Kwanini Unaamini Mungu yupo?

Mkuu
Upo sahihi,inashangaza wanasayansi huiga hutengeneza vitu kwa kuiga viumbe hai,lakini wanakataa kuwepo kwa original designer

Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
Siyo kwamba hakuna ushahidi wa uwepo wa Mungu bali hawataki tu kukubali hadharani kuwa Mungu yupo.....

Hawa wana ajenda yao.....
 
Mungu kama yupo,hana haja ya kujificha inabidi ajidhihilishe tu aseme alitoka wapi na yuko wapi.
Bahati mbaya sana ni kwamba umeshafafanuliwa kwenye post uliyoinukuu kuhusu makosa ya kumuweka Mungu na sababu nyingi tu umepewa lakini swali lako hili ambalo linaonesha makosa yale yale ya kimantiki yaliyosababisha ukapewa maelezo hayo hapo kwenye hiyo post uliyoinukuu either umeshindwa kuielewa au umeelewa lakini hutaki kuelewa au zaidi kabisa huna uwezo wa kuelewa.....

Mara nyingi sana huwa ninawaeleza watu wenye maswali kama yako kuwa hawaelewi Mungu ni nani/nini na ndiyo maana wanauliza maswali ambayo yana makosa....

Watu hawajui kuwa kuna maswali yenye makosa,wanadhani majibu pekee tu ndiyo hukosewa wakati siyo sahihi.....
 
Siyo kwamba hakuna ushahidi wa uwepo wa Mungu bali hawataki tu kukubali hadharani kuwa Mungu yupo.....

Hawa wana ajenda yao.....
Maana halisi ya kuwaaminisha watu kuwa hakuna
Mungu,
Ni kuwashawishi watu waamini kuwa hakuna
dhambi.
Hivyo kuwashawishi watu wafanye dhambi yoyote bila woga wowote, kwani hakuna Shetani, hakuna Motoni, hakuna Mbinguni, ndio maana halisi ya neno hakuna chochote.
Nia ni kuwaunganisha watu kwenye adhabu ya mauti na Shetani siku za
mwisho.
Hii ni kampeni ya Shetani mwenyewe, maana alipofukuzwa mbinguni alimwahidi Mungu kuwa atawashawishi watu wengi sana wawe upande wake kuzidi wa upande
wa Mungu.
Hao watu wanamjua vizuri sana Mungu, ila wameshatekwa na kujiunganisha na Ibada za Shetani kwa viapo vizito vya makafara.
Hapo wanaona aibu tu kumsifia waziwazi Shetani, badala yake ndio wanasema hayo maneno ya kumdhihaki Mungu.
Ukisha wajua hawakusumbui maana wako kazini.

Habari ndiyo hiyo.
 
Binafsi ninakuelewa sana unaposema "hawa watu wanamjua Mungu vizuri" kwasababu nishafanya utafiti sana tu na wao wako upande mwingine wa Shetani na hili lipo wazi kwa yoyote anayetaka kuujua ukweli na afanye tafiti....

Karibia wanasayansi wengi ni waumini wa dini lakini ni waumini wa dini ambazo zinampa utukufu huyo kiumbe hatari kabisa ambaye watu wanamchukulia kawaida sana vijana wa mjini wanasema "wanamchukulia poa"....
 
Ha..ha..ha
Wana mchukulia poa kweli.

Mimi siwezi kusema kuwa nilibahatika.
Ila nilimsikia mubashara kabisa Shetani Lusifer akizungumza.

Kwanza, alisema, anajutia kitendo cha kufukuzwa mbinguni.
Alisema kitu kilichomfukuzisha ni kulewa sifa, ya kuanza kujilinganisha na Mungu.
Pili, alisema, aliamua kujenga himaya yake kwa kuwateka, watu aliowaita÷
"Stupid Earth Worms"

Nakuhakikishia ndugu,
Lusifer anawadharau sana na kuwacheka watu wanaomwabudu na kumtukuza,
pia huwa anawatesa sana kwa vitendo, na kuwapa masharti magumu mno.
Ndio maana unawaona waganga wanaopiga ramri wanaishi maisha ya umasikini uliotopea.
Ukienda kufuata tiba kwao wanakuambia umwue mwanao, au tafuta viungo vya binadamu, au maiti.
(Si umejitakia mwenyewe, unaacha kumwomba Mungu unakuja kwetu tunaoteseka, wacha tuteseke wote) ukiondoka nyuma anakucheka na kukuona ZOBA.
Kwenye dawa anaweza kukulisha hata mavi yaliokauka na kusagwa, kuna uchafu mzito kwenye dawa zao.

Ukiona Mtu anasisitiza toka moyoni kuwa "hakuna Mungu" ujue kuna mambo mawili tu moyoni mwake.

