Binafsi ninakuelewa sana unaposema "hawa watu wanamjua Mungu vizuri" kwasababu nishafanya utafiti sana tu na wao wako upande mwingine wa Shetani na hili lipo wazi kwa yoyote anayetaka kuujua ukweli na afanye tafiti....
Karibia wanasayansi wengi ni waumini wa dini lakini ni waumini wa dini ambazo zinampa utukufu huyo kiumbe hatari kabisa ambaye watu wanamchukulia kawaida sana vijana wa mjini wanasema "wanamchukulia poa"....
Ha..ha..ha
Wana mchukulia poa kweli.
Mimi siwezi kusema kuwa nilibahatika.
Ila nilimsikia mubashara kabisa Shetani Lusifer akizungumza.
Kwanza, alisema, anajutia kitendo cha kufukuzwa mbinguni.
Alisema kitu kilichomfukuzisha ni kulewa sifa, ya kuanza kujilinganisha na Mungu.
Pili, alisema, aliamua kujenga himaya yake kwa kuwateka, watu aliowaita÷
"Stupid Earth Worms"
Nakuhakikishia ndugu,
Lusifer anawadharau sana na kuwacheka watu wanaomwabudu na kumtukuza,
pia huwa anawatesa sana kwa vitendo, na kuwapa masharti magumu mno.
Ndio maana unawaona waganga wanaopiga ramri wanaishi maisha ya umasikini uliotopea.
Ukienda kufuata tiba kwao wanakuambia umwue mwanao, au tafuta viungo vya binadamu, au maiti.
(Si umejitakia mwenyewe, unaacha kumwomba Mungu unakuja kwetu tunaoteseka, wacha tuteseke wote) ukiondoka nyuma anakucheka na kukuona ZOBA.
Kwenye dawa anaweza kukulisha hata mavi yaliokauka na kusagwa, kuna uchafu mzito kwenye dawa zao.
Ukiona Mtu anasisitiza toka moyoni kuwa "hakuna Mungu" ujue kuna mambo mawili tu moyoni mwake.
1. Hajui neno "Mungu" maana yake ninini.
Hajawahi kukutana na elimu inayomwelimisha habari za Mungu.
Hana elimu ya Kiroho kabisa.
Huyu ukimwelimisha anaelewa.
2. Mfuasi wa Shetani, Lucifer, huyo haelimishiki kabisa. ni mbishi kama hao unaowaona.
Hao wanaujua vizuri ukuu wa Mungu.
Ndivyo ilivyo.