.

Hivi wanaume wenye hii tabia huwa na shida gani? au ni ulimbukeni? Au nini jamani?

Yaani utakuta MTU wametoka nyumban let say anamsindikiza mke wake stand,. Wakishafika wameshuka kabisaa ndio anatoa wallet anampa hela za kutumia sijui za nini na nini.... Hamuonagi aibu?

Kwanini usimpe kabisa kabla hamjatoka nyumban?, Au labda ndio mmepitia kutoa bank au Kwa wakala haya kwanini usimpe ndani ya gari??..

Yaani mbaba kabisaa na kitambi chako kikubwa mbele ya watu kibao unamhesabia mkeo sijui mpenzi wako hela za kutumia Hadi bible anajiskia aibu maskini,. Lakini atafanyaje sasa anapokea Tu hana namna...

Acheni huu ushamba
Ushamba kweli au mtu ameenda bar bili inasoma elfu kumi,mtu anatoa wallet mihela anajitoa yote mbele za watu nao ni ushamba na ulimbukeni.
 
Dah!😂😂,. Eti kufanyajee?

Basi sawa
Ndio unaenda chooni huku umebeba maji kbs na hauna taulo labda unaenda kuoga, unachukua muda weee afu unatoka unataka majirani wajue umetoka kukojoa na wakati umetoka kun..ya,
Naaana umetoka Kwa wakala na nimetoa Pesa na kukupa mbele za watu sasa, unachoficha hapo ni nini? Kuna mtu hajui Hela? Kwan wakijua unapewa Hela na mtu wako, zile hela zinapungua? Kama Hilo tu unaona aibu, au nishai we unaweza kweli kumwambia mume wako mbele za watu (kazi njema Mume wangu) tena Kwa sauti au kwenye daladala?
Live your life.
 
Fresh tu, na kwa makusudi na mimi nitamuomba hela zaidi hapo hapo mbele ya watu, maana huwa wanaonaga aibu kusema hawana.
Hii mbinu ukiwa sio jasiri utatoa sana hela, jibu ni moja bila maelezo sina.
Kuna mmoja alikuwa anaitumia anasema ninazo kwenye wallet jibu langu ni sina. Mtu anaeomba hela kwa shuruti bila staha utadhani alikupa yeye sio wa kuendekeza kabisa.
 
Huyo atakaejisikia aibu basi sio mwanamke, kuna dada niliwahi kumsikia akisema anapenda zaidi akipewa hela mbele ya watu ili roho ziwaume wanaomuonea wivu.
Kabisa ,wadada wengi wana penda waandishi wa habari wakifanyiwa vitu vizuri
 
Nilishuhudia moja kwenye harusi mmoja wa wanandoa hakua na pesa ya kutoa zawadi wapo kwenye foleni (maana MC alitaka kundi fulani waende ile wanafika mbele akasema na pesa iwepo)akamuaomba mwenzie amuazime,kulikua na nafasi ya kumpa bila watu kuona ila mhusika akampa mwenzie ukumbi mzima ukiona
 
Wakuu kwema??,.

Hivi wanaume wenye hii tabia huwa na shida gani? au ni ulimbukeni? Au nini jamani?

Yaani utakuta MTU wametoka nyumban let say anamsindikiza mke wake stand,. Wakishafika wameshuka kabisaa ndio anatoa wallet anampa hela za kutumia sijui za nini na nini.... Hamuonagi aibu?

Kwanini usimpe kabisa kabla hamjatoka nyumban?, Au labda ndio mmepitia kutoa bank au Kwa wakala haya kwanini usimpe ndani ya gari??..

Yaani mbaba kabisaa na kitambi chako kikubwa mbele ya watu kibao unamhesabia mkeo sijui mpenzi wako hela za kutumia Hadi bible anajiskia aibu maskini,. Lakini atafanyaje sasa anapokea Tu hana namna...

Acheni huu ushamba
Wapi kimetokea hicho kituko!
Maana sijawahi kusikia.
 
Enhee, embu lielezee na hili nalo!

Kwanini wanawake wanapenda sana kuhongwa lakini neno lenyewe (kitenzi kuhongwa) hawapendi kulisikia wakielezwa?

Utasikia,...'wewe ni mpenzi wangu hunihongi, unanipa'...
 
ndugu mwandishi hii tulianza kuiona tangu kwa babu zetu hivyo ni mitano tena
 
Wakuu kwema??,.

Hivi wanaume wenye hii tabia huwa na shida gani? au ni ulimbukeni? Au nini jamani?

Yaani utakuta MTU wametoka nyumban let say anamsindikiza mke wake stand,. Wakishafika wameshuka kabisaa ndio anatoa wallet anampa hela za kutumia sijui za nini na nini.... Hamuonagi aibu?

Kwanini usimpe kabisa kabla hamjatoka nyumban?, Au labda ndio mmepitia kutoa bank au Kwa wakala haya kwanini usimpe ndani ya gari??..

Yaani mbaba kabisaa na kitambi chako kikubwa mbele ya watu kibao unamhesabia mkeo sijui mpenzi wako hela za kutumia Hadi bible anajiskia aibu maskini,. Lakini atafanyaje sasa anapokea Tu hana namna...

Acheni huu ushamba
Ungekataa kupokea ili nione ujanja wako.
 
Back
Top Bottom