Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Hela nitafute mwenyewe halafu namna ya kukupa unipangie?
Anataka umpe kwa kificho utadhani unampa u-house.Hela nitafute mwenyewe halafu namna ya kukupa unipangie?
Nakwambia nakutumia kwenye Yas yako halafu ndo ivo tena.Fresh tu, na kwa makusudi na mimi nitamuomba hela zaidi hapo hapo mbele ya watu, maana huwa wanaonaga aibu kusema hawana.
Hawa viumbe ni waajabu kweli yaani apewe hela kwa kificho kama bangi maajabu!Anataka umpe kwa kificho utadhani unampa u-house.
Hatariiii
Na nyie muwe mnatupa hela mbele za watu. Game iwe drooWakuu kwema??,.
Hivi wanaume wenye hii tabia huwa na shida gani? au ni ulimbukeni? Au nini jamani?
Yaani utakuta MTU wametoka nyumban let say anamsindikiza mke wake stand,. Wakishafika wameshuka kabisaa ndio anatoa wallet anampa hela za kutumia sijui za nini na nini.... Hamuonagi aibu?
Kwanini usimpe kabisa kabla hamjatoka nyumban?, Au labda ndio mmepitia kutoa bank au Kwa wakala haya kwanini usimpe ndani ya gari??..
Yaani mbaba kabisaa na kitambi chako kikubwa mbele ya watu kibao unamhesabia mkeo sijui mpenzi wako hela za kutumia Hadi bible anajiskia aibu maskini,. Lakini atafanyaje sasa anapokea Tu hana namna...
Acheni huu ushamba
😂😂😂😂Wewe sema unaskia wivu wa kupasuka mwanamke mwenzio akihesabiwa pesa na mbaba wake ..
Tafuta wa kwako na yeye akuhesabie
🤣🤣🤣🤣Yani mwanamke apewe pesa halafu asikie aibu !!!??😅😅 labda wa kwenye Jupiter
Cheka tu mama🤣🤣🤣🤣
We mshenzi umefanya nimecheka kwa nguvu!