Kwanini umuingilie mwenza wako kinyume na maumbile?

Kwanini umuingilie mwenza wako kinyume na maumbile?

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Mimi binafsi na huu uchakataji wangu wote sijawahi kufanya kitendo kisicho na stara kama hicho ata mara moja,

ingawa nilishapitia vikwazo na changamoto kadhaa kwa baadhi ya wanawake waliotaka nifanye hivyo kwa wao kama wao tena waking'ang'ania kabisa na bado nilikataa,

Nilikuwa najiuliza sana kwa nini nimuingilie kinyume na maumbile? Kuna kitu gani Extra ambacho nitakipata huko na kwenye papuchi nitakosa?

Nikaona hamna wacha nionekane mshamba , sitaki kusikia hayo mambo na demu akileta za kuleta kutaka kunibinulia binulia tako lake ili nimfyatue kinyume chake anakutana na banzi,
On that time namzaba kofi la tako na kupiga chini asepe zake?

Kwa nini umuingilie mwanamke kinyume na Maumbile,?
Ok sawa wengine wanapenda wenyewe lakini kwa nini wengine muwalazimishe wenza wenu kuwaingilia kinyume nyume kwa sababu tu unajua Tayari anakupenda na hawezi kukataa kwa nini?

Bado natafakari sana je ukishamaliza kufyatua Nyuma yake bado unakuwa na ujasiri wa kutazamana nae Usoni kuongea na kufeel hisia zake?




Cc Zero IQ

Zaidi soma : Onyo kwa Wadada: Usifikiri kumpa mpenzi wako kinyume na maumbile ndio atazidi kukupenda au kuzidisha upendo
 
Hapa jf kuna maswali huwa yakiulizwa huwa hayajibiwi na wahusika huwa wamo humu humu wanapita.

Kuna wachawi hawatoagi shuhuda kwa nini wanatuwangia na kusumbua.

Na kundi la mwisho huwa la wanawaingilia wanawake kinyume hawasemi wanatakaga nini huko nyuma wanasoma wanapita, wengine wakiona uzi hata kuugusa kwao mwiko.

Haiwezekani wajae walalamikaji halafu wahusika wametulia [emoji23] hayaa wafilimbaji mko wapi?
 
Back
Top Bottom