Kwanini umuingilie mwenza wako kinyume na maumbile?

Kwanini umuingilie mwenza wako kinyume na maumbile?

Mimi binafsi na huu uchakataji wangu wote sijawahi kufanya kitendo kisicho na stara kama hicho ata mara moja,

ingawa nilishapitia vikwazo na changamoto kadhaa kwa baadhi ya wanawake waliotaka nifanye hivyo kwa wao kama wao tena waking'ang'ania kabisa na bado nilikataa,

Nilikuwa najiuliza sana kwa nini nimuingilie kinyume na maumbile? Kuna kitu gani Extra ambacho nitakipata huko na kwenye papuchi nitakosa?

Nikaona hamna wacha nionekane mshamba , sitaki kusikia hayo mambo na demu akileta za kuleta kutaka kunibinulia binulia tako lake ili nimfyatue kinyume chake anakutana na banzi,
On that time namzaba kofi la tako na kupiga chini asepe zake?

Kwa nini umuingilie mwanamke kinyume na Maumbile,?
Ok sawa wengine wanapenda wenyewe lakini kwa nini wengine muwalazimishe wenza wenu kuwaingilia kinyume nyume kwa sababu tu unajua Tayari anakupenda na hawezi kukataa kwa nini?

Bado natafakari sana je ukishamaliza kufyatua Nyuma yake bado unakuwa na ujasiri wa kutazamana nae Usoni kuongea na kufeel hisia zake?




Cc Zero IQ
Sor Kumbee wee ni Zero IQ.......MSHAMBA HUWEZI KUELEWA.....Kausha usituharibiiieee bhana

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Ngoja nsipite buree ila mm binafsi sijawahi ila nasikia ni tamu balaaa so kashetani sometime hua kananijiaga ila nikiwa kwenye kuta nne huo ujasiri kwisha kabisaa
ONE DAY YES!
Lazima uwe mtafiti au sio
Wadada watafiti kama wewe mnapaswa mupewe mikopo ya Kujiendeleza.....chukua maamuzi Wajuba tupo!....[emoji1787][emoji85][emoji85][emoji3060][emoji3060]

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Yani nadhani wengine wanapenda na wanahisi wakiwapa watawachanganya wanaume kwamba labda hamtawaacha..Hivi kweli unaoa mwanamke anaeliwa au unamla nyuma na mnaenda kanisani mnafunga ndoa kabisa kabisa na dhambi kama hyo? uwiii
 
Usenge mtupu

Juzi kat nliku likizo
Nkamuachia jamaa x akae geto kwangu kwasababu ya sababu furani
Sasa jamaa kumbe kuna bar maid mmja alimleta pale
Na akamfanya huko toilet
Si wakachafua shuka langu
Na foronya na foronya ni ya moja kwa moja[emoji3061][emoji3061]
Nliona kitu kama uchafu ila nkapuuza
Siku katika story akasema alimfanya nyuma huyo dem daaah nlilaani sana ile kitu
Wiki2 mbele akanunua godoro akawa hayupo akaomba nimpokelee stand
Nkapitiliza nalo nyuumbaaan nkatoa foronya nkavalisha kule nkampa langu


Aendelee upepo wake huko
 
Back
Top Bottom