Inakera mno aisee,.Umenikumbusha mbali sana, kipindi Cha nyuma sana nilikua na boyfriend wa hivyo, yaani kama unasafiri imagine pale ubungo terminal(zamani) nje ya bus ndiyo anafungua wallet anakupa hela watu wote wanaangalia. Nilikua naona aibu sana......anyways gone are those days
Pole Sana aisee,. Hii tabia sio nzuriNimeipenda hii
One time kuna home boy alinifanyia huu ujinga
Yeye aliwahi Pata ajira kabla yangu,basi nilienda kumtembelea kwake,basi kanisi dikiza hadi pale kituoni kinondoni b,hiyo miaka kama ya 2011 au 2012
Si tunaagana kituoni eti akatoa msimbazi na kunipa,dah nilijisikia aibu sana lkn nikakausha tu
Dah!😂😂,. Eti kufanyajee?Kwan ni drugs mnapeana? Nikupe Kwa kificho Ili Iweje? Kwan nikikupa mbele za watu wewe unapungukiwa Nini? Na hata nikikupa Kwa kificho inakuongezea Nini?
Tabia kama hizi ndo zile unabeba ndoo yenye maji, unaenda chooni, halafu unataka majirani wajue umetoka kukojoa wakati umetoka kun..ya😏
Basi sawaPopote nampea si wangu ? Ama namna gani ? 😊
Ushamba kweli au mtu ameenda bar bili inasoma elfu kumi,mtu anatoa wallet mihela anajitoa yote mbele za watu nao ni ushamba na ulimbukeni.Wakuu kwema??,.
Hivi wanaume wenye hii tabia huwa na shida gani? au ni ulimbukeni? Au nini jamani?
Yaani utakuta MTU wametoka nyumban let say anamsindikiza mke wake stand,. Wakishafika wameshuka kabisaa ndio anatoa wallet anampa hela za kutumia sijui za nini na nini.... Hamuonagi aibu?
Kwanini usimpe kabisa kabla hamjatoka nyumban?, Au labda ndio mmepitia kutoa bank au Kwa wakala haya kwanini usimpe ndani ya gari??..
Yaani mbaba kabisaa na kitambi chako kikubwa mbele ya watu kibao unamhesabia mkeo sijui mpenzi wako hela za kutumia Hadi bible anajiskia aibu maskini,. Lakini atafanyaje sasa anapokea Tu hana namna...
Acheni huu ushamba
Mma sya soni!Ngoja wababa waje cute
Ndio unaenda chooni huku umebeba maji kbs na hauna taulo labda unaenda kuoga, unachukua muda weee afu unatoka unataka majirani wajue umetoka kukojoa na wakati umetoka kun..ya,Dah!😂😂,. Eti kufanyajee?
Basi sawa
😂😂😂😂Yani mwanamke apewe pesa halafu asikie aibu !!!??😅😅 labda wa kwenye Jupiter
😆😂😂😂😂
Huyo atakaejisikia aibu basi sio mwanamke, kuna dada niliwahi kumsikia akisema anapenda zaidi akipewa hela mbele ya watu ili roho ziwaume wanaomuonea wivu.Yani mwanamke apewe pesa halafu asikie aibu !!!??😅😅 labda wa kwenye Jupiter
Hii mbinu ukiwa sio jasiri utatoa sana hela, jibu ni moja bila maelezo sina.Fresh tu, na kwa makusudi na mimi nitamuomba hela zaidi hapo hapo mbele ya watu, maana huwa wanaonaga aibu kusema hawana.
Kabisa ,wadada wengi wana penda waandishi wa habari wakifanyiwa vitu vizuriHuyo atakaejisikia aibu basi sio mwanamke, kuna dada niliwahi kumsikia akisema anapenda zaidi akipewa hela mbele ya watu ili roho ziwaume wanaomuonea wivu.
Wapi kimetokea hicho kituko!Wakuu kwema??,.
Hivi wanaume wenye hii tabia huwa na shida gani? au ni ulimbukeni? Au nini jamani?
Yaani utakuta MTU wametoka nyumban let say anamsindikiza mke wake stand,. Wakishafika wameshuka kabisaa ndio anatoa wallet anampa hela za kutumia sijui za nini na nini.... Hamuonagi aibu?
Kwanini usimpe kabisa kabla hamjatoka nyumban?, Au labda ndio mmepitia kutoa bank au Kwa wakala haya kwanini usimpe ndani ya gari??..
Yaani mbaba kabisaa na kitambi chako kikubwa mbele ya watu kibao unamhesabia mkeo sijui mpenzi wako hela za kutumia Hadi bible anajiskia aibu maskini,. Lakini atafanyaje sasa anapokea Tu hana namna...
Acheni huu ushamba
Enhee, embu lielezee na hili nalo!Wakuu kwema??,.

Wanapenda sana kuvimbiana.Kabisa ,wadada wengi wana penda waandishi wa habari wakifanyiwa vitu vizuri
🤣Ulembwike kalumbuMma sya soni!
Ungekataa kupokea ili nione ujanja wako.Wakuu kwema??,.