Kwanini umuingilie mwenza wako kinyume na maumbile?

Kwanini umuingilie mwenza wako kinyume na maumbile?

Wanaofanya hicho kitendo mara nyingi hutegemea labda kuna kitu kipya watakipata na badala yake majibu huwa ni kinyume na matarajio. Wengine huishia kujuta majuto makubwa sana na wengine huridhishwa na kani ya usumaku wanayoipata! Yote kwa yote kwa mtazamo wangu naona ni ujinga mkubwa sana kufanya hivyo.
 
Mimi binafsi na huu uchakataji wangu wote sijawahi kufanya kitendo kisicho na stara kama hicho ata mara moja,

ingawa nilishapitia vikwazo na changamoto kadhaa kwa baadhi ya wanawake waliotaka nifanye hivyo kwa wao kama wao tena waking'ang'ania kabisa na bado nilikataa,

Nilikuwa najiuliza sana kwa nini nimuingilie kinyume na maumbile? Kuna kitu gani Extra ambacho nitakipata huko na kwenye papuchi nitakosa?

Nikaona hamna wacha nionekane mshamba , sitaki kusikia hayo mambo na demu akileta za kuleta kutaka kunibinulia binulia tako lake ili nimfyatue kinyume chake anakutana na banzi,
On that time namzaba kofi la tako na kupiga chini asepe zake?

Kwa nini umuingilie mwanamke kinyume na Maumbile,?
Ok sawa wengine wanapenda wenyewe lakini kwa nini wengine muwalazimishe wenza wenu kuwaingilia kinyume nyume kwa sababu tu unajua Tayari anakupenda na hawezi kukataa kwa nini?

Bado natafakari sana je ukishamaliza kufyatua Nyuma yake bado unakuwa na ujasiri wa kutazamana nae Usoni kuongea na kufeel hisia zake?

Cc Zero IQ
wanasema kwa mpalange kuna jooooto kwa sauti ya Neywa mitego
 
Katika Site 10 zinazotembelewa sana Duniani site 5 ni za ngono. Na ktk hzo site category inayoongozwa kwa kutafutwa ni ANAL sex lakini ukija kuuliza watu je unaangaliaga porn 95% watakwambia hawaangalii sasa jiulize hawa 5% ndo wanatumia internet peke yao na kuvunja record ya kufanya site za porn kuwa na traffic kubwa?

Sikia ukitaka ushauri wa hili jambo huwezi kupata majibu coz ni kama biashara haramu hakuna anayekili kuifanya ,watu unaowauliza wengi wao aidha wanafanya au walifanya au walishashawishiwa kufanya au wanatamani kufanya au wanajamaa au ndugu zao wanafanya lakini hakuna atakayekili au kukwambia kulingana na uzoefu wake ktk hili kila mtu atajifanya hajawai,hapendi lakini kwenye kuta nne huko ambako kuna VPN kubwa kuliko zote wanauzoefu mkubwa sana.

Kupambana na hili swala ni kutokulizungumzia tu coz mnapolipa airtime ndo mnafanya watu walitamani au kutaka kulijua au kushawishika kumbuka bidhaa inayotangazwa sana ndo bidhaa yenye nafasi kubwa kufanya vizuri sokoni .
 
Mimi binafsi na huu uchakataji wangu wote sijawahi kufanya kitendo kisicho na stara kama hicho ata mara moja,

ingawa nilishapitia vikwazo na changamoto kadhaa kwa baadhi ya wanawake waliotaka nifanye hivyo kwa wao kama wao tena waking'ang'ania kabisa na bado nilikataa,

Nilikuwa najiuliza sana kwa nini nimuingilie kinyume na maumbile? Kuna kitu gani Extra ambacho nitakipata huko na kwenye papuchi nitakosa?

Nikaona hamna wacha nionekane mshamba , sitaki kusikia hayo mambo na demu akileta za kuleta kutaka kunibinulia binulia tako lake ili nimfyatue kinyume chake anakutana na banzi,
On that time namzaba kofi la tako na kupiga chini asepe zake?

Kwa nini umuingilie mwanamke kinyume na Maumbile,?
Ok sawa wengine wanapenda wenyewe lakini kwa nini wengine muwalazimishe wenza wenu kuwaingilia kinyume nyume kwa sababu tu unajua Tayari anakupenda na hawezi kukataa kwa nini?

Bado natafakari sana je ukishamaliza kufyatua Nyuma yake bado unakuwa na ujasiri wa kutazamana nae Usoni kuongea na kufeel hisia zake?

Cc Zero IQ
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Naapa kupitia uzi huu sifanyi tena uhayani huu.
 
Back
Top Bottom