Kwanini umpe mpenzi wako au mke wako hela mbele za watu??

Na nyie muwe mnatupa hela mbele za watu. Game iwe droo
 
Wewe sema unaskia wivu wa kupasuka mwanamke mwenzio akihesabiwa pesa na mbaba wake ..
Tafuta wa kwako na yeye akuhesabie
 
Siwezi kukupa hela kificho eti
Naweza kukupa ndani ila nikiwa stendi lzm nikupe ile ambayo iko nje ya hesabu zako mfano kula njiani na madoido mengine hii ni fahari sana kwangu mwanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…