Kwanini umuingilie mwenza wako kinyume na maumbile?

Your browser is not able to display this video.
 
😂😅
 
Hako ka feelin' mtekenyo wewe umekahisi vipi Sasa😅
 
'Taja!Mkoa Unaotokea!? kwanza kabla Hatujafika Mbaliii Mzee'

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jirani kwani shida nini? Maisha ya mtu binafsi ni dhamana yake, hapaswi kuinguliwa.
Relaaaaax bhana, acha watu wale vitu vile roho inapenda.
Huhuhuhuh
Hahahhehe [emoji12][emoji12][emoji3059] basi nakua mpolee siwasumbuiii [emoji2960] "but I miss you machiiiiiii" Jilani cocastic

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Wee nae khaaah sasa maisha binafsi ya mtu yanakuwekaje pabaya? Kwani hao ma Dr wee ndo msemaji wao?
Kila mtu na starehe yake binafsi aliyochagua ili hali havunji kanuni, taratibu na sheria za nchi zulizowekwa.
Kwani wao wahusika hawajui hayo madhara? Au wee ndo mjuaji sana kuliko wao wenyewe?

Naona umegusa kwenye upande wa dini, nikuulize hiyo dhambi ya uzinzi ni kwa kinyume cha maumbile au?
Hakuna dhambi kubwa wala ndogo kaa ujue hilo, unafiki tyuuh hapa, wee mwenyewe ni mzinzi grade 1. Au hujioni?
Kabla hujatoa chongo kwa jicho la mwenzio, anza kwani boriti liliopo ndani ya jicho lako.
Relaaaaaaaaaax.
 
Sikatai kwa unachokisema lakini inategemea na upande wa imani ya mtu, kwenye Uislam "Akbarul kabair" zipo dhambi kubwa na ndogo. Na unaposema mimi mwenyewe mzinifu una uhakika na hilo! Usiongee tu kufurahisha genge!
 
Hivi mkuu unadhani watakuja hapa kutoa ushuhuda? Watu na starehe zao, wanachukia sana tunavyowajadili hapa!
 
Umemaliza mzee hakuna ulichoacha point nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…