1. Hajui neno "Mungu" maana yake ninini.
Hajawahi kukutana na elimu inayomwelimisha habari za Mungu.
Hana elimu ya Kiroho kabisa.
Huyu ukimwelimisha anaelewa.

2. Mfuasi wa Shetani, Lucifer, huyo haelimishiki kabisa. ni mbishi kama hao unaowaona.
Hao wanaujua vizuri ukuu wa Mungu.

Ndivyo ilivyo.
 
Hata wewe pia unaweza ukawa hujaelewa na haujawahi kuelewa cha msingi leta ushahidi wa maswala.
 
Naaamini unachokisema...

Sababu ni wanatumia nguvu sana kulazimisha absence ya M/ Mungu...

Mara wakulazimishe mtu uwape evidence za uwepo wake, mara ajitokeze asijifiche, Mara kile ilimradi tu kujitoa ufahamu!

Mi toka nione dunia hii hakuna, narudia hakuna kiumbe hai kilichowahi hata tengeneza / umba "a mere fly" ...ilinilazimu kuamini kuna supreme power inacontrol beyond my knowledge!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mungu yupo ?
Anakaa wapi ?
Anakula chakula gani? ..majani,nyama au mchanganyiko tu
Ana umri gani ?
Analala na kuamka saa ngapi?
Huwa anaoga ?

Ukweli wa jambo haupatikani sababu tu linaungwa mkono na 99% ya watu...

Cha ajabu wanaomini uwepo wa Mungu ndo vinara wa maovu,kutukana,kuingia Jukwaa la Wakubwa(X) humu Jf,utapeli na wizi,unafiki,ugomvi,kukashifiana wao kwa wao(Waislamu V Wakristo) n.k
What a stupidity ?

Mimi naamini katika upendo na kutomfanyia mtu jambo baya ila siamini hili ni dhambi na lile siyo dhambi hivyo nakunywa pombe,nazini n.k sababu tu simkwazi au kumdhuru mtu

Maandiko si yameandikwa samehe 7 X 70 hivyo kama ni ya kweli basi tusio amini uwepo wake tutasamehewa hata 500 X 700,000

Shida ipo wapi ?
 
Endelea kuota mkuu...

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Duuu hii kubwa,yaani hata maumbile ya binadamu tumboni hayakupi maono kuwa kuna Mkuu wa kuumba na ni msimamizi wa uhai na ndie alive dhibiti siri ya umauti wa kila mmoja we tu .Hivi ninani anapenda kufa? Kwa mini hakuna anayedhibiti uhai wake,pamoja na sababu zote za uhai kuwepo bado binadamu ana decay na kutoweka duniani bila ya mapenzi take,tens kila mmoja ana kufa kwa aina take tofauti na mwengine


Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kwa matendo yake makuu hadi sasa nipo na pumzi maana binadam ndicho kilichotushinda kumwekea binadam wa kutengeneza pumzi ambayo ndio uhai tulio nao la sivyo kuna watu wangekuwapo dunia hii hadi leo

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mtu bila Mungu ni Atheist, Mungu bila mtu hakuna kitu.

Kwahiyo Mungu yupo kwa sababu watu wapo na siyo kinyume chake.

Mungu ni fikra za kibinadamu na siyo kitu halisi.
Miongo mingi ilipita kabla ya binadamu kuwepo hali kukiwa na viumbe anuwai katika ardhi,mifumo ya viumbe,gelogia na kutegemeana kwao (heredity ) inaonesha kuwa yuko msimamizi na mastermind wa hii dunia.Lakini msimamizi wa dunia ambae ndie mmiliki anaiendesha dunia kwa utashi na mfumo wake aliopendezwa nao,na sio tupendavyo sisi.
Mifumo (ecosystem) inaonesha wazi ufundi na usanii Mkubwa wa muumba ambaye ndiye mungu,na hakuna mwingine aliyedai umiliki na uendeshaji wa ulimwengu.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hayo maswali yako 5 ya juu ni kiboko!
Mimi huwa najiuliza kama kweli huyu Mungu yupo kama tunavyolazimishwa kuamini eti kwasababu tu hatujui chanzo chetu au labda ni kweli tumeumbwa kama wanavyodai, sasa huyu Mungu wanayemsema ye chanzo chake ni kipi??
Ametokea wapi?? Aliumbwa na nani??
 
Una uhakika upi kwamba Mungu ndiye aliyeumba hii dunia na vyote vilivyomo?
 
Mwongozo wa viumbe wengine ni upi??? Manake unadai hauwezi kuletwa duniani bila mwongozo.
 
Watajua kimetengenezwa kama terminology ya kutengeneza inaexist kwao... maana yake na wao pia watakuwa wanatengeneza.... kama watakosa hicho kitendo hawatajua katu.
Ni sawa na kusema je nyani anajua kama sokwe ameumbwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…